Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ahsante mama D
 
Pole sana bro, Pambana na hali yako mkuu
 
Peleka huko usingo maza na kuzalishwa nyumbani..hakuna mwanaume anaweza kufunga safari na ndugu zake wa heshima kuja kutoa mahari kwa takataka kama wewe. Msipotoshe mabinti wengine wenye maadili yao
Mkuu kwahiyo unamanisha kwamba wanawake wengi wa Jf ni single mother ? Pia walizalishwa na kukimbiwa na waume zao kutokana na tabia chafu?
 
We Bibi beuty with brain unaijua? Haya maneno uliyotapika apa inakudefine kabisa kichwa ako imejaa maji
Sibishani na wewe.

Inatosha kusema kwamba wanaume wanaosimama kama wanaume hawawezi kulia lia kisa wapo na wake zao ambao wamesoma na wanapiga hela ndefu.

Na Wachagga wanaongoza kwa support wanayowapa wake zao sasa wewe Kongomani hebu tupumzishe na uturudishie jina letu na si tafazali
 
Usipoteze nguvu kwa hawa wajukuu wa kinjekitile wa majimaji war maana kwao ndoa ni jela ya mwanamke [emoji23]
Ndio maana mnalalamika hela ya mwanamke huioni utaionea wapi unamtumikisha kama mkimbizi
Imagine....aah wanaume wa kibongo mmoja mmoja Mungu akikubariki ndo unafanikisha asee! Na inabidi ushukuru kweli kweli[emoji848]
 
[emoji23][emoji23] saa hizi ndo wanafunga maofisi wenye hela zao. Ndo wanakusanya mafile. Wanawaza projects mpya. Siyo hawa hapa kila uzi wa masononeko wamoo... wahanga wakubwaa. Wamenyooshwa hawa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ahaaahaahaaa umegonga mle mle[emoji38][emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji16][emoji16]
 
Napenda hii post aione cariha maana nimefuatilia comment zake inaonekana ana ugomvi na wanaume
 
Mtag cariha anajifanya unajua sana usawa kumbe yawezekana mdangaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…