miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23] saa hizi ndo wanafunga maofisi wenye hela zao. Ndo wanakusanya mafile. Wanawaza projects mpya. Siyo hawa hapa kila uzi wa masononeko wamoo... wahanga wakubwaa. Wamenyooshwa hawaMwenye hela ashinde hapa anatoka?[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] Never on earth [emoji289]
Yy ni vitendo underground, furthermore yuko busy kichizi akitafuta pesa, mapene
Umuombe ndugu wa karibu Huyo mume kakatwa mikonoMnh hiyo sasa itakuwa dhambi jamani kuwafanyisha kazi za namna hiyo watoto wa watu.
Hata kama mke amejifungua au anaumwa bora kumuomba ndugu yake wa damu amfulie na siyo yaya jamani!
Yani mtu anashindwaje kufua nguo za ndani ?
Unaloweka na sabuni kisha unafikicha kidogo na kusuuza kwa maji mengi na kuanika juani.
Kila mtu ana hamna ya kuyapeleka mapenzi na ndoa yake, wewe unalazimika kufua ,kupiga deki, kuosha vyombo na hâta mengine mengi ili kuilinda ndo yako, wakati mimi ndoa yangu ipo imara licha ya kwamba sifanyi hayo unayofanya wewe kwakua yanautweza uanaume wangu.Hakuna sehemu nimesemwa natumwa relax!!! Nimesema kusaidia ni muhimu na wewe unataka kupedwa wewe tu ufuliwe na kila kitu na yeye apendwe na nani? Ndo Sababu mnalia lia kila siku humu ndoa zinawashinda
Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Ni Bora familia imekuwa ya wastani vipi kama miaka 15 tayari ungekuwa na familia ya watoto 10🤔.Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Eeh,, muache carihaaaaa..... muacheeee kamanda wanguu[emoji23][emoji23]Makasiriko 4G
Mkuu mm hlo mapema mungu kani apusha nalo. Kuna manzi nlikuwa na mahusiano nae nlimpenda ili fika hatua mpka kumtmbulisha kwa wazazi. Ila ninavy kwambia hadi sasa hv kila m2 anafny nyake na 2kikutna njian kma mbingu na aldhi yeye kule mimi hkuWadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Subiri dawa yako utaikuta nyumbani una Ni attack Mimi mmeo?Eeh,, muache carihaaaaa..... muacheeee kamanda wanguu[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kuoa kupo kk ila kuna baadhi ya wanawke me naona bora huwachezee2 unakuta mwanmke anashindana na mwanaume wake eti.Mbona wanaume tulisha kubaliana hapa ndani kwamba hakuna kuoa...[emoji53]
Leo holiday jaman mda wote Ni ofisi kwani?[emoji23][emoji23] saa hizi ndo wanafunga maofisi wenye hela zao. Ndo wanakusanya mafile. Wanawaza projects mpya. Siyo hawa hapa kila uzi wa masononeko wamoo... wahanga wakubwaa. Wamenyooshwa hawa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Tuendelee kuongeza single maza mtaani ndo dawa yao.Kuoa kupo kk ila kuna baadhi ya wanawke me naona bora huwachezee2 unakuta mwanmke anashindana na mwanaume wake eti.
Usipoteze nguvu kwa hawa wajukuu wa kinjekitile wa majimaji war maana kwao ndoa ni jela ya mwanamke [emoji23]Amemkamata wapi, haya ndo mapenzi yanayotakiwa!
Huyu mwanaume ni mjanja na atakula vinono kwa mke wake mpaka basi!
Mwanamke ukimuwezea na hizi care ndogo mdogo ni umemuwin milele, utapendwa mpaka ujishangae[emoji848]
We endelea kukaa kibabe, utakutana nayo mbele huko
Hakuna sehemu nimesema udeki au ufue mzee!!! Ila shughuli za nyumbani zinajulikana.... Mimi kusaidia sioni ubayaKila mtu ana hamna ya kuyapeleka mapenzi na ndoa yake, wewe unalazimika kufua ,kupiga deki, kuosha vyombo na hâta mengine mengi ili kuilinda ndo yako, wakati mimi ndoa yangu ipo imara licha ya kwamba sifanyi hayo unayofanya wewe kwakua yanautweza uanaume wangu.
Hiyo ndo tofauti zetu, Sasa wewe ukikaa hapa kumshauri wanaume wenzako waoshe vyombo ili kulinda ndoa zao nabaki nashangaa tu.
Muelewe mleta mada,,,,ko hata kama ulimpenda ndo awe anazurura tu usiku eti anaalikwa dinner na watu usowajua,mixer nyumbani hakuna kitu anamfanyia mumewe nyumbani huo sio upendoHukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.
Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
[emoji23][emoji23][emoji23]mke wa kwiiiiioooo? Mahari ulitolea wapi muheshimiwa shirimaSubiri dawa yako utaikuta nyumbani una Ni attack Mimi mmeo?
Ni sawa mkuu, hiyo imefanya kazi kwako ila haina maana mwamba wanaume tusifanya hivyo hatufurahii ndoa zetu.Hakuna sehemu nimesema udeki au ufue mzee!!! Ila shughuli za nyumbani zinajulikana.... Mimi kusaidia sioni ubaya
Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Wafanya biashara hawana holidays sweetheart. Holidays ni kwa wafanyakazi tu[emoji23][emoji23]Leo holiday jaman mda wote Ni ofisi kwani?
Somesheni mamaD ila wanaume watakaowaoa ndo nawatahadharisha wasitegemee kuhudumiwa kama mabwanyenye. Wategemee kwamba mke anaweza kwenda field hata ya wiki kila mwezi kwa hiyo mwanaume atulie na asilete za wivu.
Ukiwa mfanya biashara holiday una amua tu .Wafanya biashara hawana holidays sweetheart. Holidays ni kwa wafanyakazi tu[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Eheh palipo na single mom kuna single father[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao mtu akisema facts wanahisi kuna makasiriko. Halaf kuwa single maza ni dhambi kwani? Kwani watto hawana baba zao? Sindo wao hapa masingo faza wamejazana? K zenu nyie wanaume[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app