Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Asante dear huyu mjinga kumbe ni shomile na makasiriko yake hovyo yamemshinda hafu hana hela, ndio maana anaomba kubebewa maji kwenye ndoo kichwani, na ana makasiriko na wanawake humu huyu mpuuzi, I was wondering why ana complain vitu vya ajabu maana uchagani sikuhizi watu hawabebi ndoo kichwani, asante kunifumbia@akilinjema kasema wanaume walio wakali humu hawana hela na mwamini kabisa
Huyu shirima fala sanaaa. Anabebesha wanawake ndoo za maji, anataka na kusuguliwa madodoki bafuni. Na ana mawe ya kusugulia masagamba ya miguuni[emoji23][emoji23] bado anataka maji yaungwe na karafuu na mdalasini ya kuoga. Hatuwezi muelewa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom