Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hahahahahahahah hiki kizazi kilichosomea Christ the King, wakaenda Kenton kisha St. Matthew hapo tegemea maumivu kama ndio mke unatarajia kuoa.

Wengi hawajazoea kazi toka wako makwao wanakuzwa na mabeki 3 tu! Kuna mtoto wa msister flani yeye yuko form 6 anasoma St.Mary Goreth huwa anatumiwa dereva wa kumfuata na kumpeleka shule hapo Moshi privately. Huyo binti hata kupika tu hajui tunamuombea mama amshikilie vyema ili aingie kwenye network ya kazini maana ikitokea hali ni tofauti [emoji28] niko sure 100% atazalia home tu [emoji28]
Shida sana kiukweli ni MALEZI YA MWANAMKE HUSIKA so kama umeoa yule ambae mayai mayai kwao kalelewa na beki tatu mpaka kufuliwa chupi za ndani aisee kazi unayo lakini pia Mwanaume ambae kwao kazoea mpaka kufuliwa boxer kazi mwanamke anayo...!! Me kupika sio ishu yani naweza pika vizuri tu ila kwa kuamua sio mwanamke anipangie..
 
A bitter truth, wengi hawatakubaki lakini ndio uhalisia
Wanawake wengine huwa wanapenda ligi tu anajua yeye ndio ana makosa ila anakukazia tu just to feel the heat kwamba amekukomesha😅😆🤣 anapata relief!

Hawa wapo wengi tu ni bahati mbaya sana ukikutana nae kwenye mahusiano.
 
Shida sana kiukweli ni MALEZI YA MWANAMKE HUSIKA so kama umeoa yule ambae mayai mayai kwao kalelewa na beki tatu mpaka kufuliwa chupi za ndani aisee kazi unayo lakini pia Mwanaume ambae kwao kazoea mpaka kufuliwa boxer kazi mwanamke anayo...!! Me kupika sio ishu yani naweza pika vizuri tu ila kwa kuamua sio mwanamke anipangie..
Kuna kabinti kenyewe hata kutupa pedi kalikuwa kanaona uvivu yani😅 kanazitupia uvunguni beki tatu akisafisha chumbani kwake ndio anaziokota akatupe!

Hivi mwanamke wa aina hii unategemea hali itakuwaje humo mjengoni? Sio kwamba anakuwa busy ila anashinda kwenye simu 24/7 yani😅 hata kutoka rum anaweza asitoke. Hasaidii kazi zozote yani kupika mpaka ashurutishwe ndio utegemee binti kama huyu atafanya majukumu ya mke bila kulalama?

Ubaya anasomea sheria pia 😂😂😂😂🤣🤣🤣 ila yuko very bright upstairs!
 
Swali zuri sana, yaani sijui hawa wenzetu wa jinsia tofauti wana mawazon gani

Ukisoma huu uzi utahundua the way they look down at us, wanashindwa kuelewa hata wao wana mapungufu yao meeengi ila tunayavumilia tu na maisha yanasonga mbele

Yaani wanatujadili hadi wanatukosea heshima, utadhani mwanamke ni perfect human being, kasoro ndogo ndogo tu za kumalizana na wake zao wanakuja kuzianika humu
Swala sio kuwasomesha aisee ishu ni mnavyo wa mould! Usidekeze mtoto wa kike hata siku moja. Muwafunze kuwa siku moja wataolewa na watatakiwa kufanya yote ambayo wanategea kufanya. Chapeni watoto wafanye kazi wazoee kazi!

Kiafrika mwanamke akiolewa household management ni kazi yake ya kudumu! Iwe usafi ama upishi na mazingira kwa ujumla. Bila kusahau malezi ya watoto.

Matokeo ya kuwadekeza ndio haya sasa mwanamke inafikia stage hata kuipikia familia anataka viwekwe vikao 😅😅😅 vya maridhiano!
 
Kuna kabinti kenyewe hata kutupa pedi kalikuwa kanaona uvivu yani[emoji28] kanazitupia uvunguni beki tatu akisafisha chumbani kwake ndio anaziokota akatupe!

