Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

umempa za uso huyu jamaa
 
Ni tamaduni tu shetani unamsingizia. Scotland huko wanavaa sketi. Nigeria wanaume wana mavazi yao kama magauni.
 
Ni tamaduni tu shetani unamsingizia. Scotland huko wanavaa sketi. Nigeria wanaume wana mavazi yao kama magauni.
Achana na huko ulikokutaja,nataka uniambie kwa hapa kwetu Tanzania,ni halali mwaume kuvaa sketi?
 
So mwanamke akivaa suruali anajifananisha na mwanaume?🤣🤣🤣badili mindset joh utachekwa ukija mjini
 
Yaani wengine mpaka unavutiwa na ule mwonekano wa Bonet ya VW Beetle' ile ya zamani.....wakati mwingine mambo Huwa ni kizungumkuti'... jamani wakati mwingine, mtusameheni jamani....
 
Tamaduni na mila zetu ni mwiko mwanaume kuvaa sketi. Tamaduni zikiruhusu hakuna tatizo.
 
Imeandikwa wapi hii mkuu?🤣🤣🤣
 
Imeandikwa mwanamke hapaswi kuvaa mavazi ya mpasao mwanaume na mwanaume hatakiwa kuvaa mavaz yamapaso mwanamke.

Suruali ni vazi la kikahaba anapovaa mwanamke mara nying huwa na lengo la kuleta matamanio kwa mwanaume

Unakuta mdada kavaa suruali imebada mpaka maumbo ya mwili wake yanaonekana yaani zile sehemu za siri zina jichora unaona muundo wa k pale mbele na nyuma matako

Shetani ametumia hilo vazi kwa wanawake kuleta upotevu hapa duniani, ndo maana unakuta uzinz uasherati ngono nyingi yote mavaz pia yana changia sana
 
Sio halali. Huko nimepataja kukuonyesha kuwa ni suala la mila zetu tu sio suala la shetani.
Na kumbuka hapa Muuliza swali hajaweka suala la mila na desturi,ameongelea walokole kwa maana kwamba anataka neno la Mungu litumike zaidi.
 
Ni wapi na lini hizo tamaduni na mila zilimsimika mwanamke kuvaa suruali?
Hakuna mahali jamii inasimika mila ila mila inakubalika na jamii. Kwani ni wapi na lini tamaduni na mila zilimsimika salamu ya shikamoo?
 
Enzi hizi sio jambo la kushangaza kusikia kachungaji au manabii,au katume kamebaka, hivyo mwenye kuamini hivyo atatengeneza mazingira rahisi ya kumsaidia kufanikisha uovu wake, fikiria wale wa msitu wa Shakahola🤔.Kama kuuwa,au kujiua sio dhambi,vipi kama akibaka,atasema ni dhambi🤔.Maisha,Imani vyote akili kumkichwa kwa kila binadamu kama sisi kwa kila kiumbe🚶🚶
 
Kwahiyo Samia anavyovaa suruali anajifananisha na mwanaume?[emoji1787][emoji1787] inferiority complex at its best, anyways si kosa lako ni jamii uliyotoka ndo inareflect uelewa wako[emoji848]
Nionyeshe picha ya samia akiwa amevaa suruali,halafu pia Samia ni nani mbele za Mungu?,Kwahiyo huyo Samia yeye hafanyi dhambi?,pengine kwa dini yake huyo Samia suruali ni vazi la kike,wewe unajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…