Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

MI wakipewa hiyo kazi. Meja Jenerali Mkeremi lazima atolewe. Yule nae ni Mtandao OG. Lazima ata serve interest za Godfather wake JK
Aah kumbe unamjua boss wao wa sasa nilitaka kukumbusha tu baada ya kuisoma moja ya comment zako ukisema MI wapewe kazi ya kusafisha kampuni.
 
Clip za Polepole zinahujumiwa ukienda u/tube hazifumguki!!
Mfano hii clip anayo mjibu Rostam, wameihujumu Haifunguki!
Hebu tupe ujuzi jinsi ya kuweza kumsikiliza Polepole dhidi ya hawa mafisadi!
Angalia simu yako vyema..

Inawezekana huna bando pia...

Hotuba ya jamaa Iko full vizuri kabisa..
 
Aah kumbe unamjua boss wao wa sasa nilitaka kukumbusha tu baada ya kuisoma moja ya comment zako ukisema MI wapewe kazi ya kusafisha kampuni.
Ukimuondoa yeye wa chini wako vizuri.

Kampuni imeshakuwa compromised saivi. Ajira za kujuana zimeifanya ijifie kabisa
 
Kiufupi kaucheza huu mchezo kitambo na kwa akili kubwa sana sasa yupo kwenye utelelezaji kiulaini adui hakujipanga kkfupi kukabiliana nae amewapiga suprise attack mwisho wa siku inabidi wakubaliane na madai yake🤣🤣🤣
 
Anaongea sana.

Hana mtiririko

Haeleweki ana target nini?

Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.

Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
Humuelewi wewe labda boss wako ujumbe unamfikia murua
 
Anaongea sana.

Hana mtiririko

Haeleweki ana target nini?

Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.

Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
Mkuu uongeaji huu umepangwa kwa makusudi, uhitaji kuwa na proper flow, watu wako kazini... Kama wamechanganyikiwa kumbe wanautimamu.... Asomae na aelewe! 😁
 
Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.
 
Hata wasipotajwa ni sawa na kusema unaficha siri za jeshi la Tanzania zisiandikwe Wikipedia wakati adui anayezitaka anaweza kuona mpaka server zako, emails zako, anapata mpaka picha za satellite za pisitions zako zote.

Majina yametajwa ili kutoa uhalali fulani kwa habari zilizosemwa, na kwa watu hatari yalishajulikana kabla ya kutajwa.

Watu wanaojengewa ushawishi tu ndio walikuwa hawayajui vizuri.

So the risk does not increase.

Ila Polepole kama kaambiwa vitu in confidence halafu kataja watu majina, that is betrayal of confidence.
 
Wanaume ni kina Cornel Nanga, Gen Sultan, Willy Ngoma. Wao wako front msituni wanapambana na serikali..

Wewe fanya press zako huku umejificha kusikojulikana eti utaleta mabadiliko. Shwaini utaongea mpaka upoteze maana
😄

Ova
 
Ukitaka kuishi VIZURI waogope WATU Hawa kaa NAO mbali sanaaaa. Mwana siasa na mfanya BIASHARA mwenye NDOTO KUBWA



Kwishaaaaaa
Wewe ni lile kundi la kupiganiwa,.
Kaa kwa kutulia.....Acha WAPIGANAJI wafanye upande wao.

Tanganyika ni yetu sote!
 
Wewe ni lile kundi la kupiganiwa,.
Kaa kwa kutulia.....Acha WAPIGANAJI wafanye upande wao.

Tanganyika ni yetu sote!
Asante kijana ume kula kwanza? umesha kunywa chai? Kuna KIJANA kanipigisha kelele kumbe zilikua njaa TU. We ni mpiganaji? Unafanya Nini mtaani maana wapiganaji wakina lissu WAKO jela



Kwishaaaaaa
 
Paul akua sukama gang huyo ni kijana wa watoto unajua Makonda amepita mikono ya wakina nani mpaka kuja kua DC?

yeye na mkigoma mentor wao mmoja marehemu, watu hawajui kwanini kijana alikuwa anakula bata tu masaki bila kuguswa na ghafla akarudi kwenye vyeo..

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 

kijana he is not well informed, mengi anayoongea huku mitaani yanajulikana.
Ninachoona ataishia kuongea then atapata frustration tu.

Kwa anayoyaongea dalili zinaonekana aliwategemea watu ambao hawana nguvu yakufanya lolote baadala yake anategemea reaction ya raia ambao nao ni dhaifu maana wangekuwa watu wanaojielewa hata CDM wangeweza kuamsha hisia zao.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Mkuu uongeaji huu umepangwa kwa makusudi, uhitaji kuwa na proper flow, watu wako kazini... Kama wamechanganyikiwa kumbe wanautimamu.... Asomae na aelewe! 😁
Anatakiwa ku hit point na kusepa. Aache kutaja taja watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…