Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Uzuri ni kwamba mwanaume ndio mwenye kuchagua mke,
Mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kusema anaoa,
Mwanaume ndio mwenye kupeleka barua ya posa kuhakikishia umma wa familia kwamba ana uwezo wa kumlinda/kumtunza/kumuongoza mtoto wa watu atakayeenda kukabidhiwa

Kwa hiyo tunapoona malalamiko mengi sijui oooh wanawake wabaya tunajiuliza kwani wakati wa kuchagua hawakutumka akili aliyowapa Mungu kuwachunguza hao wanawake?

Sawa kuna makosa ya kiufundi lakini hata katika wanawake kubadilika na kushindikana sio kwa vilio hivi vya wanaume tunavyovisoma hapa

Basi msilie wala kulalamika, muombeni Mungu awakutaneshe na wake sahihi, Fanyeni taratibu zote muwaoe katika misingi inayokubaliwa; halafu ikitokea wamekua vichwa ngumu fanyeni maamuzi kama aliyofanya Mfalme Ahasuero alichofanya kwa mkewe aliyeitwa Vashti

Esta 1: 5-17
"Hata siku hizo zilipotimia, mfalme akawafanyia karamu watu wote waliokuwapo huko Shushani ngomeni, wakubwa kwa wadogo, muda wa siku saba, katika behewa la bustani ya ngome ya mfalme.
Palikuwa na mapazia ya bafta, nyeupe na samawi, yamefungiwa kamba za kitani safi za rangi ya zambarau kwa pete za fedha na nguzo za marumaru; pia na vitanda vilikuwa vya dhahabu na fedha juu ya sakafu ya marumaru, mawe mekundu, na meupe, na ya manjano, na meusi.
Wakawanywesha kileo katika vyombo vya dhahabu, na vile vyombo vilikuwa mbalimbali, na divai tele ya namna ya kifalme, sawasawa na ukarimu wa mfalme;
kunywa kulikuwa kama ilivyoamriwa, bila sharti; maana ndivyo mfalme alivyowaagiza watumishi-wa-nyumbani, kila mtu afanye apendavyo.

Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.

Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru Mehumani, Biztha, Harbona, Bigtha, Abagtha, Zethari, na Karkasi, wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.

Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.

Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; maana ndivyo ilivyokuwa desturi ya mfalme kwa wote waliojua sheria na hukumu; na karibu naye wameketi Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Meresi, Marsena, na Memukani, wale maakida saba wa Uajemi na Umedi, waliouona uso wa mfalme, na kuketi wa kwanza katika ufalme; akawauliza, Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.

Hahahahaa Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja."
Ahsante mama D
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Pole sana bro, Pambana na hali yako mkuu
 
Peleka huko usingo maza na kuzalishwa nyumbani..hakuna mwanaume anaweza kufunga safari na ndugu zake wa heshima kuja kutoa mahari kwa takataka kama wewe. Msipotoshe mabinti wengine wenye maadili yao
Mkuu kwahiyo unamanisha kwamba wanawake wengi wa Jf ni single mother ? Pia walizalishwa na kukimbiwa na waume zao kutokana na tabia chafu?
 
We Bibi beuty with brain unaijua? Haya maneno uliyotapika apa inakudefine kabisa kichwa ako imejaa maji
Sibishani na wewe.

Inatosha kusema kwamba wanaume wanaosimama kama wanaume hawawezi kulia lia kisa wapo na wake zao ambao wamesoma na wanapiga hela ndefu.

Na Wachagga wanaongoza kwa support wanayowapa wake zao sasa wewe Kongomani hebu tupumzishe na uturudishie jina letu na si tafazali
 
Usipoteze nguvu kwa hawa wajukuu wa kinjekitile wa majimaji war maana kwao ndoa ni jela ya mwanamke [emoji23]
Ndio maana mnalalamika hela ya mwanamke huioni utaionea wapi unamtumikisha kama mkimbizi
Imagine....aah wanaume wa kibongo mmoja mmoja Mungu akikubariki ndo unafanikisha asee! Na inabidi ushukuru kweli kweli[emoji848]
 
[emoji23][emoji23] saa hizi ndo wanafunga maofisi wenye hela zao. Ndo wanakusanya mafile. Wanawaza projects mpya. Siyo hawa hapa kila uzi wa masononeko wamoo... wahanga wakubwaa. Wamenyooshwa hawa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ahaaahaahaaa umegonga mle mle[emoji38][emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji16][emoji16]
 
Napenda hii post aione cariha maana nimefuatilia comment zake inaonekana ana ugomvi na wanaume
Nashangaa hii mada ni kwaajili ya WANAUME WALIOKOSEA KUOA... Lakin yanakuja manamake manungayembe yaliyoshindikana kwa tabia zao chafu huko... inawezekana hata na yenyewe yameisha achika huko na sasaiv ni masingo maza, yanatetea ukubuhu wao kwa nguvu sana [emoji706][emoji706][emoji706] Idiots!!
 
Mtag cariha anajifanya unajua sana usawa kumbe yawezekana mdangaji tu
Mamy K wewe utakua Ni mzuri unapendwa na kupendeka pia ndo maana unafanyiwa yote hayo..! Nikisema mzuri namanisha mzuri wa kila kitu heshima busara nk....! Hawa wanawake wanaoleta porojo za 50/50 Ni wabovu Kuanzia sura na kila kitu na hawako kwenye ndoa ma single maza walijochokea na maisha na hamna wa kuwapenda
 
Back
Top Bottom