DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Zaidi ya miaka 25 iliyopita. Tulishikishwa pedi na mwalimu Vida, hakuna aliyelalamika na sidhani kama kuna ambae alimsimulia mzazi wake.
Ilisaidia kukomesha tabia ya kutupa pedi hovyo hovyo na vyoo havikuziba tena.
Hakuna ukatili wowote hapo.
 

Gily Gru wewe hujawahi kudondosha hela/au kitu chooni na ukaingiza mkono kuitoa, kisha ukanawa kwa sabuni na maji safi na maisha yakaendelea?

Acheni kudekeza hawa watoto.
 
Huyo related wako ni kiazi kama viazi vingine tu. Kwani mjini hakuna maua? hakuna miti? Au hakuna vyote kwa pamoja? Hapo ndyo pa kustuka kumbe hakuna mtu hapo kwa familia
 
Zaidi ya miaka 25 iliyopita. Tulishikishwa pedi na mwalimu Vida, hakuna aliyelalamika na sidhani kama kuna ambae alimsimulia mzazi wake.
Ilisaidia kukomesha tabia ya kutupa pedi hovyo hovyo na vyoo havikuziba tena.
Hakuna ukatili wowote hapo.

Asante sana kwa ushuhuda.
 
Una umri gani Gily Gru ? Sema tu 20's, 30's usitaje umri kamili.
Mr Kiraka. Mambo ya umri wangu yanaingiliana vipi na adhabu ambazo zinamhatarisha mtoto kiafya?

Nimemuliza mmoja hapo juu, kuwa yeye anaishi nyumba ya kupanga na kuna wapangaji wengine wanakunya hawasafishi. Ili iwe funzo anaonaje nyumba nzima wasafishe choo kwa mikono kwa sababu mmoja wao hasafishi kwa maji?

Hili swala nimeliandika straight. Kwa nini watoto washikishwe pedi ambazo zimetota maji ya chooni?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…