Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Tulia ni mtu wa hovyo snTulia hatakiwi kugombea, anatakiwa aendeshe mchakato wa kumpata spika.
Sasa anaachia kiti alichopewa kikatiba kugombea kingine bila kuwepo anayekaimu?
Huyu hafai kwa sababu ana tamaa ya madaraka.
Uspika ataupata tu baada ya miaka mitano.
Hafai kabisa lakini CCM ilivyo mbovu atapewaTulia ana tamaa. Sasa si ajiuzulu u naibu?Au ndo anataka pote. Yaani akikosa U speaker basi anabaki na unaibu. Wanasheria tusaidieni.
Ila watapigiwa kura. Majina 3 nadhaniHafai kabisa lakini CCM ilivyo mbovu atapewa
Ameanza kusifia serikali atapitaIla watapigiwa kura. Majina 3 nadhani
Hakuna bunge ni kusanyiko la wahuni tupuHuyu Tulia baada ya Statement zake za leo tutegemee Bunge kutokuwa tu a Rubber Stamp bali hio Stamp itakwenda kabisa Ikulu ili wamalize huko huko hakuna haja hata ya ku-consult Bunge
Kama alikubali kushiriki matendo ya kishirikina kisa apate ubunge wa Mbeya mjini atashindwaje kugombea uspika?Tulia hatakiwi kugombea, anatakiwa aendeshe mchakato wa kumpata spika.
Sasa anaachia kiti alichopewa kikatiba kugombea kingine bila kuwepo anayekaimu?
Huyu hafai kwa sababu ana tamaa ya madaraka.
Uspika ataupata tu baada ya miaka mitano.
Hadi anatia kichefuchefu lkn poa maana kazi mzuri ndiyo msingi wa ndoa yakeTulia ana tamaa. Sasa si ajiuzulu u naibu?Au ndo anataka pote. Yaani akikosa U speaker basi anabaki na unaibu. Wanasheria tusaidieni.
Sijawahi kumkubali na sitoweza kumkubali kamweTulia ni mtu wa hovyo sn
Yupo vizuri sana nilimuona alivyo m challenge Ndugayi kipindi fulanimasele mtu na nusu
Hakuna bunge tena hapoHuyu Tulia baada ya Statement zake za leo tutegemee Bunge kutokuwa tu a Rubber Stamp bali hio Stamp itakwenda kabisa Ikulu ili wamalize huko huko hakuna haja hata ya ku-consult Bunge