Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Humu JF ma single father ni wengi Wana stress na makasiriko ka yote Kuna Uzi walitoa povu sana kuhusu ku force wao kulelewa watoto unfortunately moderators waliufuta ule Uzi. Wengi wenye hasira humu wameachwa na wake zao hata huyo mzee shirima ni single father hapo ana stress.
[emoji23][emoji23][emoji23] uwuuoi, ni singo faza kumbe... ila amelala mapema sana. Amelog out muda kweli. Ama amepata kiposongo saa hizi. Huyu kaka ngoja nimtongoze anioe nike kumnyoosha.

Mzee Shirimaa plz marry me. Mimi ni mtraamuu[emoji23][emoji23] ila jua tukaoana hatuachani. Biashara uje nitangaza singo maza humu na nyuzi nakuua. Nanyofoa hizo kengele na sikuachi bado maana utatafuta meingine. Haikubaliki... nakutaka shirimaa... kwanza una mauno uzazi?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sema hii combo ni perfect combinengaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shos una nini wee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] shirima ni mlevi sana. Nisije pata hasara mara mbili. Hela asiwe nazo ma nguvu z akiume asuwe nazo. Ni msiba huo wamama. Alisemaga mwanamke akilala kitamdani asijiguse kbs. Ni yeye tu. Kazi kazi. Asije nipa hasara mara mbili. Hataki hata ukatike. Si ndio shirima wangu?[emoji23][emoji23] ngikukundi mbe.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] Bora Mimi nadanga kwa akili napata hela na connection muhimu huwezi nikuta nalia shida ndogo ndogo kama zenu wanaume humu JF msiojiamini, tafuteni hela Mimi mtoto wa kike nawashinda mna kwama wapi aisee?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea mie staki ujue? Afu kwanini huwa unitag jaman khaaah.
 
Vita ya kwanza ya mmu live, sikushauri...

Nmezungumzia combo yako na rafiki yako c
[emoji23][emoji23][emoji23] weer, tunachangamsha genge tu. Tukitulia sehem tunatuliaga wewe. Yaan hutuambii kitu... usishangae huyu fala akaniweka penyewe. Na usinisikie. Na akaunt yangu nikampa hii akawa anawachora tu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Naelewaaa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] shirima ni mlevi sana. Nisije pata hasara mara mbili. Hela asiwe nazo ma nguvu z akiume asuwe nazo. Ni msiba huo wamama. Alisemaga mwanamke akilala kitamdani asijiguse kbs. Ni yeye tu. Kazi kazi. Asije nipa hasara mara mbili. Hataki hata ukatike. Si ndio shirima wangu?[emoji23][emoji23] ngikukundi mbe.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimecheka km chizi, nyie mtamuua shirima wa watu.
 
Upo sahihi mkuu, kuoa ni kujiweka kwenye kifungo zaidi ya gereza la ukonga..[emoji23][emoji23] na hata kuzaa ni uaribifu wa rasilimali na fedha unazozitafuta kwa bidii...[emoji12][emoji12]
Kwikqi KVant tamu Sana hahahaha
 
Pole sana kwa yaliyoikukuta mkuu. Kiukweli ni changamoto sana kuishi na mwanamke mwenye kiburi na dharau.

Ila mkuu nawewe usingemshauri akasomee uanasheria kwa mustakabali wa ndoa yenu. Unaoaje mwanamke mwanasheria labda muwe kada moja ila kama ni tofauti hao watu ni much know sana.

Kwa ambae hujaoa nakushauri usioe kwani hakuna faida yoyote ya ndoa.
Mkuu mimi naoa mwaka ujao na ninajua hakuna faida yoyote ila naoa kwa sababu ya nitaonekanaje kwa jamii yangu nisipooa
 
Back
Top Bottom