Mimi namuelewa sana
cariha ndivyo wachagga walivyo. I can assure you, angalia sana wanawake 60 and above Wachagga hasa wamachame wanaishi bila waume zao. Na ukitaka kufanya utafiti wa kutosha, utagundua kua wanawake wengi wenye hela wa Kichagga wanatembea na vijana wadogo tangu huko mgombani hadi mijini. Huwa hawana aibu hao.
Aidha ukikuta couple yenye mama wa kichagga ambazo ni 50+ na wanaishi wote happily, angalia mwenye sauti ni Mama; na nyumba ile ni ndugu wa mama wamejazana kibao. Wa mwanaume hawasogei pale. Matamanio ya wanaume wengi hata katika uzi huu unayaona na kweli mtoto wa kichagga akitaka kuolewa atakubali ila kadri siku zinavyosonga anabadilika na ndipo utakuta mwanaume anaigia jikoni kupika