Naitwa Kayuni nataka kubadilishana na mwalimu aliyeko Mbeya jiji aje Mwanza jiji(Ilemela).tuwasiliane kupitia namba 0786449744 au 0759046101 ,idara ya sekondari
Natafuta wa kubadilishana nae kituo
cha kazi niko mafia nataka kurudi bara
ni pm
ningependa nibadilishane na mwl
kutoka maeneo ya Chalinze ,moro na
mkoa wa Lindi.
mwl wa sekondari.
mimi natafuta wa kubadilishana nae niko kisarawe nataka kwenda lushoto
mimi ni mwalimu wa sekondari mkoani tanga-kilindi, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili yeye aje tanga mimi niende geita kwa mawasiliano tuwasiliane kupitia na. 0784 38 40 89 au 0763 56 39 80 au 0716 79 69 08 tusaidiane ndugu zangu!!!!!
njoo geitanatumai uu mzima wa afya. Katika ajira za mwaka huu nimepangwa wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani. Nilikuwa naomba kama kuna mwalimu angependa tubadilishane kituo yeye aje mkuranga na mimi niwe dar wilaya yeyote au pwani wilaya ya bagamoyo au kibaha ani pm
asante
musoma sehemu gani mkuu,mi kwetu kukirango kamgegi ila nafunndisha huku mkuranga
njoo geita nije mkurangandugu msomaji, mimi nimepangiwa wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani. Naomba mwalimu anayependa tubadilishane mimi niende kibaha - pwani au dar esap salaam ani pm
asante
sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
nipo mkuranga nataka kwenda kibaha
Ndugu!
Juzi kati nliweka hapa bandiko la ktafta mwl wa kubadilishana naye bahti nzuri nmempata na taratibu zimeshaanza.
Kwa sasa naweza kusema nmeshakuwa mzoefu na nmekuwa mizizi mipana! Xo kwa wale wenye nia ya kuhama au kubadiliaha kituo cha kazi naomba tuwasiliane. Nambie uko wapi na unataka kihamia/kubadilisha wapi. Hamna gharama yetote.
kwa mwalimu anae itaji kutoka Arusha Au kilimanjaro,kwenda sehemu zifuatazo :: Shinyanga kishapu,mwanza mjini,singida iramba, Mara Tarime,dodoma kondoa,morogoro mjini,lindi,awe mwlimu wa sekondari au primary,anitafute kwa 0712872378
Mwalimu aliyeko kibaha anayetaka kuja mkuranga tuwasiliane 0716293260
natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje urambo-tabora nami nije halmashauri yoyote mkoani shinyanga(yaani kati ya kahama, shinyanga vijijini au mjini, kishapu na ushetu. Pia bukombe-geita na nzega-tabora. Aliyetayari tuwasiliane kwa simu na.0783496326 au 0765780233
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi niko Simanjiro - Manyara nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Halmashauri ya mji Geita au Halmashauri ya Wilaya Geita. 0715794977.