Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mkuu, hizi changamoto zako zinavumilika na zinafundishika ukitumia akili ndogo tu. Tatizo la mkeo ni kwamba hayuko vizuri kwenye mapishi, hivyo Unaweza hata ukamtafutia sehemu akajifunze mapishi toka kwa wale waliosomea Hotel management kisha mdanganye unataka kumfungulia Mgahawa. Halafu akimaliza kufundishwa unamuacha nyumbani, utaona anabadilika.

Kesi za uchepukaji ndio ngumu sana kwa mwanaume kuvumilia lakini haya mambo mengine yanavumilika. Sio rahisi kupata mke aliyekamilika kila eneo.
Ushauri mzuri sana
 
Huu ni ujinga na upuuzi wa kiwango cha juu sana. Baba yako angewaza kama wewe ungezaliwa?
 
Huyu mkewe analiwa I swear wanawake tunapenda mwanaume mwenye mwenye wivu,yaani mwenye sauti ndani ya nyumba!sio lofa km huyu nooo....thank you!!!!simtaki ht kwa buree

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hujajua dhana ya kuishi wewe, unawaza kirahisi mno kuliko uhalisia wa mambo yenyewe.
Halafu sio kila mwanaume anayepiga kelele anaogopwa na kuheshimiwa. Kwa taarifa yako mke wangu hathubutu hata kufanya hivyo kwakuwa anajua kutouliza hovyo mambo ya kijinga kuna jibu lake.
Wewe unajua ni mke wa mtu unaweza vipi toka na kurudi asubuh bila taarifa? Unataka nikuulize nini hapo? Kuna suluhisho dogo tu hata mke wangu analijua vizur, ukifanya kosa la dhahiri usubiri nikuulize utaacha nifungwe kwa kuwa utanidanganya...Kwahiyo suluhu utaipata kwa waliokuzaa mimi siwezi kumhoji mwerevu aliyechagua ujinga.
Hata dini zimetupa suluhisho....rudisha mjinga kwao akafunzwe adabu huko, so hiyo siku mke wangu atafanya yale ambayo hayapo kwenye utaratibu basi anajua nini kitampata bila kumuuliza au kumfokea.
Chanzo cha mauaji ni kutaka kuhoji ujinga, tumeambiwa tuoane kwa wema na tuachane kwa wema.
Kuwa na msimamo kama kiongozi sio kupayuka hovyo na kupiga, ndio maana watu wanaojifanya kukaba kila kona ndio hao wanaishia kupigana na kuumizana. Na pia ukikurupuka kuokoteza madada ya mtaani ukayabadilishe yawe wake zenu jiandaeni kupigana tu. Mke mwema ni matunda ya familia bora, So tukaoea na kuolewa kutoka kwenye familia zenye adabu. Ukioa kwa baba na mama mkwe mlevi au mshirikina basi ujue umeoa wa mfano wao.
 
Ukweli umekuuma!ungenielewa usingeandika yote hayo!
 
Kuna ukweli gani hapo au mtizamo wako tu kutoka kwenye mapito yako?
Ukweli una chanzo kilichokubaliwa kijamii au kidini, Sasa tuambie ni wapi inatakiwa mume awe hivyo? Ni dini gani au sheria ipi inamtaka mume kuwa hivyo? Hata hao wazungu mnaoiga vingi kutoka kwao hawafanyi huo ujinga wenu, ni shetani tu ndio yupo hivyo.
 
Hahahaha!!haya bwana ila habari ndo hyoo!ndugu
 
Kivipi mkuu, Mimi mwanaume anayetaka eti kubebewa ndoo bafuni sijui kupika daily na nimetoka kazini kwangu naona hafai kuwa mume, zama zimechange sikuhizi wooi
Hivi ni vitu vidogo. Ukitendewa unashukuru usipotendewa ni sawa pia.
 
kuhusu swala la kuoa mwanamke mwenye elimu na kipato, nimelisikia kwa miongo mingi watu wakilalamika na pia nimeshuhudia ndoa ya mjomba wangu ikivunjika wangali wana watoto 5. Ni swala lililonifanya kuwaogopa wasomi na kujichanganya kwa wasio wasomi niilichokutana nacho Mungu ndo anajua.

Sa hivi nimebaki njia panda nasubiri mke mwema kutoka kwa bwana la sivyo sitooa mazee
 
kuhusu swala la kuoa mwanamke mwenye elimu na kipato, nimelisikia kwa miongo mingi watu wakilalamika na pia nimeshuhudia ndoa ya mjomba wangu ikivunjika wangali wana watoto 5. Ni swala lililonifanya kuwaogopa wasomi na kujichanganya kwa wasio wasomi niilichokutana nacho Mungu ndo anajua..
Sa hivi nimebaki njia panda nasubiri mke mwema kutoka kwa bwana la sivyo sitooa mazee
[emoji23][emoji23][emoji28]
 
Mwanaume wa hivi simtaki kwa kweli....yaani nirudi asubuhi ukae kimya? Mwanaume Bwege hapana kwa kweli.

Huyu mkewe analiwa I swear wanawake tunapenda mwanaume mwenye mwenye wivu,yaani mwenye sauti ndani ya nyumba!sio lofa km huyu nooo....thank you!!!!simtaki ht kwa buree

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

Ngoja kwanza....

Kwahiyo mnafanya makusudi ili tu mume aulize na kuona wivu!!??

#YNWA
 
Kwa taarifa yako unapaswa kufahamu kuwa hakunaga Mwanamke mbaya kwa sura au vyovyote [emoji108]

Mwenyezi Mungu ameumba kwa uzuri na kupendeza.

Usitake kukosoa kile Mungu alichokiumba kwa ukamilifu ukamkufuru wewe.

Kila Mwanamke ni mzuri .

Sometimes hutegemea anavyojiweka na matunzo tu.

Wewe Yani nachelea kusema ni mtu wenye wa aina fulani.
Hapo kwenye kuumba mnamsema mwenyezi Mungu

Lakin maagizo aliyoyatoa mwenyezi Mungu kwamba mwanamke anapaswa afanye nn na mwanaume afanye nn hapo mnakimbia
 
[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
hahahaaa hata sisi tulikuwa na imani kama yako ila tulikubali matokeo mwisho ulipowadia.
 
[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Inaweza kushuka hadi ikawa inaendea free tupu, hapo ndio utakapo tambua kuwa ndoa sio maagano ya furaha ya milele ya ujana wako.
 
Back
Top Bottom