Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Karma mume anatengewa chakula! Sio mbwa huyo kwamba unamvua cheni ananusa nusa karai la uji lilipo akale😅Kama mtu hajisikii kula kwa muda huo utamlazimisha? Hivi wanaume wa kiafrika mna matatizo gani kwani?