Hapa umechangia nini? Rudia usome ulichokiandika.Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Wakiamua kufungua kesi za kudai fidia hapatatosha.. Warudishiwe tu kimyakimyaView attachment 2503193
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.
Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Sasa,muuza duka rejareja kama mimi,niwe na inda gani na mtu yule?Ukweli usisemwe?Ndugu Sina maumivu yoyote ila lazima ifike mahali tuwamvie ukweli. Mtu yoyote aliekuwa anamchukia yule mzee lazima alikuwa na makando kando.
Unaonekana wewe nae ni moja wao hivyo siwezi kubishana nawe.
Sawa waliibia serikali na kurudisha sio nongwa,ila inarudishwa Mali ya umma na kumilikisha mtu binafsi ndio tatizo hasa,Mitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.
Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.
Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Ujasiri bila hekima ni hasara kwa jamii.Na uoga wenye mahesabu na tahadhari ni tunda la hekima kwako.Yafaa nini jazba kwa simba mwenye njaa kuvamia hovyo vichaka vyenye mitego yenye hatari kubwa?Tofauti ya Magufuli na samia ni kuwa Magufuli hakuwa muoga wa kusimamia sheria. Samia ni muoga mno kusimamia sheria, kibaya zaidi wanaom backup ni wavunja sheria wakubwa wakiwa na washkaji zao ndio maana leo unaona vituo vya mafuta vimeota hadi kwenye milango ya watu na serikali ya samia inaogopa kusema chochote hadi labda itokee milipuko na kuteketeza raia.
Magu ndii rais aliyethubutu kusimamaia sheria bila kumuangalia mtu usoni. Hata kushikilia au kutaifisha mali za mtu aliyekwepa kodi ni sheria za kodi na zipo muda wote.
Mzigo uko humu ndani.Plea bargaining si ipo kisheria?
Wanarudishiwa kisa pesa zao zimebainika kupigwa?
Kwa hiyo na sisi tuwe tunarudishiwa kodi zetu ikitokea kashfa ya ufisadi serikalini?
Wahusika wapo,kwa nini hatua za kisheria zisichukuliwe dhidi yao?
Shinikizo liwekwe kuanzia bungeni ili wale wote akina Biswalo,Mpango,Dotto nk wazitapike.
Kama pesa zinajulikana hadi zilipo means taarifa zipo za kutosha,kigugumizi cha nini?
Mbona kama namuona Bashite hapo?Mzigo uko humu ndani.View attachment 2503312
Wamekurudishia ulimi wako na kukukata nywele?Ni utani tu.Ma bad!😂😂😂😂Mimi sio makonda ila kuna wakati niliwahi kuwa msukule wa mbowe
Hasemwi bila sababu, yale maovu yake ndiyo yanasemwa na hakuna na ya kukwepa kumtaja wakati main topic ni majanga aliyoisababishia nchi na kwa wanaomtetea hali kadhalika.Kati ya sisi na wale msio Isha kumtaja nani inawauma zaidi. Mtu hayupo kutwa kumsema Kwa Nini?
Kila siku makanisani na misikitini hawaachi kumtaja shetani, na kila mara Hitla, Idd Amin, na madikteta wengi hutajwa mara kwa mara.Kati ya sisi na wale msio Isha kumtaja nani inawauma zaidi. Mtu hayupo kutwa kumsema Kwa Nini?
Ni mchakato wa mahakama pekee unaostahili na unaoweza kuchambua ushahidi wa jinai, kuthibitisha makosa na kutoa hukumu sahihi. Sheria na kanuni za kusimamia mchakato huo zipo.Magufuli alikuwa akiunda tume inakuja na mapendekezo,haidha ya bunge au ya tume iliyoundwa kisheria,mfn akina Lugemalira yalikuwa ni mapendekezo ya tume ya bunge iliyoundwa kisheria na bunge la akina mwakyembe, badae ikaundwa tume ya Makenikia ya professor Muruma nayo ikaja na mapendekezo jinsi ya kufanya watendaji wazembe walioingiza nchi hii katika mikataba mibovu.Magufuli alifanya kwa mapendekezo ya nyaraka na maoni yenye ushaidi
.Tofauti ya Magufuli na samia ni kuwa Magufuli hakuwa muoga wa kusimamia sheria. Samia ni muoga mno kusimamia sheria, kibaya zaidi wanaom backup ni wavunja sheria wakubwa wakiwa na washkaji zao ndio maana leo unaona vituo vya mafuta vimeota hadi kwenye milango ya watu na serikali ya samia inaogopa kusema chochote hadi labda itokee milipuko na kuteketeza raia.
Magu ndii rais aliyethubutu kusimamaia sheria bila kumuangalia mtu usoni. Hata kushikilia au kutaifisha mali za mtu aliyekwepa kodi ni sheria za kodi na zipo muda wote.
