joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Haina tatizo mkuu. Mwambie tu huyo jamaa yako aache uchoyo. Ni uchoyo ndiyo unamsumbua mkuu. Hata kama wasingechangia hiyo nyumba bado mwanamke wake anakuwa na hisa yake hapo mkuu.Kuna jamaa tulisoma naye akaoa mke pale pale udom miaka hiyo,
Wakaajiriwa 2014 ualimu wakavuta mikopo wakajenga kwa kuchangia.
Saivi mke amejaza kijiji chao ndani jamaa akiongea kidogo anakumbushwa nyumba wamechangia.