Tatizo wabunge woote hapo mjengoni hakuna anayetazama ufanisi wa hilo bunge.

Kila mbunge anatazama nini anapata kwa manufaa ya familia yake.
 
Ivi Tulia akifeli atarudi kua naibu au atakoswa vyote

mfano: Makonda alikua mkuu wa mkoa akachukua fomu ya ubunge akakatwa kwenye kura za maoni akawa amepoteza vyote

je? Je kwa huyu tulia itakueje akikoswa usipika
Ukumuona ngedere kariakoo basi ujue kuwa kuna mtu kampeleka pale.
 
Hizo dua ni kheri zikawa za kweli eweee Mungu ebu fanya miujiza huyu Tulia apigwe chini na hayo ndiyo maombi yetu sisi wana wa Mbeya.
 
Sshhhhhhh.... 🤫 Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Tulia hatakiwi kugombea, anatakiwa aendeshe mchakato wa kumpata spika.

Sasa anaachia kiti alichopewa kikatiba kugombea kingine bila kuwepo anayekaimu?

Huyu hafai kwa sababu ana tamaa ya madaraka.

Uspika ataupata tu baada ya miaka mitano.
Hapana katiba inasema wabunge watamchagua mbunge aliye na muda mrefu na ambae hatagombea,ndio atakuwa mwenyekiti wa kikao kitakachomchagua spika

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Tulia bora ata alivyokuwa Ndugai mara 100!
 
Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania kuna Bunge!👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Kunambi huyu huyu ambaye cheo cha kuwa DED tu akipiga watu vibao ofisini
 
Huyu Tulia baada ya Statement zake za leo tutegemee Bunge kutokuwa tu a Rubber Stamp bali hio Stamp itakwenda kabisa Ikulu ili wamalize huko huko hakuna haja hata ya ku-consult Bunge
Ndio ilivyo kiuhalisia
 

Unamjua vizuri. Je hiyo dharau kwa Makamu alimwonyesha wapi na lini. Watanzania mnapenda kusema watu ambao hata kuwajua hamuwajui. Sasa nikwambie hao watu mabest sana. Mama na huyu unayemwotea ndoto za asubuhi na mapema.
 
Unamjua vizuri. Je hiyo dharau kwa Makamu alimwonyesha wapi na lini. Watanzania mnapenda kusema watu ambao hata kuwajua hamuwajui. Sasa nikwambie hao watu mabest sana. Mama na huyu unayemwotea ndoto za asubuhi na mapema.
Namjua vizuri Tulia. Kazi yangu inanifanya nimpekue yeye na hata mumewe aliyepo Wizara ya Nishati. TULIA HATOKUWA SPIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…