Hivi mwanamke wa aina hii unategemea hali itakuwaje humo mjengoni? Sio kwamba anakuwa busy ila anashinda kwenye simu 24/7 yani[emoji28] hata kutoka rum anaweza asitoke.
Sasa Jichanganyee hapoo yani Mpaka kitanda utatandika mafua utafua so Suala la Uvivu ni Nature ya mwanamke kama amelelewa hivyo Wewe mwanaume huwezi badilisha kitu utaongea sana.. Utapiga sana kama.hutaweza mvumilia Muache tu
 
Samia ndiyo anafanya kazi nyingi mkuu usitake tudanganyane hapa! Mwigulu ni kiongozi wa wizara moja while Samia ni kiongozi wa nchi nzima hapo anayetakiwa kuumiza kichwa zaidi ni Samia!
Ila Samia akifika kwa mumewe anatulia tuli😅 anaagizwa na glass ya maji apeleke!
 
Exactly. Maisha yametufunza sana. Hawafundishiki hawa. Hawaeleweki.. hawanaga shukrani majority yao..mpandiahe chat atoboe uone cheche zake

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Na wengi wanalalamika ila ugomvi mkubwa huanzishwa na wao kwa kuchepuka na kufanya wake wawe wakaidi, na wakilipizwa wanaanza kulia lia humu
 
Eeh, shogaaa, ukiwa huna ajira hakuna anayekushobokea. Pata sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kila mtu anakutakaaa.... mi nimeamua kuwa mchoyo kwa sasa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sikuhizi hata wadada wenye sura personal wanaolewa kwa kasi kisa kazi na hela, kikubwa wanawake wenzangu tutafte hela kwa bidii siunaona shishi baby anaoa na kuacha
 
Huu ndio uhalisia ambao hata mimi naelewa na hio inachagizwa na upendo baina yenu[emoji28]!

Yani kama mke anakupenda na wewe unampenda huwezi ona kero kumsaidia tena willingly..Huwezi kuta mke mwenye adabu anakulazimisha kumpikia au kukufanyisha kazi za ndani!

Pia mke kuwa best yako ni very important yani! Inafanya maisha kuwa easy sana hamna insecurities wala mambo ya kuwaza kupekuana simu sijui. Yani mnaishi kizungu sana siku unaamua tu leo jamani twendeni tukale mjini mahali flani aidha hotelini.

Guys get ready na wife anawaandaa madogo na beki tatu hao mnaingia zenu mjini.
Kabisa kabisa. Tena penzi linanoga sana mnakua ni mke na mume na ni marafiki sana maana vitu kama hivyo vinazidisha bond kwenye mahusiano.

Sio nyumba nyingine baba hata shoka hana na sio nyumba ya kupanga
 
Huu ndio uhalisia ambao hata mimi naelewa na hio inachagizwa na upendo baina yenu😅!

Yani kama mke anakupenda na wewe unampenda huwezi ona kero kumsaidia tena willingly..Huwezi kuta mke mwenye adabu anakulazimisha kumpikia au kukufanyisha kazi za ndani!

Pia mke kuwa best yako ni very important yani! Inafanya maisha kuwa easy sana hamna insecurities wala mambo ya kuwaza kupekuana simu sijui. Yani mnaishi kizungu sana siku unaamua tu leo jamani twendeni tukale mjini mahali flani aidha hotelini.

Guys get ready na wife anawaandaa madogo na beki tatu hao mnaingia zenu mjini.
Hilo ndo ninalilolijua mimi, sio swala la kuifanya kazi kwakua wife ametaka nifanye.

Siku moja nipo kwa rafiki yangu tumekaa sebuleni nilipata kuu nikaamua kuomba maji, jagi lilikuwa mezani ila kile kikombe kilikuwa kimetumika bwanaweeeeh... jamaa si akatumwa kikombe eti

"Ba fulani embu nipe hicho kikombe hapo kabatini"

Kabati yenyewe ipo kama mita nne toka tulipokaa, jamaa nae akaamka kufata kikombe....niligadhabika sana moyoni.
 
[emoji23][emoji23] yewomiiii... ama apandishwe esther luxury. Pia hela ya kula njiani tumpe. Siyo kila mtu ameshuka rock hill kula ila yeye analinda mizigo ya kwneye basi mwishowe aibeee... watakuuliaaa hapo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] itabidi tumsaidie na hela ya kula kabisa huyu maana bila hivo Hali itakuwa tete
 
Back
Top Bottom