wa zion
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 223
- 481
Ndio. Hapo inakua kusaidizana majukumu sio kutumana.Kwahiyo ukishalala naye hatakiwi kukutuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio. Hapo inakua kusaidizana majukumu sio kutumana.Kwahiyo ukishalala naye hatakiwi kukutuma?
Kwani kale kaujumbe ka kuwa utaachana na wazazi wako na kuambatana na mumeo huwa hamkaelewi vyema!kwani baba yake analala nae? yani ufananishe status ya baba na mume mbona jua na mwezi
Huyu ajengewe sanamu......wanawake wengi humu mavivu na hayana mahabaShoga ndoo nambebea, namuogesha na zivu namnyoaa.
Sifanyii utumwa nafanyia mahaba. Hata nichokejeH
Wote wanaoishi kwenye nyumba sio kazi za mke tuHaha... Ni kazi ya nani sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]maneno ya kujifariji tu hayo kila mtu hupata mtu wa type yake tena kusuuza rungu ka wote tuli enjoy no problem at all, wewe ukila mua na kutupa maganda yake hyo inakuwa furaha kwa chungu ku enjoy, tafuteni wanawake mnao wa mudu, wewe dhaifu kila idara unatafta strong woman aliyekuzidi kila kitu, kuanzia akili, hela hadi dhambi Matokeo yake ni kulia lia humu JFKwa attitude yako utaendelea kuwapata Mamarioo, ila wanaume wakubeba majukumu yao kuanzia kwenye uchumba mpaka kwenye familia wapo ila WEWE SI TYPE YAO ,unawe kukutana nayo ila ndio mwendo wa kusuuza rungu na kupigwa chini.
Wanawake wakogo hvyo wakshakalili kitu mpaka waje wabadilike ni muda sana.NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Kusaidiana au wewe ndio msaidizi na unapaswa kusaidia?Ndio. Hapo inakua kusaidizana majukumu sio kutumana.
Ukiongelea hili unawaumiza wenzio ambao bado hawajaolewa aisee na hao watu kuwapata sio rahisi kama unavyoongea humu😅Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????
Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.
Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.
Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.
Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.
Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
kwa jinsi unavyoongea umri wako unaweza kuwa 40+ na kama sio hivyo basi makuzi yako ni kumuweka mwanaume mbele kuliko hata afya yako. kitu ambacho si kibaya ila leo hii mama zetu hawa hawa ukiwauliza kama ni kweli walipenda kusugua sufuria 24/7 jibu huwa ni hapana.Hongera sana kulelewa hvyo ...na omba Mungu umpate wa kufanana nae!hawa wa kwetu wako tofauti na wenyewe tunaona kawaida tu..
Rudi kazini,pika fua boxers ,and so forth....
Hvyo yaani!
Hongera sana omba Mungu umpate wa aina ya baba zako na ndugu zako wa kiume!
Ukikutana na hawa wetu tulowazoea utasaga menoo!
Na hapa ndio mnapofeli... Kwani huko shuleni mlikofundishwa haki sawa hamkufundishwa wajibu pia? Hamkufundishwa division of labour?Wote wanaoishi kwenye nyumba sio kazi za mke tu
Nataka kusema kitu kimoja
Kingine hakuna mwanaume anapenda mkewe amzidi kipato ikitokea ndo hvyo atakubali lakini wengi inakua shida plus mawivu na maugomvi.
So choose wisely mwenza wako,na Mungu awasimamie sana.
.
Utakavyoona wewe uko sahihi!lakini siko hukoo kumueka mwanaume mbele kuliko afya yangu!kwa jinsi unavyoongea umri wako unaweza kuwa 40+ na kama sio hivyo basi makuzi yako ni kumuweka mwanaume mbele kuliko hata afya yako. kitu ambacho si kibaya ila leo hii mama zetu hawa hawa ukiwauliza kama ni kweli walipenda kusugua sufuria 24/7 jibu huwa ni hapana.
Mkuu oa mwanamke asiyeenda shule Ili awe ana kubeba mgongoni na wewe Binti zako usiwaendelekeze kielimu, wala kibiashara Ili waje kuwa wake wemaMwanamke hautakiwi kutafuta hela, hiyo ni kazi ya mwanaume.
Whether it is 21st century or whatever; mwanaume bana kazi yake ni kuhudumia na mwanamke kazi yake ni kulea na kuhakikisha familia imekaa sawa.
Mwanaume afanye kazi za wanaume na atimize majukumu yake kama mwanaume; mwanamke afanye kazi za wanawake na atimize majukumu yake kama mwanamke.
Hatukatai; mwanamke anaweza kuwa ameenda shule na hivyo akahitaji kufanya kazi (otherwise hakukuwa na haja ya kusoma), lakini hiyo kazi haipaswi kumpa excuse ya kutotimiza majukumu yake. Kama inamfanya asitimize majukumu yake basi aiache ili a-concentrate na majukumu yake ya msingi na asili.
This is not about being conservative.
Sasa hayo mapenzi yenyewe mbona mnabania hiyo mbususuWakuu tuelewane kufua,kupika,usafi wa nyumba sio kazi ya mkeo jamani ,kazi ya mkeo kukuzalia watoto nankufanya mapenzi na wewe kazi zingine apate msaidizi pia lakin isiwe kama sheria
Ameamua kukandia bana yeye mke wa balozi wa Ufaransa😅 nchini!Labda ungewashauri tuu vijana wasioe kabla hawajipanga lkn sio kuwakebehi vijana walio na kipato cha chini katika nchi yenye asilimia zaidi ya sabini ya watu wasio na ajira rasmi tia maji tia maji.
Binti.....kuna vitu vingine mnazidisha....pamoja na kusaidiwa kazi na mabeki tatu bado mnashindwa hata kumalizia sehemu ndogo ya kaziHaha.
Mkuu ni haki mke akirudi kazini aanze kazi za nyumba bila msaidizi yeyote wakati na yeye anachoka pia kutokana na kazi ?
Mapenzi yenyewe wanatoa kwa masharti yani wanawake wa sikuhizi hawana jema wala usitegemee wanaweza kufanya hata jukumu moja la ndoa kwa 100%!Sasa hayo mapenzi yenyewe mbona mnabania hiyo mbususu
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Si wanawake wote ambao wameenda shule ni feminists wala si wanawake wote ambao hawajaenda shule ni wives material.Mkuu oa mwanamke asiyeenda shule Ili awe ana kubeba mgongoni na wewe Binti zako usiwaendelekeze kielimu, wala kibiashara Ili waje kuwa wake wema