Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mwenye hela ashinde hapa anatoka?[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] Never on earth [emoji289]

Yy ni vitendo underground, furthermore yuko busy kichizi akitafuta pesa, mapene
[emoji23][emoji23] saa hizi ndo wanafunga maofisi wenye hela zao. Ndo wanakusanya mafile. Wanawaza projects mpya. Siyo hawa hapa kila uzi wa masononeko wamoo... wahanga wakubwaa. Wamenyooshwa hawa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mnh hiyo sasa itakuwa dhambi jamani kuwafanyisha kazi za namna hiyo watoto wa watu.

Hata kama mke amejifungua au anaumwa bora kumuomba ndugu yake wa damu amfulie na siyo yaya jamani!

Yani mtu anashindwaje kufua nguo za ndani ?

Unaloweka na sabuni kisha unafikicha kidogo na kusuuza kwa maji mengi na kuanika juani.
Umuombe ndugu wa karibu Huyo mume kakatwa mikono
Sio vizuri hata kumfulisha ndugu pia
 
Ulitaka mwanamke mwenye kazi, hayo ndio
Matokeo yake,kiburi, jeuri, akijua humfanyi chochote kifedha.
 
Hakuna sehemu nimesemwa natumwa relax!!! Nimesema kusaidia ni muhimu na wewe unataka kupedwa wewe tu ufuliwe na kila kitu na yeye apendwe na nani? Ndo Sababu mnalia lia kila siku humu ndoa zinawashinda

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana hamna ya kuyapeleka mapenzi na ndoa yake, wewe unalazimika kufua ,kupiga deki, kuosha vyombo na hâta mengine mengi ili kuilinda ndo yako, wakati mimi ndoa yangu ipo imara licha ya kwamba sifanyi hayo unayofanya wewe kwakua yanautweza uanaume wangu.

Hiyo ndo tofauti zetu, Sasa wewe ukikaa hapa kumshauri wanaume wenzako waoshe vyombo ili kulinda ndoa zao nabaki nashangaa tu.
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Ni Bora familia imekuwa ya wastani vipi kama miaka 15 tayari ungekuwa na familia ya watoto 10🤔.
 
Mkuu mm hlo mapema mungu kani apusha nalo. Kuna manzi nlikuwa na mahusiano nae nlimpenda ili fika hatua mpka kumtmbulisha kwa wazazi. Ila ninavy kwambia hadi sasa hv kila m2 anafny nyake na 2kikutna njian kma mbingu na aldhi yeye kule mimi hku
 
Amemkamata wapi, haya ndo mapenzi yanayotakiwa!

Huyu mwanaume ni mjanja na atakula vinono kwa mke wake mpaka basi!

Mwanamke ukimuwezea na hizi care ndogo mdogo ni umemuwin milele, utapendwa mpaka ujishangae[emoji848]

We endelea kukaa kibabe, utakutana nayo mbele huko
Usipoteze nguvu kwa hawa wajukuu wa kinjekitile wa majimaji war maana kwao ndoa ni jela ya mwanamke [emoji23]
Ndio maana mnalalamika hela ya mwanamke huioni utaionea wapi unamtumikisha kama mkimbizi
 
Kila mtu ana hamna ya kuyapeleka mapenzi na ndoa yake, wewe unalazimika kufua ,kupiga deki, kuosha vyombo na hâta mengine mengi ili kuilinda ndo yako, wakati mimi ndoa yangu ipo imara licha ya kwamba sifanyi hayo unayofanya wewe kwakua yanautweza uanaume wangu.

Hiyo ndo tofauti zetu, Sasa wewe ukikaa hapa kumshauri wanaume wenzako waoshe vyombo ili kulinda ndoa zao nabaki nashangaa tu.
Hakuna sehemu nimesema udeki au ufue mzee!!! Ila shughuli za nyumbani zinajulikana.... Mimi kusaidia sioni ubaya

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.

Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Muelewe mleta mada,,,,ko hata kama ulimpenda ndo awe anazurura tu usiku eti anaalikwa dinner na watu usowajua,mixer nyumbani hakuna kitu anamfanyia mumewe nyumbani huo sio upendo
 
Somesheni mamaD ila wanaume watakaowaoa ndo nawatahadharisha wasitegemee kuhudumiwa kama mabwanyenye. Wategemee kwamba mke anaweza kwenda field hata ya wiki kila mwezi kwa hiyo mwanaume atulie na asilete za wivu.

Uzuri ni kwamba mwanaume ndio mwenye kuchagua mke,
Mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kusema anaoa,
Mwanaume ndio mwenye kupeleka barua ya posa kuhakikishia umma wa familia kwamba ana uwezo wa kumlinda/kumtunza/kumuongoza mtoto wa watu atakayeenda kukabidhiwa

Kwa hiyo tunapoona malalamiko mengi sijui oooh wanawake wabaya tunajiuliza kwani wakati wa kuchagua hawakutumka akili aliyowapa Mungu kuwachunguza hao wanawake?

Sawa kuna makosa ya kiufundi lakini hata katika wanawake kubadilika na kushindikana sio kwa vilio hivi vya wanaume tunavyovisoma hapa

Basi msilie wala kulalamika, muombeni Mungu awakutaneshe na wake sahihi, Fanyeni taratibu zote muwaoe katika misingi inayokubaliwa; halafu ikitokea wamekua vichwa ngumu fanyeni maamuzi kama aliyofanya Mfalme Ahasuero alichofanya kwa mkewe aliyeitwa Vashti

Esta 1: 5-17
"Hata siku hizo zilipotimia, mfalme akawafanyia karamu watu wote waliokuwapo huko Shushani ngomeni, wakubwa kwa wadogo, muda wa siku saba, katika behewa la bustani ya ngome ya mfalme.
Palikuwa na mapazia ya bafta, nyeupe na samawi, yamefungiwa kamba za kitani safi za rangi ya zambarau kwa pete za fedha na nguzo za marumaru; pia na vitanda vilikuwa vya dhahabu na fedha juu ya sakafu ya marumaru, mawe mekundu, na meupe, na ya manjano, na meusi.
Wakawanywesha kileo katika vyombo vya dhahabu, na vile vyombo vilikuwa mbalimbali, na divai tele ya namna ya kifalme, sawasawa na ukarimu wa mfalme;
kunywa kulikuwa kama ilivyoamriwa, bila sharti; maana ndivyo mfalme alivyowaagiza watumishi-wa-nyumbani, kila mtu afanye apendavyo.

Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.

Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru Mehumani, Biztha, Harbona, Bigtha, Abagtha, Zethari, na Karkasi, wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.

Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.

Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; maana ndivyo ilivyokuwa desturi ya mfalme kwa wote waliojua sheria na hukumu; na karibu naye wameketi Karshena, Shethari, Admatha, Tarshishi, Meresi, Marsena, na Memukani, wale maakida saba wa Uajemi na Umedi, waliouona uso wa mfalme, na kuketi wa kwanza katika ufalme; akawauliza, Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.

Hahahahaa Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja."
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao mtu akisema facts wanahisi kuna makasiriko. Halaf kuwa single maza ni dhambi kwani? Kwani watto hawana baba zao? Sindo wao hapa masingo faza wamejazana? K zenu nyie wanaume[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Eheh palipo na single mom kuna single father
Wakomee
 
Back
Top Bottom