Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti uko busy, busy my foot loh, kwa taarifa yako ni naye baby Hadi unililia machozi hivi vitu mnavolalamikia kwake ni ujinga mkubwa hata hawazi ka wanaume wa humu kabisa,
Na ujue ninapendwa mie, kupendwa Raha sana
 
Sikuhizi hata wadada wenye sura personal wanaolewa kwa kasi kisa kazi na hela, kikubwa wanawake wenzangu tutafte hela kwa bidii siunaona shishi baby anaoa na kuacha
Kwahiyo yale ndo aina ya mahusiano mahusiano unayotamani? Halafu mtengeneze familia gani sasaπŸ˜„πŸ˜„.
 
Dah jamaa likainuka kabisa kwenda kufuata kikombeπŸ˜… aisee kuna watu wana maisha magumu sana huku kwenye hizi ndoa!

Hapo unakuta mke ameshikilia simu anaangalia umbeya instaπŸ˜€
 
Mara paaah, huyo jamaa yumo humu na kwenye uzi kashatia neno😁.
 
Washing machine zimeisha madukani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!

Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana

cariha
Utaratibu ndo unavyotakiwa uwe hivyo!

Hamna haja ya kujifanya chizi wakati unajua kabisa ukiolewa sharti la kwanza ni kulala bila nguoπŸ˜…!

Household management ni jukumu la upili humo ndio utakutana na malezi, kufua,kupika na usafi kwa ujumla!
 
Dah jamaa likainuka kabisa kwenda kufuata kikombeπŸ˜… aisee kuna watu wana maisha magumu sana huku kwenye hizi ndoa!

Hapo unakuta mke ameshikilia simu anaangalia umbeya instaπŸ˜€
Yani naomba maji badala ya kuhudumiwa na shemeji yangu, eti napewa na mshikaji wangu.

Halafu kuna watu wanakwambia sio vibaya kumsaidia mke wangu.
 
Yani naomba maji badala ya kuhudumiwa na shemeji yangu, eti napewa na mshikaji wangu.

Halafu kuna watu wanakwambia sio vibaya kumsaidia mke wangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ikitokea siku mke wangu kafanya hilo mgeni akiondoka nayeye ataenda mapumziko kwao πŸ˜…!!! Im old school type of Dad!
 
We ulishindwa kufata hicho kikombe mpaka usumbue watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!

Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana

cariha
Sitaki kujua kama hiki ulichoandika hapa unakiishi, ila atleast unatambua ni ipi nafasi ya mwanamke katika level ya kifamilia.
 
Naaah! That was facetious qoute to my man Wyatt Mathewson ....sikuwa serious on it!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ikitokea siku mke wangu kafanya hilo mgeni akiondoka nayeye ataenda mapumziko kwao πŸ˜…!!! Im old school type of Dad!
Kwanza akikutuma mbele yangu, hΓ’ta kama hautafata lazima nikuchane kabla sijaondoka.

Anapata wapi courage ya kukutuma mbele yangu? Hebu tuweni serious kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…