Plea bargain ni sheria iliyotungwa na bunge sio Magufuli, hivyo Magufuli alitekeleza matakwa ya wananchi, tena washukuru hii sheria kwa kuja maana wengine wangeliweza kukaa hata miaka 10 pasipo kesi yako kusikilizwa,hii ilikuwa maelewano kama umeiba unalipa unaondoka zako,na wengi wamefaidika na hii sheria.Ni mchakato wa mahakama pekee unaostahili na unaoweza kuchambua ushahidi wa jinai, kuthibitisha makosa na kutoa hukumu sahihi. Sheria na kanuni za kusimamia mchakato huo zipo.
Plea bargain hufanyika katika hatua ya hukumu baada ya kosa/makosa kuthibitishwa mahakamani pasipo shaka kwa ushahidi uliotolewa. Sio kabla.
Hao mnaoita mafisadi hawakupitishwa katika mchakato wa mahakama na makosa yao kuthibitishwa. Kesi hazikufanyika. DPP alikuwa akiwatisha kuozea jela na mateso (torture) wasipokubali kulipa pesa wanazokadiriwa "kuiba"! That's a mafiossi modus operandi!
Hapa, unatudanganya kama vile sisi hatukuwa tunaona.Tofauti ya Magufuli na samia ni kuwa Magufuli hakuwa muoga wa kusimamia sheria. Samia ni muoga mno kusimamia sheria, kibaya zaidi wanaom backup ni wavunja sheria wakubwa wakiwa na washkaji zao ndio maana leo unaona vituo vya mafuta vimeota hadi kwenye milango ya watu na serikali ya samia inaogopa kusema chochote hadi labda itokee milipuko na kuteketeza raia.
Magu ndii rais aliyethubutu kusimamaia sheria bila kumuangalia mtu usoni. Hata kushikilia au kutaifisha mali za mtu aliyekwepa kodi ni sheria za kodi na zipo muda wote.
Kwa upande mmoja JPM atabakia kua mzalendo wa kwel na Kwa upande mwingine alikosea baadhi ya mambo....View attachment 2503193
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.
Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
turudi pia nyuma hata hao walionyang'anywa hizo mali zao wengi hawakuwa wasafi.tunazijua historia zao.wengi wao walizipata mali hizo kwa njia za wizi kwa kushirikiana na watendaji wa serikali hivyo hilo jambo lisichukuliwe kimzahamzaha.kuna mamiradi mengi yaliendelea huko nyuma ambayo yalikuwa ya ufisadi mkubwa.tahadhali ichukuliwe na tume ktk uchunguzi wao.kuna mameremeta,deep green,symbion,miradi ya sare za majeshi,vifaa ya ulinzi nk ambayo yaliwapa baadhi ya wafanyabishara na watendaji wa serikali ukwasi mkubwa.View attachment 2503193
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.
Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Inaonekana unachezewa mavi sana.Sawa waliibia serikali na kurudisha sio nongwa,ila inarudishwa Mali ya umma na kumilikisha mtu binafsi ndio tatizo hasa,
Chezesha Makalio yako ili Mavi yasigande
Mie naona wanaomsagia kunguni walikuwa mafisadi au watu wa madili tu na wavivu, nikikumbuka kwenye utawala wa Kikwete mwishoni nilipata tatizo la nyama za puani, kwenda pale Muhimbili nikaambiwa na Daktali aliyeniatend kuwa ili nifanyiwe opration inabidi nitoe 300000 au 250000/ Maana nilikuwa natumia bima ikabidi nirudi nyumbani Maana kwa maadili ya dini yangu inakataza rushwa, Magufuli alivyofanikiwa kupata madaraka akaenda akasafisa pale Muhimbili,nilivyorudi jamaa waliokuwa wanagoma wakitaka ela walinifanyia bule tena nikataka kuwapa elfu 30000,wakakata kabisa labda wakasema tuwekee kwenye simu.Sasahivi nenda pale Muhimbili au Mloganzira una pesa uone.magufuli alikuwa Mtu na nusu uwajibikaji ulikuwa juu sana hata kama watu walikuwa wanalipwa kidogo.Kwa upande mmoja JPM atabakia kua mzalendo wa kwel na Kwa upande mwingine alikosea baadhi ya mambo....
Sometimes Ili mambo yaende yanaitaji ukichaa....magufuli alikua ni mtu wa aina yake....
Kusema kweli hata Ccm wenyewe hawatokuja kuruhusu mtu wa aina yake...labda tu abadilike akiwa madarakani.....
Yaan likitajwa jina la magufuli mafisadi yanatetemeka....wakwepa Kodi wanafyata....wauza unga wanaingia mitini......
Tukubali tukatae Kwa asilimia kubwa Fulani alisafisha nchi.....AM 4 REAL binafsi enzi za JPM niliona nacheleweshewa jambo langu Nikaona nipenyeze lupia for sure yule afisa wa serikali niliona anatetemeka akakataa na akaifanya haraka tena buree Leo hii tumerud kulekule......
Hata Kifo chake ni conspiracy theories, Kwa nanna Moja Watanzania tunamkumbuka na tutamkumbuka JPM miaka na miaka hata mkimsagia kunguni....japo sikumpigiaga kura