Tumeletewa taarifa ya watoto kushikishwa pedi,taarifa za kiafya hazikuja na wala mimi sipo huko kuthibitisha.Kwahiyo hao watoto wamepata ugonjwa gani hadi sasa? Unaweza kuthibitisha?
Pedi haziunguiSi kuna na ile place ya kuchomeaa?
Nilishawahi kupewa hiyo adhabu kwahiyo naijua vizuri, pedi haishikwi kama mkate..unashika kwa tips za vidole ile kusikia kinyaa..mnapanga mstari mnapokezana...baada ya hapo mnanawa mikono vizuri na sabuni.Tumeletewa taarifa ya watoto kushikishwa pedi,taarifa za kiafya hazikuja na wala mimi sipo huko kuthibitisha.
Ila Epidemiologically kuna great chance ya hao kupata magonjwa mbali mbali.
Zinaungua bana wewePedi haziungui
Tuna uhakika gani kama huyo mwalimu aliwashikisha kwa ncha za vidole ama mkono mzima?Nilishawahi kupewa hiyo adhabu kwahiyo naijua vizuri, pedi haishikwi kama mkate..unashika kwa tips za vidole ile kusikia kinyaa..mnapanfa mstari mnapokezana...baada ya hapo mnanawa mikono vizuri na sabuni.
Magonjwa inawezekana lakini sio kwa kiasi kikubwa.
Nimegundua humu ndani kuna matahira kabisa sio kuwa tu wana ugonjwa wa akili.
Hivi Leo utoe chooni pedi mbichi ina damu umshikishe mtoto kwa mikono yake mwenyewe iwe ni adhabu?
Ama kweli nilidhani nimeona mengi duniani.
Wewe mtoa mada ni nani..? Mwalimu, Mwanafunzi au mlinzi uliyekosa kazi za kufanya..?Wasalaam
Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu
Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia Marangu
Choo cha shule kiliziba, na hii inatokana na watoto wa kike kutupa pedi chooni. Walimu walikerwa na hili sana sana
Muhusika wa kauzibua choo aliitoa ile pedi ikawekwa kwenye ndoo. Watoto wote wa kike kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne wakaitwa kwa majina hadharani.
Waalimu wakaamrisha kila mtoto wa kike ashike ile pedi iliyopo kwenye ndoo na mkono wa kulia kama adhabu siku nyingine wasirudie kutupa chooni.
Nimemshauri mama mdogo alifikoshe holi swala kwa afisa wa elimu.
Bacteria wanauliwa juu ya sink kwani ni ndani ya shimo la choo!?Vyoo vya shule hudekiwa kwa sabuni kila siku na sabuni huua bacteria na vijidudu vingi vya magonjwa. Kwa akili ya kawaida ilikuwa sawa mwalimu angezitoa hizo pedi na asifanye chochote kwa wanafunzi?
Next time waambie watoto warekodi ili ushahidi ukae vzr. Lkn hiyo adhabu iko poa sana na iendelee milele na milele amina.Tuna uhakika gani kama huyo mwalimu aliwashikisha kwa ncha za vidole ama mkono mzima?
Tuna uhakika gani kama baada ya hapo aliwapa sabuni wanawe mikono?
Wanajua watoto wenye tabia chafu lakini hwawasemiWasalaam
Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu
Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia Marangu
Choo cha shule kiliziba, na hii inatokana na watoto wa kike kutupa pedi chooni. Walimu walikerwa na hili sana sana
Muhusika wa kauzibua choo aliitoa ile pedi ikawekwa kwenye ndoo. Watoto wote wa kike kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne wakaitwa kwa majina hadharani.
Waalimu wakaamrisha kila mtoto wa kike ashike ile pedi iliyopo kwenye ndoo na mkono wa kulia kama adhabu siku nyingine wasirudie kutupa chooni.
Nimemshauri mama mdogo alifikoshe holi swala kwa afisa wa elimu.
