Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Sasa kwa nini corporate lady wanakubali kuolewa na weak men?.
Kuna wanawake hawana sifa ya kuolewa na mwanaume wa aina yoyote.
I don't believe they are weak.

I just believe inferiority complex got the best of them.

Sometimes these women rose to glory within marriage but the men just could not cope with the changes.
 
[ Rose to glory within marriage?]
 
I don't believe they are weak.

I just believe inferiority complex got the best of them.

Sometimes these women rose to glory within marriage but the men just could not cope with the changes.
Ni kwamba mwanamke ana jua kuigiza vizuri kabla ya kuolewa, heshima, kujishusha, kupenda ndugu wa mume unakuwa ni utamaduni flani. Sasa wakisha olewa, maigizo yanafikia tamati, uhalisia uanza kujitokeza.
 
Ni kwamba mwanamke ana jua kuigiza vizuri kabla ya kuolewa, heshima, kujishusha, kupenda ndugu wa mume unakuwa ji utamaduni flani. Sasa wakisha olewa, maigizo yanafikia tamati, uhalisia uanza kujitokeza.
But not all women do that.

Kuweka campain ya kuwafanya hawa wanawake wenye elimu zao na ndoa zao hawafai kuolewa ni kosa kubwa.

Ina impact kubwa sana katika maisha ya baadae. So mabinti wasisome, wasifanye kazi.... si tutarudi Stone Age na Bango la a woman's place is in the kitchen?
 
Sasa kwa nini corporate lady wanakubali kuolewa na weak men?.
Kuna wanawake hawana sifa ya kuolewa na mwanaume wa aina yoyote.
Do you think a man's weakness is physical?

Says who? God created us in pairs. Acha propaganda. There is a woman for everyone, some in doubles, others in triples hence the possibility of marrying up to 4 women.
 
I don't believe they are weak.

I just believe inferiority complex got the best of them.

Sometimes these women rose to glory within marriage but the men just could not cope with the changes.
Very simple fact....huwezi ukawa mke halafu weekend huwezi hata kumpakulia mmeo chakula au kumtengea chai ..uko bize na iPad au simu ...that's unacceptable at any level...acheni uhuni nyie corporate takataka
 
Pole sana mkuu
Naona mke amekukamata vilivyo...mume anaanzaje kufua na kupika ikiwa mke yupo mzima wa afya kabisa?

Hili swala mume kufua na kupika naona ndiyo limekua kero kwa waume wengi!!

Waliolelewa familia za watoto wa kiume tu, nadhani hii siyo ishu sana. Lakini pia linaendana na tamaduni za makabila mbalimbali Mfano Wakurya, Wamasai (halisi) hawa ni ngumu sana kugusa kazi zinazoonekana za wanawake.

Tabu ni kwamba mambo yamebadilika!! Maswala ya kijinsia na majukumu yake yamekuwa ni maswala ya kiushindani na kubishana, mwisho wa siku hakuna tena maelewano na tunaishia kuachana!

Mmoja asipoona thamani ya mwingine katika familia, tabu huanzia hapo!! Kikubwa ni kila mmoja kuhakikisha thamani yake inaonekana pale anapoishi iwe ni mama wa nyumbani au mfanyakazi.

Kama wewe ni mvivu kAma mimi, nunua vifaa! Vacuum, dish washer na washing machine nA huku una rice cooker,deep frier ma pressure cooker umemaliza kazi za ndani 🤣🤣🤣🤣

Kuishi na watu ni kipaji!! Amini hili nawaambia!! Wengine tulioa wanawake wasiojua kupika wala kufua na watu wakazodoa mke gani mke gani lakini leo hii ndiyo mke bora kabisa na mama bora kwa familia na jamii inayotuzunguka.

Kwa sababu gani? Nilijua nataka ndoa ya aina gani, nikajua mke gani atanifaa, na nitampatia wapi! Na tangu mwanzo nilimjenga vile nataka kikubwa ni kwa heshima na kumpa thamani yake kama mke. Huwezi kuelekeza jambo mke kama unatoa order kwa wafanya usafi wa ofisini kwako.

Shida ni kwamba hata wewe unalea, je unamlea mwanao wa kike kuwa mke bora au kuja kuwa na maisha bora?? Unamfundisha kupika, kudeki na kufua? Unamfundisha kuheshimu mume? Au nawe ndiyo kama mie mtoto ana miaka mitatu ushampeleka boarding? Atayajua mambo ya familia lini?? Wapi? Unataraji atakuja kuwa mke bora?? Kwa nini uyabeze malezi ya mwenzio (malezi ya wakwezo)??

Kikubwa: Kuheshimiana na kupeana thamani kwa kila mmoja, kwa vile alivyo na kurekebishana. Kuchukulia mapungufu ya mwenzio as part of you.

Mwisho. Ndoa unai fold wewe unavyotaka iwe toka day one mnapokutana! Usitarajie mlikutana KFC mkafungia ndoa huko, miaka mitano ya mwanzo mnashindia take away za huko mwaka wa sita akuelewe ukimpa ugali ndondo!!

Haiwezekana, siku ya kwanza ya outing mpaka uchumba wenu mkeo akitaka kuchangia mnapokuwa na jambo unakataa kwa dharau halafu ghafla utake mishahara yake!! Utadai talaka tu, maana hawezi kukupa.

Akija kwako unafua na kudeki ye anacheki muvi ukimaliza unampanda viwili mnatoka outing! Then kesho keshokutwa unamuoa unataka akakupikie na kukufulia, umelogwa?

