Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

Tatizo siyo suruali hilo ni Vazi limpasalo mwanaume mwanamke hapaswi kuvaa,huku kwetu Tanzania vazi limpasalo mwanaume ni suruali.

Ukitaka kujua shetani ni mtu wa ajabu,tafakari mawazo yako namna yalivyo,Mwanamke akivaa suruali kwasasa unaona kawaida ila mwanaume akivaa sketi na akitembea barabarani kwanini ashambuliwe?,Unaweza kunijibu?
umempa za uso huyu jamaa
 
Ni tamaduni tu shetani unamsingizia. Scotland huko wanavaa sketi. Nigeria wanaume wana mavazi yao kama magauni.
 
Ni tamaduni tu shetani unamsingizia. Scotland huko wanavaa sketi. Nigeria wanaume wana mavazi yao kama magauni.
Achana na huko ulikokutaja,nataka uniambie kwa hapa kwetu Tanzania,ni halali mwaume kuvaa sketi?
 
Mavazi ni automatically yanajulikana kwa jamii husika .

Point kubwa katika jamii yetu suruali ni za wanaume haswa sio sheria kote ila jamii yetu kwa sababu dini imegneraloze kwamba wanamkr asijifananishe na mwanaume na vice versal.

Hii ni applicable kwa jamii zote kutokana na muundo wao wa mavazi.
.Ukienda india kuna pajabi zile kwa jamii yao jata wanaume wanavaa ila Bongo ukivaa utachekwa kama mwanaume.
So mwanamke akivaa suruali anajifananisha na mwanaume?🤣🤣🤣badili mindset joh utachekwa ukija mjini
 
Hatuwaonei wivu nyie kuvaa suruali..ila nyege zetu ndio tatizo hasa mnapotikisa makalio kwenye suruali zenu mmevaa zinaonyesha mpaka mikanda ya vyupi...
Suruali ya mwanaume haiyagawanyi makalio ila suruali zenu zina display mpaka wa kati baina ya vilele viwil vya milima sasa hapo ndio sisi mnatukosesha utulivu na kufanya twende motoni..
Yaani wengine mpaka unavutiwa na ule mwonekano wa Bonet ya VW Beetle' ile ya zamani.....wakati mwingine mambo Huwa ni kizungumkuti'... jamani wakati mwingine, mtusameheni jamani....
 
Tatizo siyo suruali hilo ni Vazi limpasalo mwanaume mwanamke hapaswi kuvaa,huku kwetu Tanzania vazi limpasalo mwanaume ni suruali.

Ukitaka kujua shetani ni mtu wa ajabu,tafakari mawazo yako namna yalivyo,Mwanamke akivaa suruali kwasasa unaona kawaida ila mwanaume akivaa sketi na akitembea barabarani kwanini ashambuliwe?,Unaweza kunijibu?
Tamaduni na mila zetu ni mwiko mwanaume kuvaa sketi. Tamaduni zikiruhusu hakuna tatizo.
 
Tatizo siyo suruali hilo ni Vazi limpasalo mwanaume mwanamke hapaswi kuvaa,huku kwetu Tanzania vazi limpasalo mwanaume ni suruali.

Ukitaka kujua shetani ni mtu wa ajabu,tafakari mawazo yako namna yalivyo,Mwanamke akivaa suruali kwasasa unaona kawaida ila mwanaume akivaa sketi na akitembea barabarani kwanini ashambuliwe?,Unaweza kunijibu?
Imeandikwa wapi hii mkuu?🤣🤣🤣
 
Imeandikwa mwanamke hapaswi kuvaa mavazi ya mpasao mwanaume na mwanaume hatakiwa kuvaa mavaz yamapaso mwanamke.

Suruali ni vazi la kikahaba anapovaa mwanamke mara nying huwa na lengo la kuleta matamanio kwa mwanaume

Unakuta mdada kavaa suruali imebada mpaka maumbo ya mwili wake yanaonekana yaani zile sehemu za siri zina jichora unaona muundo wa k pale mbele na nyuma matako

Shetani ametumia hilo vazi kwa wanawake kuleta upotevu hapa duniani, ndo maana unakuta uzinz uasherati ngono nyingi yote mavaz pia yana changia sana
 
Sio halali. Huko nimepataja kukuonyesha kuwa ni suala la mila zetu tu sio suala la shetani.
Na kumbuka hapa Muuliza swali hajaweka suala la mila na desturi,ameongelea walokole kwa maana kwamba anataka neno la Mungu litumike zaidi.
 
Kuna mambo yanastaajabisha.
Siku moja nipo kwenye daladala
kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri

Katika mahubiri yale akasema
mwanamke kuvaa suruali ni dhambi.
Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?w

Pili, nikajiuliza mbona watu wa zamani wake kwa waume walivaa
mavazi ya aina moja mfanano na magauni au tuseme madera.
Nadhani hoja wasivae suruali za kubana makalio. Mambo ya kusema suruali dhambi kwa mwanamke ni upotofu. Vazi la suruali ni ubunifu tu wa mwanadamu.
Enzi hizi sio jambo la kushangaza kusikia kachungaji au manabii,au katume kamebaka, hivyo mwenye kuamini hivyo atatengeneza mazingira rahisi ya kumsaidia kufanikisha uovu wake, fikiria wale wa msitu wa Shakahola🤔.Kama kuuwa,au kujiua sio dhambi,vipi kama akibaka,atasema ni dhambi🤔.Maisha,Imani vyote akili kumkichwa kwa kila binadamu kama sisi kwa kila kiumbe🚶🚶
 
Kwahiyo Samia anavyovaa suruali anajifananisha na mwanaume?[emoji1787][emoji1787] inferiority complex at its best, anyways si kosa lako ni jamii uliyotoka ndo inareflect uelewa wako[emoji848]
Nionyeshe picha ya samia akiwa amevaa suruali,halafu pia Samia ni nani mbele za Mungu?,Kwahiyo huyo Samia yeye hafanyi dhambi?,pengine kwa dini yake huyo Samia suruali ni vazi la kike,wewe unajuaje?
 
Back
Top Bottom