Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Agiza Serengeti chui lite baridi sana, muhudumu muelekeza nilipo!Acha Tu, kumbuka hapo na Mimi nafanya kazi. Ila Kwa haya niliyoyasoma humu nimejua mie ni bonge la mke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agiza Serengeti chui lite baridi sana, muhudumu muelekeza nilipo!Acha Tu, kumbuka hapo na Mimi nafanya kazi. Ila Kwa haya niliyoyasoma humu nimejua mie ni bonge la mke.
Ila siyo uje kunidangia mkuu[emoji28][emoji28]Hongera sana Miss Pablo. Wanawake kama nyie ndiyo mnatakiwa.
Shida sana kiukweli ni MALEZI YA MWANAMKE HUSIKA so kama umeoa yule ambae mayai mayai kwao kalelewa na beki tatu mpaka kufuliwa chupi za ndani aisee kazi unayo lakini pia Mwanaume ambae kwao kazoea mpaka kufuliwa boxer kazi mwanamke anayo...!! Me kupika sio ishu yani naweza pika vizuri tu ila kwa kuamua sio mwanamke anipangie..Hahahahahahahah hiki kizazi kilichosomea Christ the King, wakaenda Kenton kisha St. Matthew hapo tegemea maumivu kama ndio mke unatarajia kuoa.
Wengi hawajazoea kazi toka wako makwao wanakuzwa na mabeki 3 tu! Kuna mtoto wa msister flani yeye yuko form 6 anasoma St.Mary Goreth huwa anatumiwa dereva wa kumfuata na kumpeleka shule hapo Moshi privately. Huyo binti hata kupika tu hajui tunamuombea mama amshikilie vyema ili aingie kwenye network ya kazini maana ikitokea hali ni tofauti [emoji28] niko sure 100% atazalia home tu [emoji28]
We kizibo kweli kweli.... alokuambia nna stress nani? Hata ningekua nauza, usingekua na hela ya kununua. Zaidi nikufanye kitombi wangu makalio wewe... pambana bafu halikai nje..We muuzaji tu huna lolote. Hapa naona unatoa stress za kushinda njaa.
Wanawake wengine huwa wanapenda ligi tu anajua yeye ndio ana makosa ila anakukazia tu just to feel the heat kwamba amekukomesha😅😆🤣 anapata relief!A bitter truth, wengi hawatakubaki lakini ndio uhalisia
Kuna kabinti kenyewe hata kutupa pedi kalikuwa kanaona uvivu yani😅 kanazitupia uvunguni beki tatu akisafisha chumbani kwake ndio anaziokota akatupe!Shida sana kiukweli ni MALEZI YA MWANAMKE HUSIKA so kama umeoa yule ambae mayai mayai kwao kalelewa na beki tatu mpaka kufuliwa chupi za ndani aisee kazi unayo lakini pia Mwanaume ambae kwao kazoea mpaka kufuliwa boxer kazi mwanamke anayo...!! Me kupika sio ishu yani naweza pika vizuri tu ila kwa kuamua sio mwanamke anipangie..
Mimi sijambo miss, achana na michambo mtoto mzuri hachambani![emoji39]Hakuna michambo bobuuu... tunaelekezana tu. Wewe hujambo nini?[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Swala sio kuwasomesha aisee ishu ni mnavyo wa mould! Usidekeze mtoto wa kike hata siku moja. Muwafunze kuwa siku moja wataolewa na watatakiwa kufanya yote ambayo wanategea kufanya. Chapeni watoto wafanye kazi wazoee kazi!Swali zuri sana, yaani sijui hawa wenzetu wa jinsia tofauti wana mawazon gani
Ukisoma huu uzi utahundua the way they look down at us, wanashindwa kuelewa hata wao wana mapungufu yao meeengi ila tunayavumilia tu na maisha yanasonga mbele
Yaani wanatujadili hadi wanatukosea heshima, utadhani mwanamke ni perfect human being, kasoro ndogo ndogo tu za kumalizana na wake zao wanakuja kuzianika humu
Sasa Jichanganyee hapoo yani Mpaka kitanda utatandika mafua utafua so Suala la Uvivu ni Nature ya mwanamke kama amelelewa hivyo Wewe mwanaume huwezi badilisha kitu utaongea sana.. Utapiga sana kama.hutaweza mvumilia Muache tuKuna kabinti kenyewe hata kutupa pedi kalikuwa kanaona uvivu yani[emoji28] kanazitupia uvunguni beki tatu akisafisha chumbani kwake ndio anaziokota akatupe!
