MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ewaaah mkuu umenielewesha vyema kabisa mimi nisiyefahamu, ruzuku inatokana na kura za raisi na wabunge.Kura za Lisu
Ni wivu tu
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Miaka yote huwa mnapinga matokeo but bungeni mnaendaKama mliiba kura zote za wabunge wa vyama vingine kwa nini leo mnawapa vyeo wapinzani feki
Ndugai unatia aibu kwa ze komedi yako.
Dada kamanda, sisi wengine tunawakubali sana CHADEMA na tunapenda mabadiliko,Hii ni mada nyingine tupe muda tutaifungulia uzi wake
Bunge haramu, msitegemee kipya chochote kutoka kwenye hili Bunge haramu. Bora tu Mkoloni angerudi kuliko kuwa na hawa wahuni.
Huyo Ni mwanasiasa aliyekomaa hasa kwa Siasa za Tanzania. Muacheni ale matunda ya kazi ya mikono yake.
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za serikali za mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Ewaaah mkuu umenielewesha vyema kabisa mimi nisiyefahamu, ruzuku inatokana na kura za raisi na wabunge.
Sasa kama uchaguzi haukuwa huru na haki kwanini chama kichukue ruzuku ya uchaguzi batili ???
Dada kamanda, sisi wengine tunawakubali sana CHADEMA na tunapenda mabadiliko,
Lakini kuna maswali muhimu kuhusu mwenendo wenu ambayo tungependa majibu.
Hivyo nasubiri kwa hamu sana siku ambayo utaanzishia mada hili swali.
Sababu kubwa ni ipi mama yangu, hebu nijuze!Wala hao wabunge si sababu ya ruzuku mkuu. Watu wanapotosha
Sababu kubwa ni ipi mama yangu, hebu nijuze!
Ruzuku haisusiwi bwasheeEwaaah mkuu umenielewesha vyema kabisa mimi nisiyefahamu, ruzuku inatokana na kura za raisi na wabunge.
Sasa kama uchaguzi haukuwa huru na haki kwanini chama kichukue ruzuku ya uchaguzi batili ???
Jibu ni rahisi sana, Kuhalalisha uharamia wao waliofanya kwenye uchaguzi. Lakini sasa swali ambalo mimi nataka jawabu lake ni hili: Kwanini CHADEMA ikubali kuwa sehemu ya huu uharamia ??? Kama umekataa kuishi kwenye nyumba ya mfalme, basi kataa hata divai yake. Au unasemaje kamanda ???Huko hazina kwani hawajui kwamba chadema iliyakataa matokeo ya uchaguzi? Kama ni hivyo kwanini watoe ruzuku kwa chama ambacho kimekataa matokeo kama si ubadhirifu wa pesa za walipa kodi?
Ni kweli pesa zinafujwa sana, siyo tu kununua malaya wa kisiasa bali hata kununua uhalali wa Uchaguzi, kupitia mikakati ya serikali za umoja na ruzuku. Haya mambo ukiyafikiria yanasikitisha sana mkuu BAK.Pesa za walipa kodi zinafujwa tu kutumia billions kununua wanasiasa malaya na matumizi mengine ya kipuuzi kama magari ya kifahari etc.
Sababu kubwa ni ipi mama yangu, hebu nijuze!
Jibu ni rahisi sana, Kuhalalisha uharamia wao waliofanya kwenye uchaguzi. Lakini sasa swali ambalo mimi nataka jawabu lake ni hili: Kwanini CHADEMA ikubali kuwa sehemu ya huu uharamia ??? Kama umekataa kuishi kwenye nyumba ya mfalme, basi kataa hata divai yake. Au unasemaje kamanda ???
Ni kweli pesa zinafujwa sana, siyo tu kununua malaya wa kisiasa bali hata kununua uhalali wa Uchaguzi, kupitia mikakati ya serikali za umoja na ruzuku. Haya mambo ukiyafikiria yanasikitisha sana mkuu BAK.
Duuh (Dola za Kimarekani )$3 Trillion za Kimarekani ni sawa na TZS Trillion 8000 hivi za Kitanzania.Hujui kama kuna $3 trillions toka UN na pesa nyingi nyingine toka nchi za Wafadhili ambazo nchi inaweza kuzikosa kwa kuwa baadhi ya kamati haziongozwi na Wabunge wa upinzani? Pia pressure kubwa kwa nchi wafadhili kuweka economic sanctions kufuatia huo uchaguzi UCHWARA!?
Chadema wao walishakataa, ila wanalazimishwa tu.Ruzuku ni takwa la Katiba,inasema zitapewa kwa chama kuligana na % za kura za urais kwa hiyo serikali lazima izitoe ili kuharalisha uchaguzi na siyo chademaNitaweka pressure kubwa hizo pesa zirudishwe haraka sana. Ukitaka kuwa msafi mbele ya jamii kwa kukataa uchaguzi haramu hivyo hivyo pesa haramu ikataliwe.
Hata ubunge nao haususiwi Bwashee. Wazungu husema hivi:Ruzuku haisusiwi bwashee