Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wanaume huwa hatupigi bila sababu na ikilazimu ni kwa sababu za kuonya tu! Just alerting you kwamba its beyond the limits. Thats doesn’t involve kuvimbishana sura just a slight kakofi ku restore settings.

Kwa mwanamke anaejielewa anajirudi right away! Anajutia kosa lake na anazidisha upendo kwa kuwa umemuondoa kwenye ujinga!
Mmmmh...unapenda sana kutetea as if nyie ni miungu watu huwa hamkosei yaan[emoji848][emoji848]

Mna mikosa na matabia kibaooo yaan, bora yetu hata sisi
 
Hao ni kuwapa kesi ya madawa ya kulevya mpaka pale watakapokiri kwamba hawataniingilia tena kwenye mapenzi yangu na wewe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe umepinda simple as that

Asee nimecheka kidogo nigonge mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmmmh...unapenda sana kutetea as if nyie ni miungu watu huwa hamkosei yaan[emoji848][emoji848]

Mna mikosa na matabia k kibaooo yaan, bora yetu hata sisi
We are good at ignoring ila nayo huwa inafikia stage huwezi kuendelea ignore! What does a man do then? He acts by hitting you...

Nyie tatizo mnatuchukulia like pitholes, unataka urushie whatever you feel like bila kujua kuna muda hata shimo litajaa na kutapika. Its all games until you get slapped tha fauk out!

Kinyume chake inakuwa my man is a gentleman kweli hata nikim bully ye hukaa kimya tu 😂 he is such a man! Thats some weak men shit!

Tabia kila mtu anatabia mbovu ila you can’t be rude to your partner! Thats un-acceptable be whatever you wanna be but don’t be stubborn😅
 
Mkuu mm hlo mapema mungu kani apusha nalo. Kuna manzi nlikuwa na mahusiano nae nlimpenda ili fika hatua mpka kumtmbulisha kwa wazazi. Ila ninavy kwambia hadi sasa hv kila m2 anafny nyake na 2kikutna njian kma mbingu na aldhi yeye kule mimi hku
Sababu Nini kassim kimoby usiendekeze chuki, samehe maisha yaendelee. Sijasema mrudiane Ila mmpeane hi
 
Dah Bora useme wewe mtu ana mpiga mtu mzima mwenzako kisa eti anaenda kazini na ana force mambo na anajianika humu JF nakusema mke wangu mkorofi. Mwanaume anayepiga mwanamke hana akili kabisa
Hiyo ni tabia chafu na malezi mabovu
 
We are good at ignoring ila nayo huwa inafikia stage huwezi kuendelea ignore! What does a man do then? He acts by hitting you...

Nyie tatizo mnatuchukulia like pitholes, unataka urushie whatever you feel like bila kujua kuna muda hata shimo litajaa na kutapika. Its all games until you get slapped tha fauk out!

Kinyume chake inakuwa my man is a gentleman kweli hata nikim bully ye hukaa kimya tu [emoji23] he is such a man! Thats some weak men shit!

Tabia kila mtu anatabia mbovu ila you can’t be rude to your partner! Thats un-acceptable be whatever you wanna be but don’t be stubborn[emoji28]
Hivi mi nimbully a real gentleman kweli si nitakuwa mwehu!
One of my boyfriend was so cool and humble, yaan ilikuwa hata nikifanya kosa huko naona kabisa moyo unaniuma kwa hicho kitendo, ntaomba huo msamaha na ntahakikisha sirudii tena!

Mwanamke akikutana na mwanaume mstaarabu huwa anajistukia sana!amini nakwambia
 
A gentleman kwenu si boya, we fine with that shit! A boya kind of man ni Gentleman kwa kila msichana😂 but a commanding man anaonekana katili!

A real man has to put your in your place everytime you get off the timming! Mwanaume anaekuchekea on whatever the fauk u do huyo hafai kuwa kiongozi wako japo utahisi ndio upendo wenyewe ila after sometime utajichenga tu kutafta changamoto nyingine mbele ya safari!

Mwanaume mstaarabu nafikiri tafsiri yake haihusiani na weakness abeg!
 
Back
Top Bottom