Hivi mwanamke wa aina hii unategemea hali itakuwaje humo mjengoni? Sio kwamba anakuwa busy ila anashinda kwenye simu 24/7 yani[emoji28] hata kutoka rum anaweza asitoke.
Ila Samia akifika kwa mumewe anatulia tuli😅 anaagizwa na glass ya maji apeleke!Samia ndiyo anafanya kazi nyingi mkuu usitake tudanganyane hapa! Mwigulu ni kiongozi wa wizara moja while Samia ni kiongozi wa nchi nzima hapo anayetakiwa kuumiza kichwa zaidi ni Samia!
Yeah hii ndio type ya wanawake wanaojua nini wanatakiwa kufanya as wives! Mahaba ni sehemu pekee ya kuimarisha bond ya mke na mume.We mwanamke umelelewa vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23] hunijui tu Mimi wapenzi wangu wananipenda sana mkuu, Hadi hunishangaa nilivo mstaarabuWewe atakayekuja kukuoa lazima aanzishe uzi kama huu
Kuzaa lazima kuendelee
Hapana banaa. Ujue usichukulie serious haya mambo. Changamsha genge hiliMimi sijambo miss, achana na michambo mtoto mzuri hachambani![emoji39]
Na wengi wanalalamika ila ugomvi mkubwa huanzishwa na wao kwa kuchepuka na kufanya wake wawe wakaidi, na wakilipizwa wanaanza kulia lia humuExactly. Maisha yametufunza sana. Hawafundishiki hawa. Hawaeleweki.. hawanaga shukrani majority yao..mpandiahe chat atoboe uone cheche zake
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sikuhizi hata wadada wenye sura personal wanaolewa kwa kasi kisa kazi na hela, kikubwa wanawake wenzangu tutafte hela kwa bidii siunaona shishi baby anaoa na kuachaEeh, shogaaa, ukiwa huna ajira hakuna anayekushobokea. Pata sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kila mtu anakutakaaa.... mi nimeamua kuwa mchoyo kwa sasa.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kabisa kabisa. Tena penzi linanoga sana mnakua ni mke na mume na ni marafiki sana maana vitu kama hivyo vinazidisha bond kwenye mahusiano.Huu ndio uhalisia ambao hata mimi naelewa na hio inachagizwa na upendo baina yenu[emoji28]!
Yani kama mke anakupenda na wewe unampenda huwezi ona kero kumsaidia tena willingly..Huwezi kuta mke mwenye adabu anakulazimisha kumpikia au kukufanyisha kazi za ndani!
Pia mke kuwa best yako ni very important yani! Inafanya maisha kuwa easy sana hamna insecurities wala mambo ya kuwaza kupekuana simu sijui. Yani mnaishi kizungu sana siku unaamua tu leo jamani twendeni tukale mjini mahali flani aidha hotelini.
Guys get ready na wife anawaandaa madogo na beki tatu hao mnaingia zenu mjini.
Hilo ndo ninalilolijua mimi, sio swala la kuifanya kazi kwakua wife ametaka nifanye.Huu ndio uhalisia ambao hata mimi naelewa na hio inachagizwa na upendo baina yenu😅!
Yani kama mke anakupenda na wewe unampenda huwezi ona kero kumsaidia tena willingly..Huwezi kuta mke mwenye adabu anakulazimisha kumpikia au kukufanyisha kazi za ndani!
Pia mke kuwa best yako ni very important yani! Inafanya maisha kuwa easy sana hamna insecurities wala mambo ya kuwaza kupekuana simu sijui. Yani mnaishi kizungu sana siku unaamua tu leo jamani twendeni tukale mjini mahali flani aidha hotelini.
Guys get ready na wife anawaandaa madogo na beki tatu hao mnaingia zenu mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23] itabidi tumsaidie na hela ya kula kabisa huyu maana bila hivo Hali itakuwa tete[emoji23][emoji23] yewomiiii... ama apandishwe esther luxury. Pia hela ya kula njiani tumpe. Siyo kila mtu ameshuka rock hill kula ila yeye analinda mizigo ya kwneye basi mwishowe aibeee... watakuuliaaa hapo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app