Haina tatizo mkuu. Mwambie tu huyo jamaa yako aache uchoyo. Ni uchoyo ndiyo unamsumbua mkuu. Hata kama wasingechangia hiyo nyumba bado mwanamke wake anakuwa na hisa yake hapo mkuu.Kuna jamaa tulisoma naye akaoa mke pale pale udom miaka hiyo,
Wakaajiriwa 2014 ualimu wakavuta mikopo wakajenga kwa kuchangia.
Saivi mke amejaza kijiji chao ndani jamaa akiongea kidogo anakumbushwa nyumba wamechangia.
una changamsha tu genge humu ila ukiolewa mbona utatii bila shurutiSiwezi kutoka kazini nimechoka huko eti nianze kuosha vyombo, kupika Hadi saa nne kisa mume never on earth instead ya kutafta mtu afanye nihangaike tu Hadi nizeeke kwa kweli hapana, wote tumetoka tumeenda kazini nirudi nihangaike na yote hayo?
Maisha ni mafupi kujichosha na kazi mara kupika pika jamani Ili kufuraisha binadamu asiye na shukrani
Boy, pumzikaTulia mdogo wangu inaonekana wewe bado ni mtoto mchanga.
Ushakula lakini?
[emoji23][emoji23]nguvu zenyewe hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti njoo unipige[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Tena in one paragraph[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja arudi tena ,atapangua tuhoja twao twote.
"Hawanywagi bia nyingi kama wanaume wa mbagala waliozivamia kwenye harusi. "Eeh... halaf hata hawanywagi bia nyingi. Na hawaendagi kidimbwi. Wanaenda zao serena huko na kempisk wanakunywa whisk ama imported bia 2 tu wanaenda kulala na wanaamka alfajiri lwa siku mpya. Hawanywagi bia nyingi kama wanaume wa mbagala waliozivamia kwenye harusi.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji38]Wewe boxer zako za wasafi zakutosha tu[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] saa hizi ndo wanafunga maofisi wenye hela zao. Ndo wanakusanya mafile. Wanawaza projects mpya. Siyo hawa hapa kila uzi wa masononeko wamoo... wahanga wakubwaa. Wamenyooshwa hawa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Miss Pablo, could you please show some respect? I'm not a boy.
Uzuri huwa anapambana hadi mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie ziwa[emoji23][emoji23]Miss Pablo, could you please show some respect? I'm not a boy.
Eeh... wanazigongaga balaa maqna sherehe zenye windhoek na heinkein za kuhesabu shoo. Na kuna wataokufa hawaziotea hizo sherehe maisha yao yote hapa duniani."Hawanywagi bia nyingi kama wanaume wa mbagala waliozivamia kwenye harusi. "
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Eeh... wanazigongaga balaa maqna sherehe zenye windhoek na heinkein za kuhesabu shoo. Na kuna wataokufa hawaziotea hizo sherehe maisha yao yote hapa duniani.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama ake Pablo mbona unatoponda tunaokunywa bia huku Manzese maisha yetu si unayajua hizo imported bear unataka tuzitoe wapi Serena hotel ni mgahawa wa mama athumani wali shendiEeh... halaf hata hawanywagi bia nyingi. Na hawaendagi kidimbwi. Wanaenda zao serena huko na kempisk wanakunywa whisk ama imported bia 2 tu wanaenda kulala na wanaamka alfajiri lwa siku mpya. Hawanywagi bia nyingi kama wanaume wa mbagala waliozivamia kwenye harusi.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ngoja nilale naona unazingua. Sijui unakunywa pombe
Na alikuwa anakula ugoro kama nakumbuka vizuri .. maana hata mimi nilikuwepoIli tulishasema kwenye kikao msioe nakumbuka mpka mwenyekiti siku hiyo alikuwa Liverpool VPN siku hiyo alikuwa amevaa shati refu la uvurungi limefika mpka kwenye magoti la kitenge
Bado hamskii nyie endeleeni kulia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah, nisamehe mwanangu mwenyewe. Nishazoea banana. Si unajua tena rombo tumeshafunga kiwanda cha banana? Habari yenu manzese kwishaaa. Kesho tukutane hapo lambo basi kunguru..Mama ake Pablo mbona unatoponda tunaokunywa bia huku Manzese maisha yetu si unayajua hizo imported bear unataka tuzitoe wapi Serena hotel ni mgahawa wa mama athumani wali shendi
Mnataka turudishe panya road sasa