Ndio maana watoto wa siku hizi wapo kimayai mayai..ni kutokana na malezi wanayopewa.Shule yangu ya ordinary level tulikuwa tunatoa karatasi kwenye masink kwa mikono tena bila hofu. Mwalimu mwenyewe alikuwa anatoa kwa mikono yake (mwalimu kaboja r.i.p nsumba secondary) karatasi na mawe kwenye masink, sasa wewe hapo si ungeenda hadi kwa rais kumueleza. Kumbuka mtoto akifundishwa usafi atachukia uchafu. Ni hatari sana kufundisha watoto wa wazazi kama wewe ☹️
Hakuna alternate way au UMEISHIWA MAARIFA?Hapana hakuna alternative way ambayo wataikumbuka vizuri. Utakuta hivi vyoo vinaziba every day, wakiulizwa wanakataa wote, halafu wazazi mkija mnalalamika kuwa shulke ni chafu. Hii ni adhabu mujarabu kabisa, believe me you, hawa watoto hawatarudia tena, na watamkemea yeyote wataye ona amefanya hivi.
Usicheze na mafunzo kwa vitendo, ndio njia bora zaidi ya kufundisha vijana wetu mahiri.
Zinaunguaje Pedi sio Pampas zile zina mabarafu katikati hata ulichome na nini linatoka mabonge km Sukari haliunguiZinaungua bana wewe
Watoto wa zamani walikuwa hawa question, ndio malezi yao. Mtoto unamlea kujitambua.Hakuna alternate way au UMEISHIWA MAARIFA?
Kwa mimi sioni ikiwa sawa.Next time waambie watoto warekodi ili ushahidi ukae vzr. Lkn hiyo adhabu iko poa sana na iendelee milele na milele amina.
Ni sawa mkuu kumbuka choo kikiziba itapelekea wanafunzi kujisaidia hovyo hadi kwenye corridor, mbinu waliotumia walimu ni nzuri ili siku nyingine tabia hiyo isijirudie. Wanafunzi wanapojiunga na masomo shuleni hufunzwa sheria za shule, mazingira ya shule na namna ya kuishi shuleni lakini bado kuna wanafunzi ni wakaidi. Mleta mada anapaswa afungue uzi mwingine kutetea wafungwa kulala na vinyesi Lock up 😀Bacteria wanauliwa juu ya sink kwani ni ndani ya shimo la choo!?
Kwa hiyo hata maji yaliyo ndani ya sink ni safi kwasababu choo hudekiwa!?
Nilishatoa mfano wa adhabu jengefu kule juu rudi ukazisome mkuu.
Sawa mkuu japo kuna adhabu jengefu zaidi ya hiyo iliyoletwa.Ni sawa mkuu kumbuka choo kikiziba itapelekea wanafunzi kujisaidia hovyo hadi kwenye corridor, mbinu waliotumia walimu ni nzuri ili siku nyingine tabia hiyo isijirudie. Wanafunzi wanapojiunga na masomo shuleni hufunzwa sheria za shule, mazingira ya shule na namna ya kuishi shuleni lakini bado kuna wanafunzi ni wakaidi. Mleta mada anapaswa afungue uzi mwingine kutetea wafungwa kulala na vinyesi Lock up 😀
Unafananisja kuokota karatasi na kushika pedi chafu iliyotoka chooni. Ni nani asiyeokota karatasi au kufanya usafi mazingira ya nyumbani?Shule yangu ya ordinary level tulikuwa tunatoa karatasi kwenye masink kwa mikono tena bila hofu. Mwalimu mwenyewe alikuwa anatoa kwa mikono yake (mwalimu kaboja r.i.p nsumba secondary) karatasi na mawe kwenye masink, sasa wewe hapo si ungeenda hadi kwa rais kumueleza. Kumbuka mtoto akifundishwa usafi atachukia uchafu. Ni hatari sana kufundisha watoto wa wazazi kama wewe ☹️