kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
umempa za uso huyu jamaaTatizo siyo suruali hilo ni Vazi limpasalo mwanaume mwanamke hapaswi kuvaa,huku kwetu Tanzania vazi limpasalo mwanaume ni suruali.
Ukitaka kujua shetani ni mtu wa ajabu,tafakari mawazo yako namna yalivyo,Mwanamke akivaa suruali kwasasa unaona kawaida ila mwanaume akivaa sketi na akitembea barabarani kwanini ashambuliwe?,Unaweza kunijibu?