Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
- Thread starter
-
- #61
Hujui kama kuna shule wazazi tunawalipa poso walimu wa kujitolea kitu ambacho sidhani kama serikali yenyewe inajua, hili ni jukumu la Serikali waanze na kule Diwani aliko shikwa akila rushwa Kwa pesa za takokuruWewe tukupe shule ya umma uendeshe wiki moja tu utatamani ukimbie nchi shule inamambo mengi mdah mwingine ata ako ka mshahara ka feisal inabidi ukatumie huko hili mambo yaende jamani ualimu unachangamoto sana nchi yetu
Ndivyo ilivyoKweli
Mock darasa lasaba dar'salam ,Kila mwanafunzi anatakiwa kulipa
1) Hela ya mtihani 4000
2) chakula 3000
Mleta mada hebu tupe mchanganuo Gari MoshiMleta mada hujaweka wazi haswa ni vitu gani mnalipia ambavyo wewe unadhani havina sababu ya kulipiwa?
Orodhesha hapa ili wenye dhamana wajue, weka total ya gharama zote ili wananchi waone na kufanya hitimisho.
Waombe rasmi tuition maana sasa tunanyonywa sana, kila somo, kila wiki, kila siku tena ni lazima hapa tu ndipo wanapo kosea, waondoe ulazima na kuchapa hovyo watoto maana hawana hatia.Kipato Chao hakikidhi mahitajii na muda wakufanyaa mambo mengine njee ya shulee pia imekuwa ngumu kwao ,hvyo wameonaa Bora wale huko huko wanakofundisha...
Kufanya mock sio lazimaKweli
Mock darasa lasaba dar'salam ,Kila mwanafunzi anatakiwa kulipa
1) Hela ya mtihani 4000
2) chakula 3000
Sasa hapa kosa la mwalimu au serikali. Kwahiyo unataka wanafunzi wapate zero kwenye masomo yao kisa shule aina walimu wa kutosha wakati mtaani wapo wengi ni kitendo tu cha kuwapa posho kidogo wasaidie. Akuna mwalimu atakayekubali eti shule itoe mazero kisa hicho utakuja jibu nini kwa serikali ety walimu tupo wachache tumejaribu kuwashilikisha wazazi wachangie pesa tutafute walimu wa kujitolea wamekataa autoeleweka .Hujui kama kuna shule wazazi tunawalipa poso walimu wa kujitolea kitu ambacho sidhani kama serikali yenyewe inajua, hili ni jukumu la Serikali waanze na kule Diwani aliko shikwa akila rushwa Kwa pesa za takokuru
Sasa hapa kosa la mwalimu au serikali. Kwahiyo unataka wanafunzi wapate zero kwenye masomo yao kisa shule aina walimu wa kutosha wakati mtaani wapo wengi ni kitendo tu cha kuwapa posho kidogo wasaidie. Akuna mwalimu atakayekubali eti shule itoe mazero kisa hicho utakuja jibu nini kwa serikali ety walimu tupo wachache tumejaribu kuwashilikisha wazazi wachangie pesa tutafute walimu wa kujitolea wamekataa autoeleweka .Hujui kama kuna shule wazazi tunawalipa poso walimu wa kujitolea kitu ambacho sidhani kama serikali yenyewe inajua, hili ni jukumu la Serikali waanze na kule Diwani aliko shikwa akila rushwa Kwa pesa za takokuru
Waombe rasmi tuition maana sasa tunanyonywa sana, kila somo, kila wiki, kila siku tena ni lazima hapa tu ndipo wanapo kosea, waondoe ulazima na kuchapa hovyo watoto maana hawana hatia.Kipato Chao hakikidhi mahitajii na muda wakufanyaa mambo mengine njee ya shulee pia imekuwa ngumu kwao ,hvyo wameonaa Bora wale huko huko wanakofundisha...
Karipe wewe, Sisi uwezo wetu kula dagaa hatutaki stressHela unazozisemea ukizikusanya kwa Mwezi zinaweza kufika 20,000?