Narudia tena: Aina ya ndoa unayotaka unaijenga wewe mwenyewe toka day one, unapolazimisha ibadilike kwa nguvu baada ya miaka kadhaa ndipo mnavunja ndoa zenu.

NB: Chagua mke au mume unayeendana nae, usituletee tabu, ndoa tamu!
 
Labda wale wa zamani.
La saba la zamani lilikuwa [emoji91]

Ila karumibia wote ni wajinga..
Mtu ambaye hajasomasoma kwa kweli hapana.
Mbona wanawake wa Mataifa ya Europen wakija Africa utakuta wa penz wao wengi wanao ingiaga nao kwenye mapenz ni wanaume wasio kuwa na Elimu , wao kwanin kwenye kuchagua mchumba Elimu kwao siyo kipaumbele
 
Kwa sababu hata taratibu zao za maisha ziliwalea vyema.

Si unaona hata nyie wanaume mnataka wanawake wenye elimu ,,
Ukienda kule mmu utakuta mnaandika elimu angalau form 4 na kuendelea,,
Sisi wa form 2 hamtutaki..
 
Tuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake

Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join

Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
 
Very simple fact....huwezi ukawa mke halafu weekend huwezi hata kumpakulia mmeo chakula au kumtengea chai ..uko bize na iPad au simu ...that's unacceptable at any level...acheni uhuni nyie corporate takataka
Acha ku exagerrate issues.
 
Tuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake

Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join

Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
Ona sasa mwenzenu alivyo responsible husband.
Anajua kabisa mkewe ametoka kazini amechoka,akamsaidia kuandaa chakula.

Sisi huku mnataka hadi tuwaburuze,kujiongeza pekeyenu hamuwezi.
 
Ndio mnachokitaka eti?.
Mda upo sikuhizi tunapikia gesi na umeme so cooking is like 20 minutes ur done, wapika huku wa chart JF
IMG_20211212_092345.jpg
 
Hili swala mume kufua na kupika naona ndiyo limekua kero kwa waume wengi!!

Waliolelewa familia za watoto wa kiume tu, nadhani hii siyo ishu sana. Lakini pia linaendana na tamaduni za makabila mbalimbali Mfano Wakurya, Wamasai (halisi) hawa ni ngumu sana kugusa kazi zinazoonekana za wanawake.

Tabu ni kwamba mambo yamebadilika!! Maswala ya kijinsia na majukumu yake yamekuwa ni maswala ya kiushindani na kubishana, mwisho wa siku hakuna tena maelewano na tunaishia kuachana!

Mmoja asipoona thamani ya mwingine katika familia, tabu huanzia hapo!! Kikubwa ni kila mmoja kuhakikisha thamani yake inaonekana pale anapoishi iwe ni mama wa nyumbani au mfanyakazi.

Kama wewe ni mvivu kAma mimi, nunua vifaa! Vacuum, dish washer na washing machine nA huku una rice cooker,deep frier ma pressure cooker umemaliza kazi za ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuishi na watu ni kipaji!! Amini hili nawaambia!! Wengine tulioa wanawake wasiojua kupika wala kufua na watu wakazodoa mke gani mke gani lakini leo hii ndiyo mke bora kabisa na mama bora kwa familia na jamii inayotuzunguka.

Kwa sababu gani? Nilijua nataka ndoa ya aina gani, nikajua mke gani atanifaa, na nitampatia wapi! Na tangu mwanzo nilimjenga vile nataka kikubwa ni kwa heshima na kumpa thamani yake kama mke. Huwezi kuelekeza jambo mke kama unatoa order kwa wafanya usafi wa ofisini kwako.

Shida ni kwamba hata wewe unalea, je unamlea mwanao wa kike kuwa mke bora au kuja kuwa na maisha bora?? Unamfundisha kupika, kudeki na kufua? Unamfundisha kuheshimu mume? Au nawe ndiyo kama mie mtoto ana miaka mitatu ushampeleka boarding? Atayajua mambo ya familia lini?? Wapi? Unataraji atakuja kuwa mke bora?? Kwa nini uyabeze malezi ya mwenzio (malezi ya wakwezo)??

Kikubwa: Kuheshimiana na kupeana thamani kwa kila mmoja, kwa vile alivyo na kurekebishana. Kuchukulia mapungufu ya mwenzio as part of you.

Mwisho. Ndoa unai fold wewe unavyotaka iwe toka day one mnapokutana! Usitarajie mlikutana KFC mkafungia ndoa huko, miaka mitano ya mwanzo mnashindia take away za huko mwaka wa sita akuelewe ukimpa ugali ndondo!!

Haiwezekana, siku ya kwanza ya outing mpaka uchumba wenu mkeo akitaka kuchangia mnapokuwa na jambo unakataa kwa dharau halafu ghafla utake mishahara yake!! Utadai talaka tu, maana hawezi kukupa.

Akija kwako unafua na kudeki ye anacheki muvi ukimaliza unampanda viwili mnatoka outing! Then kesho keshokutwa unamuoa unataka akakupikie na kukufulia, umelogwa?

Narudia tena: Aina ya ndoa unayotaka unaijenga wewe mwenyewe toka day one, unapolazimisha ibadilike kwa nguvu baada ya miaka kadhaa ndipo mnavunja ndoa zenu.

NB: Chagua mke au mume unayeendana nae, usituletee tabu, ndoa tamu!
"Na tangu mwanzo nilimjenga vile nataka kikubwa ni kwa heshima na kumpa thamani yake kama mke. Huwezi kuelekeza jambo mke kama unatoa order kwa wafanya usafi wa ofisini kwako."

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake

Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join

Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
Hiyo ngumu kumeza ila mabeberu kawaida yao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom