Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

cariha miss pablo
Leo Niko busy Sana Jana ilikua holidays tutaonana kesho nyie wachaga toleo la mwisho kabisa.Endelea kubwabwaja maneno ...! We cariha nimeona comment yako kua Jana ulikua unaongea na babe wako aisee nimecheka Sana wewe na Mwanaume wapi na wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti uko busy, busy my foot loh, kwa taarifa yako ni naye baby Hadi unililia machozi hivi vitu mnavolalamikia kwake ni ujinga mkubwa hata hawazi ka wanaume wa humu kabisa,
Na ujue ninapendwa mie, kupendwa Raha sana
 
Sikuhizi hata wadada wenye sura personal wanaolewa kwa kasi kisa kazi na hela, kikubwa wanawake wenzangu tutafte hela kwa bidii siunaona shishi baby anaoa na kuacha
Kwahiyo yale ndo aina ya mahusiano mahusiano unayotamani? Halafu mtengeneze familia gani sasa😄😄.
 
Hilo ndo ninalilolijua mimi, sio swala la kuifanya kazi kwakua wife ametaka nifanye.

Siku moja nipo kwa rafiki yangu tumekaa sebuleni nilipata kuu nikaamua kuomba maji, jagi lilikuwa mezani ila kile kikombe kilikuwa kimetumika bwanaweeeeh... jamaa si akatumwa kikombe eti

"Ba fulani embu nipe hicho kikombe hapo kabatini"

Kabati yenyewe ipo kama mita nne toka tulipokaa, jamaa nae akaamka kufata kikombe....niligadhabika sana moyoni.
Dah jamaa likainuka kabisa kwenda kufuata kikombe😅 aisee kuna watu wana maisha magumu sana huku kwenye hizi ndoa!

Hapo unakuta mke ameshikilia simu anaangalia umbeya insta😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti uko busy, busy my foot loh, kwa taarifa yako ni naye baby Hadi unililia machozi hivi vitu mnavolalamikia kwake ni ujinga mkubwa hata hawazi ka wanaume wa humu kabisa,
Na ujue ninapendwa mie, kupendwa Raha sana
Mara paaah, huyo jamaa yumo humu na kwenye uzi kashatia neno😁.
 
Mnh hiyo sasa itakuwa dhambi jamani kuwafanyisha kazi za namna hiyo watoto wa watu.

Hata kama mke amejifungua au anaumwa bora kumuomba ndugu yake wa damu amfulie na siyo yaya jamani!

Yani mtu anashindwaje kufua nguo za ndani ?

Unaloweka na sabuni kisha unafikicha kidogo na kusuuza kwa maji mengi na kuanika juani.
Washing machine zimeisha madukani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!

Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana

cariha
Utaratibu ndo unavyotakiwa uwe hivyo!

Hamna haja ya kujifanya chizi wakati unajua kabisa ukiolewa sharti la kwanza ni kulala bila nguo😅!

Household management ni jukumu la upili humo ndio utakutana na malezi, kufua,kupika na usafi kwa ujumla!
 
Dah jamaa likainuka kabisa kwenda kufuata kikombe😅 aisee kuna watu wana maisha magumu sana huku kwenye hizi ndoa!

Hapo unakuta mke ameshikilia simu anaangalia umbeya insta😀
Yani naomba maji badala ya kuhudumiwa na shemeji yangu, eti napewa na mshikaji wangu.

Halafu kuna watu wanakwambia sio vibaya kumsaidia mke wangu.
 
Hilo ndo ninalilolijua mimi, sio swala la kuifanya kazi kwakua wife ametaka nifanye.

Siku moja nipo kwa rafiki yangu tumekaa sebuleni nilipata kuu nikaamua kuomba maji, jagi lilikuwa mezani ila kile kikombe kilikuwa kimetumika bwanaweeeeh... jamaa si akatumwa kikombe eti

"Ba fulani embu nipe hicho kikombe hapo kabatini"

Kabati yenyewe ipo kama mita nne toka tulipokaa, jamaa nae akaamka kufata kikombe....niligadhabika sana moyoni.

We ulishindwa kufata hicho kikombe mpaka usumbue watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!

Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana

cariha
Sitaki kujua kama hiki ulichoandika hapa unakiishi, ila atleast unatambua ni ipi nafasi ya mwanamke katika level ya kifamilia.
 
Utaratibu ndo unavyotakiwa uwe hivyo!

Hamna haja ya kujifanya chizi wakati unajua kabisa ukiolewa sharti la kwanza ni kulala bila nguo[emoji28]!

Household management ni jukumu la upili humo ndio utakutana na malezi, kufua,kupika na usafi kwa ujumla!
Naaah! That was facetious qoute to my man Wyatt Mathewson ....sikuwa serious on it!
 
Back
Top Bottom