Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mamy K wewe utakua Ni mzuri unapendwa na kupendeka pia ndo maana unafanyiwa yote hayo..! Nikisema mzuri namanisha mzuri wa kila kitu heshima busara nk....! Hawa wanawake wanaoleta porojo za 50/50 Ni wabovu Kuanzia sura na kila kitu na hawako kwenye ndoa ma single maza walijochokea na maisha na hamna wa kuwapenda
Hakuma mwanamke umemfanya single maza? Siwapendi sana munaowaattack single.mazaz jaman

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hizi changamoto zako zinavumilika na zinafundishika ukitumia akili ndogo tu. Tatizo lake ni kwamba hayuko vizuri kwenye mapishi, hivyo Unaweza hata ukamtafutia sehemu akajifunze mapishi toka kwa wale waliosomea Hotel management kisha mdanganye unataka kumfungulia Mgahawa akimaliza mafunzo. Halafu akimaliza kufundishwa unamuacha nyumbani.

Kesi za uchepukaji ndio ngumu sana kwa mwanaume kuvumilia lakini haya mambo mengine yanavumilika. Sio rahisi kupata mke aliyekamilika kila eneo.
Mkuu unasema tu ,Huyo mwanamke maana take in mchafu nanhajui kupika no Mara 100 uishi na mwanamke mchawi kulipo mchafu.
 
Amemkamata wapi, haya ndo mapenzi yanayotakiwa!

Huyu mwanaume ni mjanja na atakula vinono kwa mke wake mpaka basi!

Mwanamke ukimuwezea na hizi care ndogo mdogo ni umemuwin milele, utapendwa mpaka ujishangae[emoji848]

We endelea kukaa kibabe, utakutana nayo mbele huko
Subiri siku uolewe ndio utatujua sie wanaume tuko vipi
 
Uliandika ili mtu asome iweje?

Ina maana gani wewe kuandika kama hutaki chochote from your readers?

Ni heri ungeenda kulima sasa....
Acha wivu mzee! Unataka nikuaminishe nini kwenye hayo niliyo yasema? Najibu swali lako.... lengo lakuandika hayo machache niliyo andika ni ili wengine wajue sio wanawake wote wenye kipato au elimu zaidi ya mume hawana heshima au hawafai kuolewa....!!! Usiwaze sana iyo v8 sio yetu niya serikali, maana iyo ndo inakutoa roho relax...!!!! Na usitegemee mimi kujielezea zaidi hapa jf lengo ni kuona pia hawa wanawake hawafanani swala lakutokuwa na heshima halihusiani na elimu wala kipato ni tabia tu... Hata wanaume wapo hajasoma hana Chochote lakini ana majivuni na zarau hope umeeelewa mkuu?

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Leo leo jamani wanawake tunaweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao mtu akisema facts wanahisi kuna makasiriko. Halaf kuwa single maza ni dhambi kwani? Kwani watto hawana baba zao? Sindo wao hapa masingo faza wamejazana? K zenu nyie wanaume[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wazitoe wapi. Wanaoshupaza shingo tu hapa. Wenye hela zao unafikiri utawaona hapa basi wakichonga midomo yao?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mwenye hela ashinde hapa anatoka?[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] Never on earth [emoji289]

Yy ni vitendo underground, furthermore yuko busy kichizi akitafuta pesa, mapene
 
Woooiiìiii kwa hiyo tuache kusomesha mabinti zetu au tuwasomeshe tuu ila wawe mademu za watu na sio wake za watu??
Somesheni mamaD ila wanaume watakaowaoa ndo nawatahadharisha wasitegemee kuhudumiwa kama mabwanyenye. Wategemee kwamba mke anaweza kwenda field hata ya wiki kila mwezi kwa hiyo mwanaume atulie na asilete za wivu.
 
Umetokea wapi Tena
Nyie kuku vishingo mnatulazimishaga tuonekane waswazi wa kigogo fresh. Kelele kibaooo. Mkute hata nguvu za kiume hamna. Mkomeee carihaaa. Munajiaminisha bure kwamba mwanamke akisema uhalisia basi ni msimbe ama singo maza. Basi msimbe OG . Niko hapa na maisha ninayo vilevileee na siombi hela ya mtu. Kwani tunakufa? Wahinga nyieee. Nendeni basi kwa maslay queen wenu.. ndo maana tunawaoagaaa. Manyoko

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli kwamba huyo mwanamke ni multiple human being awe anaacha ya kazini a nafanya ya nyumbani!?

