Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Hasemwi bila sababu, yale maovu yake ndiyo yanasemwa na hakuna na ya kukwepa kumtaja wakati main topic ni majanga aliyoisababishia nchi na kwa wanaomtetea hali kadhalika.
Hup tunauita ni unafiki was kiwango cha juu maana wanaosema walikuwa wasaidizi wake; mbona hawakusema kipindi hicho?
 
Bunge lilipitisha tu tena kwa dharula baada ya kupekwa kutokana na matakwa ya Rais mwenyewe ili kiwe kichaka.

Kwani umesahau hata spika alivyokuwa akilaumu na kujishangaa kwamba sheria nyingine zilipitaje.
 
Inaonekana unachezewa mavi sana.
Waliokuwa wakikusanya hizo pesa SI wapo, kwani wasichululiwe hatua. Ni upumbavu kujifanya unashughulikia wizi uliopita usio na ushahidi Hulu unashindwa kuzuia wizi unaoendelea.
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia
 
Ujasiri bila hekima ni hasara kwa jamii.Na uoga wenye mahesabu na tahadhari ni tunda la hekima kwako.Yafaa nini jazba kwa simba mwenye njaa kuvamia hovyo vichaka vyenye mitego yenye hatari kubwa?
Kama umeshaweka sheria kinachofuata ni utekelezaji. Ukioga kusimamia sheria mlizopitisha wenyewe basi hautoshi.
 
Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Walikuwa wanaporwa .. magufuri na team yake walikuwa majambazi ...kwn jambazi anavyo kunyang'anya hela zako huwa ni zake ?? Yule hata mumpambe vp , lkn alikuwa jambazi

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Na mnyang'anya pesa aka DICTATOR JPM naye alikuwa mwizi, jitahidi kuitetea maiti hope you won't succeed
 
Hakunyang'anya ila alitenda haki, pesa ulizopata kiujanja zinarudishwa kiujanja kwa wananchi. JPM alikuwa kiongozi Bora, hajawai kuonekana mwingine tangu uhuru. Tungechagua akina JPM kila uchaguzi uchumi wetu ungekuwa kama wa Dubai.
 
Ndo zipelekwe China?
 
Dictator JPM ndio alikua akidai chake kisha kikafichwa China bila ya yeye kujua au alijua kabisa kuwa wamezificha uko ili baadae waanze kuzifaidi.

Ukimtetea mwizi nawe ni mwizi tu
 
Kama umeshaweka sheria kinachofuata ni utekelezaji. Ukioga kusimamia sheria mlizopitisha wenyewe basi hautoshi.
Kuwepo kwa sheria ni jambo moja.Na kuzifuata ni jambo lingine muhimu zaidi.Nadhani umeelewa.
 
Kosa ni kuwa sheria haikusema fedha hiyo ikatumike kufanya nini au itunzwe account ipi.
Na kwenye document za mtu kuachiwa ni DPP alikuwa akienda na kuongea na Mahakama
 
Hizo ela zilizochotwa nizanani! mbona hamuweki majina tukawaona hao waliochotewa ela zao?Mo na Mengi pamoja na Backressa hatukuwahi kusikia wakilalamika kwamba ela zao zilichotwa na Mo mpaka akanawili mpaka akatangazwa tajiri kijana africa enzi za Magufuli,naona wanalalamika ni akina Mbowe na washirika wake na akina Masamaki aliyekutwa na nyumba zaidi ya 70 aliyekuwa anajichotea ela Tra ela za umma
 
Wewe maskini huwezi elewa. Watu wengi wamenyamaza na kuamua kusamehe. Halafu ela = hela?
 
Wewe maskini huwezi elewa. Watu wengi wamenyamaza na kuamua kusamehe. Halafu ela = hela?
Unawezaje nyamaza wakati mtu umenyanganywa haki yako kama unaoushaidi kuwa mali uliyonyanganywa umeipata kialali? mbona!walinyanganywa mali na Nyerere walienda mahakamani wakashitaki wakinda kesi wakatudishiwa mali zao? kwanini hawa mnaosema Magufuli aliwanyanganya fedha hatukuwahi kuona hata tajiri mmoja akijitokeza kisema kwamba mimi niliwahi kuchukuliwa fedha zangu benki katika utawala wa Magufuli?Sans sana maneno hayo tunayasikia kwa wanasiasa akina Mbowe Cop, waliokuwa wakishirikiana na walanguzi kuliujumu taifa.
 
Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Hoja hapa isiwe Chadema au CCM, je ni kweli walinyang'anywa kwa sheria na haki?
Pesa halali unaweza kunyang'anywa.
Wezi, majambazi huwanyang'anya watu pesa na mali zao halali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…