Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele
Dada Tulia umechukua form ya uspika unauhakika utaweza kupita dada yangu.

Moyo wangu unawasiwasi sana, unaweza kurudi kuwa mbunge wa kawaida.

Ila Mungu akusaidie dada yangu, hili gemu ni gumu.
 
Hata hivyo bunge la sasa si zuri agombee tu wazidi kulitia kutu.
 
Hivi hapo kuna kushindwa ?

Akipewa Uspika ni Kushindwa kwa nchi na Taifa (kutokana na kauli zake alizoanza kuzitoa) atazidi kulitepesha Bunge...., Akishindwa umri bado unadai na kesho keshokutwa bado anaweza kuomba uongozi....

Binafsi kuliko kuwa Kiongozi wa Rubber Stamp ni bora mtu kukaa kando mpaka Bunge litakapoota Meno (if ever)....
 
Ivi Tulia akifeli atarudi kua naibu au atakoswa vyote

mfano: Makonda alikua mkuu wa mkoa akachukua fomu ya ubunge akakatwa kwenye kura za maoni akawa amepoteza vyote

je? Je kwa huyu tulia itakueje akikoswa usipika
 
Dr. Tulia ulitumika sana na Magufuli kupenyeza ajenda zake. Ulikuwa na kiburi wala hukuwahi kumuheshimu Makamu wa Rais SSH. Leo bila aibu unamsifia Rais hadharani ili akupitishe ugombee Uspika.

Tamaa na uchu wa madaraka vitakuponza. Ngozi yako inajulikana kuwa wewe ni sehemu ya uovu uliopita. Hutokaa uwe Spika SSH akiwa Rais.
 
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania

Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick Nkamaha. Mchakato huu umeanza baada ya CCM kutangaza kutaka muwakilishi kugombea nafasi iliyoachwa na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai

  • Patrick Nkamah
  • Stephen Masele
  • Tulia Ackson Mwansasu
  • Godwin Kunambi
  • Hamidu Ubaidi Chamani
Huyu mama hatakiwi hata kidogo,sema bunge lililopo ni la chama kimoja lakini ilitakiwa wampige chini tu.
 
Dr. Tulia ulitumika sana na Magufuli kupenyeza ajenda zake. Ulikuwa na kiburi wala hukuwahi kumuheshimu Makamu wa Rais SSH. Leo bila aibu unamsifia Rais hadharani ili akupitishe ugombee Uspika.

Tamaa na uchu wa madaraka vitakuponza. Ngozi yako inajulikana kuwa wewe ni sehemu ya uovu uliopita. Hutokaa uwe Spika SSH akiwa Rai
Wanazi utawajua tu,akipitishwa je?
 
Dada Tulia umechukua form ya uspika unauhakika utaweza kupita dada yangu.

Moyo wangu unawasiwasi sana, unaweza kurudi kuwa mbunge wa kawaida.

Ila Mungu akusaidie dada yangu, hili gemu ni gumu.
Yaani unamuombea mtu kama huyu?
 
Back
Top Bottom