Ungejua tunaosomesha Watoto private schools tunalipa kiasi gani hata usingejali kuhusu hizo 500 mia tano mnazochangishwa.
Waacheni Walimu wapate Morale ya kufundisha, mnataka hata baada ya kazi kubwa ya kuwafundishia watoto wenu wakose hata hela ya Bando ya Kuingia JF?
Mimi majunia bado wapo home hawajaamza shule mkuu😅Kwani wewe unamjua ni vitu gani ambavyo mzazi anatakiwa kulipia Kwa mwalimu kila siku au wiki?
Zinapokea sh ngapi na hizo hela zinatosheleza? Shida yako hujui unachokililia,shule ziko hoi........ mpeleke mwanao private kama unataka ale mpaka biriani maana ni hela yako tu, ila Kwa shule za Umma kuleta hizi hoja mfu ni kutojua kinachoendelea FieldUmekurupuka sana kujibu
Kila mwezi shule zinapokea hela selikal kuu kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kufundishia nankujifunza (shajala)....
Muda wenyewe wa Mwl kuweza kumaliza syllabus hautoshi inalazimu atenge muda mwingine wakati wa Weekends kuweza kuwafundisha Vijana wetu.Karipe wewe, Sisi uwezo wetu kula dagaa hatutaki stress
Mazingira ya shule za Umma, binafsi huwa nawaonea huruma sana waalimu,ni magumu mno,hizo mia 2 za copy zinawatoa roho wazazi, kupitia wazazi kama mnaona mnaibiwa changieni mnunue photocopy machine na printer shuleni.aache kwani kuna mtu kasema atoe hela zake, aache kwanza sasa kutakuwa hakuna mitihani mpaka kidato cha nne
Kama ya kulipia ni nafuu, kwanini unampeleka shule ya bure? Si umpeleke ya kulipia ambayo unadai ni nafuu?
Yaani kayumba imshinde ataweza kupeleka mtoto shule zenye magari ya Yanga kweli 🤣Kwa vile mtoa mada amesema Kwa Sasa shule za umma ni ghali sana napendekeza ampeleke
mwanae private school
Ili kumpunguzia ukali wa maisha.
Tatizo wabongo mnapenda sana vitu vya bure. Kila kitu unataka upewe bure. Imagine unataka mtoto wako afaulu kwenye mitihahani yake, lakini ukiambiwa kuchangia 200 ya kuchangia huo mtihani, unakuja kuanzisha uzi wa kulalamika.Waombe rasmi tuition maana sasa tunanyonywa sana, kila somo, kila wiki, kila siku tena ni lazima hapa tu ndipo wanapo kosea, waondoe ulazima na kuchapa hovyo watoto maana hawana hatia.
Ila mawazili kuiba pesa lazimaKufanya mock sio lazima
aise !Ndivyo ilivyo
Ndugu nime somesha wanangu watatu, mmoja miaka 10, mwingine miaka 7 na mdogo 3, hizo shule za Private za 3M na zaidi maana nao uweka vitu vingi ambavyo waweza Kuta umelipa hadi 4M Kwa mwaka hivyo si mgeni katika hilo, ila penye haki haki itendeke, sijaona cha ajabu zaidi ya kupata ufaulu wa kupelekwa shule zilezile za Serikali.Zinapokea sh ngapi na hizo hela zinatosheleza? Shida yako hujui unachokililia,shule ziko hoi........ mpeleke mwanao private kama unataka ale mpaka biriani maana ni hela yako tu,ila Kwa shule za Umma kuleta hizi hoja mfu ni kutojua kinachoendelea Field
Eti mwambie huyo ndugu, asiandike tu Bora liendeYaani kayumba imshinde ataweza kupeleka mtoto shule zenye magari ya Yanga kweli 🤣
Kila mtu kazi uomba yeye mwenyewe, ukiona unakwazika una achia ngazi unahamia AirtelHela unazozisemea ukizikusanya kwa Mwezi zinaweza kufika 20,000?