Unasema madrasa kulikuwa kinafundishwa kuwa hisabati, kiswahili,kiarabu na kijerumani kabla wakoloni wa kizungu kuja ikiwemo hao wamisionari akina Krapf Sasa hivi Mbona madrasa hawafundishi hayo masomo ni kiarabu tu?Sho...
Kijerumani kilifundishwa shule wakati wa utawala wa Wajerumani.
Sho...Kwa uongo hujambo umeeleza kuwa waislamu ndio Walikuwa wa kwanza kuelimika wakijua kusoma na kuandika Kwa herufi za kiarabu
Halafu eti walimu wa kwanza wa shule za misionari Walikuwa waislamu waliosoma madarasa.Sijawahi ona shule yeyote Wala kusikia ya Kanisa iliyowahi fundisha kiarabu darasani Cha kusoma Wala kuandika Wala kuongea
Pili kama elimu yenu Iko juu Mbona Sasa hivi madrasa Bado zipo mnaendelea nazo hiyo elimu ya juu ya madrasa ilipotelea wapi Serikali mtasingizia kuwa ilikuja misikitini kubadilisha syllabus au?
Sho...Unasema madrasa kulikuwa kinafundishwa kuwa hisabati, kiswahili,kiarabu na kijerumani kabla wakoloni wa kizungu kuja ikiwemo hao wamisionari akina Krapf Sasa hivi Mbona madrasa hawafundishi hayo masomo ni kiarabu tu?
Madrasa zilikuwa na syllabus zake ikiwemo kusoma hisabati,kiswahili , kijerumani na kiarabuSho...
Hawafundishi kwa kuwa hayo masomo yalihamia shuleni na madrasa zikabakia kusomesha dini.
Huu ni Uongo uliokubuu😂 Katika nchi zote za Kiislam Madrasa ni kwa ajili ya kufundisha Quran na Kiarabu. Katika tembea yangu kiasi Duniani hapa sijaona Madrasa inafundisha zaidi ya hivi viti viwili. Madrasa zilianzishwa miaka kadhaa baada ya Kuanzishwa Dini ya Kiislam. Muhamad akusoma Madrasa. Asili ya Kufundisha Watoto ilianzia Misri enzi za Falao na ata ukisoma maandiko .Musa alisoma katk shule za Misri,,Elimu ambayo ilimwezesha kufanya vikao na majadiliano na Farao mpaka akawapa rukhusa Waisrael watoke Misri, Pia Elimu hiyo hiyo Ilimsaidia Musa Kuwaongoza Kuhukumu na kuwatawala wana Israel Jangwani wakiwa wanaelekea Jerusalem kwenye nchi yao. (Hapa unaona kuwa Musa alikuwa na Elimu zaidi ya moja ikiwemo Sheria, Uongozi etc)Israel waliendeleza utamaduni wa Kusomesha watoto wao.... na ata Yesu Aliweza Soma katika shule hizo na Yeye kujua kusoma na Kuandika pamoja na mambo mengine kama Sheria n.k,,,(Bibilia ina ushaidi wa Yesu kujua kusoma na kuandika na pia kuwa na Elimu tosha ya Dini na pia Siasa- Kitu ambacho kilimwezesha kuhubiri na kufanya kazi zake Kisomi na umakini wa hali ya juu) Warabu wakakopy ila wao ikiwa ni mafundisho ya kitabu kimoja tu... hu ndo ukweliSho...
Hawafundishi kwa kuwa hayo masomo yalihamia shuleni na madrasa zikabakia kusomesha dini.
Sho...Madrasa zilikuwa na syllabus zake ikiwemo kusoma hisabati,kiswahili , kijerumani na kiarabu
Nani aliyehamisha Wakati madrasa ni independent Sio sehemu ya serikali.Nani aliyetoa maamuzi hayo huko misikitini kuwa yasiendelee kufundishwa madrasa?
Chipukizi,Huu ni Uongo uliokubuu😂 Katika nchi zote za Kiislam Madrasa ni kwa ajili ya kufundisha Quran na Kiarabu. Katika tembea yangu kiasi Duniani hapa sijaona Madrasa inafundisha zaidi ya hivi viti viwili. Madrasa zilianzishwa miaka kadhaa baada ya Kuanzishwa Dini ya Kiislam. Muhamad akusoma Madrasa. Asili ya Kufundisha Watoto ilianzia Misri enzi za Falao na ata ukisoma maandiko .Musa alisoma katk shule za Misri,,Elimu ambayo ilimwezesha kufanya vikao na majadiliano na Farao mpaka akawapa rukhusa Waisrael watoke Misri, Pia Elimu hiyo hoyo Ilimsaidia Musa Kuwaongoza Kuhukumu na kuwatawala wana Israel Jangwani wakiwa wanaelekea Jerusalem kwenye nchi yao. (Hapa unaona kuwa Musa alikuwa na Elimu zaidi ya moja ikiwemo Sheria, Uongozi etc)Israel waliendeleza utamaduni wa Kusomesha watoto wao.... na ata Yesu Aliweza Soma katika shule hizo na Yeye kujua kusoma na Kuandika pamoja na mambo mengine kama Sheria n.k,,,(Bibilia ina ushaidi wa Yesu kujua kusoma na kuandika na pia kuwa na Elimu tosha ya Dini na pia Siasa- Kitu ambacho kilimwezesha kuhubiri na kufanya kazi zake Kisomi na umakini wa hali ya juu) Warabu wakakopy ila wao ikiwa ni madundisho ya kitabu kimoja tu... hu ndo ukweli
Sorry Kiswahili sio My mother tongue . Hope you will be my Swahili Teacher one day😁Chipukizi,
Nimekusoma.
Ni Farao si Falao.
Chip...Sorry Kiswahili sio My mother tongue . Hope you will be my Swahili Teacher one day😁
Kwa maana hiyo kama wamisionari/ wakoloni wangetoa elimu kwa usawa, waislamu (wa kipindi hicho) wasingejihusisha au kuwa mstari wa mbele katika harakati za uhuru??Wamishionari na wakoloni wakawa wanatoa elimu kwa ubaguzi.
Hii ndiyo sababu Waislam wakawa mstari wa mbele katika kupambana kwanza na Wajerumani kwa silaha kisha na Waingereza kupitia vyama.
Nimeeleza haya yote katika kitabu cha Abdul Sykes.
Chat...Kwa maana hiyo kama wamisionari/ wakoloni wangetoa elimu kwa usawa, waislamu (wa kipindi hicho) wasingejihusisha au kuwa mstari wa mbele katika harakati za uhuru??
Uislam ni Nini??Chat...
Umejaribu kufanya deduction kupata jibu lakini ulichokosea ni kusahau kulitazama tatizo hili katika uhalisia wake.
Haiwezekani kwa ukoloni kuufanyia haki Uislam.
Allen...Uislam ni Nini??
Maana inawezekana Unadhani watu Wa pwani ndiyo uislam!!!
Keshou Mungu akijaalia nitaendeleza huu mjadala. Hivi Uarabu ni uislam au uislam ndiyo uarabu!!!??Allen...
Nifafanulie lile unaloona nakosea katika kumithilisha Uislam na watu wa pwani.
Hapo utamkosha mzee MS🤣kabla ya wakoloni ilikua inaitwa Islamic republic of Tanganyika