Hiiiiiiiiiih..., hao wanawake wanaowatuma kazi na mnafurahia ni kawaida au kuna namna akili zenu zimechezewa?
Swala la kumsaidia wife naweza kufanya kwa natakiwa yangi mwenyewe tu, na haliwezi kabisa kutokea kwakua wife kataka. Eti baba fulani leo fua nguo mimi nipike...[emoji1] (Kwanza hata mwanamke mwenyewe hawezi kukuruhusu kufanya kazi za ndani kama anajitambua).
Ukinikuta napika(hii huwa ni fantasy yangu), nafua, au kazi nyingine unusual basi ujue nimetaka mwenyewe tena kwa kumlazimisha wife apumzike maana bila hivyo hawezi kuniruhusu kabisa. Mimi kazi yangu ni kutimiza mahitaji ya familia yangu na kupiga shoo ya maana kila ninapopata muda.
Kuishi kwa amani na mwanamke hauna ulazima wa wewe kujitoa heshima ya uume wako kufanya kila analotaka, wewe timiza majukumu yako kama mwanaume na yéyé atekeleze yake.
Tatizo mnaoa wanawake wasiowapenda na wanakuwa after vitu fulani kwenu na sio mapenzi ndomaana baada ya miaka 2 tu mwanamke kashakuchoka na hawezi kukufanyia kazi bila kunung'unika.
Uoe mwanamke anaekupenda, unatimiza kila kitu vizito (pesa + migegedo) alafu utumwe kazi???
Vijana acheni huo ujinga, ndomaana hâta wazee wamebaki kuwashangaa tu.