Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Ni kweli wana mtandao ni hatari sana kama wanaweza kuua rais aliyeko madarakani sembuse hawa akina job? Mzee Warioba, Butiku na wengine wajiandae na rip tu. Hawa jamaa ni hatari ni nguvu ya Mungu tu ndiyo inaweza kuwamaliza
Niliona ndege Yao ikiungua angani....
 
Yule jamaa ni born town kitambo ukiingia anga zake anakumaliza
 
Anaongea sana.

Hana mtiririko

Haeleweki ana target nini?

Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.

Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
Wewe Binti unaonekana unapenda sana Wanaume wanaopenda kuongea sanaaa
 
Kisazi cha magu kinapumzika Pole pole
 
Huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa au anaoongea nao si kitu kizuri. Atawaponza wenzie.

Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi..ooh kuna wazee naongea nao hadi Sasa.
Pole pole na Gwajima wanauwa wenzao bila kujua....

Sasa hivi wanatrace sana mawasiliano ya watu...

Warioba/Majaliwa sijui kama watapona....na wengineo huko ndani...
 
Tutafika tu,ila tukiwa tumechoookaa mno.
 
Sawa sawa, nao basi wajitahidi sie watazama movie/hadhira tuburudike. Kuna kale kamsemo kanasema :
"For every action there is an equal and opposite reaction"
Ila newton alikua mnoma sana, ile ni maisha siyo sayansi tu.
 
Kinyume chale!
 
Acheni feverish imagination. Hakuna wanamtandao,hakuna Sukuma Gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…