Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Changamoto za wanaume wanaolalamika humu ni wale ambao hawana exposures na kukosa kuwa na kipato cha kutosha Kwa hiyo waongeze bidii ktk kufanya kazi na ubunifu wa kipato ili kutoka kwenye hayo malalamiko waliopo sasa.
Very true[emoji122][emoji122]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo nzuri nikizaa mfululizo wanakuwa pamoja ule ulezi wa utoto unaisha ghafla, tena nilianza kuzaa akifikisha miezi sita nabeba nyingine inakuwa mapacha wa nje
Enhee, sasa ukizaa ndio ujuwe utawafulia, utawapikia, utawaogesha..na mume utampa mzigo, hayo ndio majukumu yako usiyakwepe.
 
Wewe cariha inaonekana ushapigwa matukio mengi na hujawahi kua na mahusiano yenye amani kaa chini jiulize..! Hayo yote unayo ongea hum kuhusu wanaume kamwe huwezi pata Mwanaume wa hvo ..! Kama utampata wa hvo inabid ustuke atakua na mapungufu..! Sio unyanyasaji Ni uhalisia wa Mambo .
Mimi namuelewa sana cariha ndivyo wachagga walivyo. I can assure you, angalia sana wanawake 60 and above Wachagga hasa wamachame wanaishi bila waume zao. Na ukitaka kufanya utafiti wa kutosha, utagundua kua wanawake wengi wenye hela wa Kichagga wanatembea na vijana wadogo tangu huko mgombani hadi mijini. Huwa hawana aibu hao.

Aidha ukikuta couple yenye mama wa kichagga ambazo ni 50+ na wanaishi wote happily, angalia mwenye sauti ni Mama; na nyumba ile ni ndugu wa mama wamejazana kibao. Wa mwanaume hawasogei pale. Matamanio ya wanaume wengi hata katika uzi huu unayaona na kweli mtoto wa kichagga akitaka kuolewa atakubali ila kadri siku zinavyosonga anabadilika na ndipo utakuta mwanaume anaigia jikoni kupika
 
Mbona unaongea kama vile huo 'mzigo' ni faida ya mume peke yake
Hapana, hapa mjadala unaonyesha mwanamke anaweza kuishi bila hizo shughuli ndani ya nyumba, ambayo sio sawa. Najaribu tu kumwambia kwamba hayo ni majukumu yake, hawezi kuyakwepa hata afanyeje. Lakini pia hata sisi wanaume mbona tunafanya, japo sijui kwa wenzangu Ila binafsi nafanya coz watoto ni wangu na niko very proud nao. Binafsi mtoto akijichafua wala siiti mtu, namfuta na kumbadilisha...mtoto ni wangu na ni majukumu yangu kwa nini nitupie mzigo kwa dada, dada yupo kama msaidizi tu na bahati mbaya wengi hatukumbuki kuwa yeye ni msaidizi tu.
 
Mimi namuelewa sana cariha ndivyo wachagga walivyo. I can assure you, angalia sana wanawake 60 and above Wachagga hasa wamachame wanaishi bila waume zao. Na ukitaka kufanya utafiti wa kutosha, utagundua kua wanawake wengi wenye hela wa Kichagga wanatembea na vijana wadogo tangu huko mgombani hadi mijini. Huwa hawana aibu hao.

Aidha ukikuta couple yenye mama wa kichagga ambazo ni 50+ na wanaishi wote happily, angalia mwenye sauti ni Mama; na nyumba ile ni ndugu wa mama wamejazana kibao. Wa mwanaume hawasogei pale. Matamanio ya wanaume wengi hata katika uzi huu unayaona na kweli mtoto wa kichagga akitaka kuolewa atakubali ila kadri siku zinavyosonga anabadilika na ndipo utakuta mwanaume anaigia jikoni kupika
Huu nao ni ukweli mtupu, wanawake wa kimachame wanataka kuwa na sauti, mwanaume usiposimama vizuri mwanamke atakaa juu yako, ukishtuka huna ujanja tena!
 
Enhee, sasa ukizaa ndio ujuwe utawafulia, utawapikia, utawaogesha..na mume utampa mzigo, hayo ndio majukumu yako usiyakwepe.
Mkuu sifui nguo aisee naweka kwenye machine huko, hata kuogesha na delegate power Mimi, aisee kwanini nijitese wakati I can pay someone to assist me, Yani nijichoshe makazi yote ya nini aisee, Mimi in nature sipendi kujichosha sana bana,
 
Back
Top Bottom