Yaani mnataka tushirikiane kwenye mambo ya kuingiza pesa and at the same time tuwafulie and every thing 100%?

Wewe mwanaume na nguvu zako unaweza kufanya kazi zako za ofisini na kisha kutimiza majukumu ya nyumbani?
Wa kwangu yupo tofauti. Namsaidia baadhi ya siku lakini Mara nyingi anafanya zote
 
Pole sana mkuu
Naona mke amekukamata vilivyo...mume anaanzaje kufua na kupika ikiwa mke yupo mzima wa afya kabisa?
Na ili ndo tatizo letu sisi vijana mkuu! Hizi ni kazi za kawaida kabisa.... Uyo ni mimi naona kawaida, mwengine alivyolelewa kwao aliambiwa izi niza wanawake kwetu hakukuwa na kazi ya kike wala kiume" sio kosa lako mkuu.... Nataka ujue haijawai kutokea siku nikaambiwa deki ila huwa ni mimi na mapenzi yangu mkuu and I am happy iyo kushikwa nikujilemaza mkuu

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Kuna namna nimekugusa au ndo umekuja kuwapa wenzio backup?
Mimi ni mwanamke. Ama ulifikiri nna jinsia 2? Napinga unyanyasaji dhidi ya wanawake. Nimeona unatusi kwa kuwaambia sijui sura mbovu mara singo maza blah blah. Mtu asiseme kama ana mawazo yake kuhofia atakua blasted kisa msimbe ama singo maza? Tunaanza kuwasimanga masingo faza sasa na sisi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Nyie kuku vishingo mnatulazimishaga tuonekane waswazi wa kigogo fresh. Kelele kibaooo. Mkute hata nguvu za kiume hamna. Mkomeee carihaaa. Munajiaminisha bure kwamba mwanamke akisema uhalisia basi ni msimbe ama singo maza. Basi msimbe OG . Niko hapa na maisha ninayo vilevileee na siombi hela ya mtu. Kwani tunakufa? Wahinga nyieee. Nendeni basi kwa maslay queen wenu.. ndo maana tunawaoagaaa. Manyoko

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Makasiriko 4G
 
Hiiiiiiiiiih..., hao wanawake wanaowatuma kazi na mnafurahia ni kawaida au kuna namna akili zenu zimechezewa?

Swala la kumsaidia wife naweza kufanya kwa natakiwa yangi mwenyewe tu, na haliwezi kabisa kutokea kwakua wife kataka. Eti baba fulani leo fua nguo mimi nipike...[emoji1] (Kwanza hata mwanamke mwenyewe hawezi kukuruhusu kufanya kazi za ndani kama anajitambua).

Ukinikuta napika(hii huwa ni fantasy yangu), nafua, au kazi nyingine unusual basi ujue nimetaka mwenyewe tena kwa kumlazimisha wife apumzike maana bila hivyo hawezi kuniruhusu kabisa. Mimi kazi yangu ni kutimiza mahitaji ya familia yangu na kupiga shoo ya maana kila ninapopata muda.

Kuishi kwa amani na mwanamke hauna ulazima wa wewe kujitoa heshima ya uume wako kufanya kila analotaka, wewe timiza majukumu yako kama mwanaume na yéyé atekeleze yake.

Tatizo mnaoa wanawake wasiowapenda na wanakuwa after vitu fulani kwenu na sio mapenzi ndomaana baada ya miaka 2 tu mwanamke kashakuchoka na hawezi kukufanyia kazi bila kunung'unika.

Uoe mwanamke anaekupenda, unatimiza kila kitu vizito (pesa + migegedo) alafu utumwe kazi???

Vijana acheni huo ujinga, ndomaana hâta wazee wamebaki kuwashangaa tu.
Hakuna sehemu nimesemwa natumwa relax!!! Nimesema kusaidia ni muhimu na wewe unataka kupedwa wewe tu ufuliwe na kila kitu na yeye apendwe na nani? Ndo Sababu mnalia lia kila siku humu ndoa zinawashinda

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom