Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wengi wanaoteseka na mahusiano, walioa wakiwa hawana hela, juhudi za kutafuta pamoja zinaleta kiburi sana kwa wanawake.
Guys, gentlemen, tafuta hela acha kula mirungi na pombe kali.
Wee haya
 
Wengi wanaoteseka na mahusiano, walioa wakiwa hawana hela, juhudi za kutafuta pamoja zinaleta kiburi sana kwa wanawake.
Guys, gentlemen, tafuta hela acha kula mirungi na pombe kali.
Wee haya
Unamfahamu biligates?
 
Yaan majanaume ya kibongo yanapenda maugomvi na wanawake aaaaagghhh[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]...natapika mimi
Hapana wanawake ndiyo mnapenda maugomvi, kuna rafiki yangu beberu yupo miaka miaka mingi Tanzania siku moja Nika muuliza mbona hujaoa dada zetu umeoa mzungu mwenzako akajibu wanawake waki Tanzania Wana penda maugovi chengine Wana penda hela Sana Wana jifanya kukuonyesha mapenzi kumbe waongo Wana penda pesa tu
 
Huyo mzungu pori uchoyoo tu unamsumbua[emoji16][emoji16]
 
Hakuna kitu napenda kama kusifiwa aseehh!yaani mbichwa unajaa huoo![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mwingine hana huo mda!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea mie staki ujue? Afu kwanini huwa unitag jaman khaaah.
Dear niliku miss kweli ulikuwa wapi jamani Uzi umetembea mno kwa kasi ya 5g
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana hela huyu wanaume wenye hela hawatesa wake zao Wana wa spoil tu bila shida, mwenye hela hahaingiki na kubebewa maji bafuni anafikiria madeal makubwa ya hela
 
Nataka tumnunulie huyu phaller boxa 2 za draft na vest ya spider tumtumie kesho bar anazokunywa huyu mlevi huko sijui chugga[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Inabidi tumchangie pia hela akaweke Bomba la shower bafuni Ili mke atakaye muoa asipate shida na hii dunia yake isivunjike kwa sababu za kijinga hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…