heheheee kweli we wa Dar yan umeitamka kwa utofauti sana...sisi wa bara hatujui hayo majina aiseee
Nilipata 120% nikijulisha na za A-Level zinakuwa 190%Ewaaa Kisawhili ulipata asilimia ngapi vile.
Heheheheee umecheeeeeeeeeeka Lily Flower
Lol
Nilipata 120% nikijulisha na za A-Level zinakuwa 190%
Niliwahi kuwepo nikadunga lugha za kisela nikawa nasahau wakanitema mazima hadi leo niko nataka kuhamia RTD kwa wazee wenzanguOmba kazi tbc kwenye kipindi chao cha lulu za kiswahili, wasawhili wanaita hizo asilimia 'GOLDEN POINTS'
Niliwahi kuwepo nikadunga lugha za kisela nikawa nasahau wakanitema mazima hadi leo niko nataka kuhamia RTD kwa wazee wenzangu
Heee hivi ndio mida ya Ku DO ?Lugha za kisharo kwi kwi kwi kwi ukome, nahuko endapo watakushtukizia tu, ngoja nidu ze nidiful.
We nawe uzee wako peleka hukooo.
Miti na ufugaji ng'ombe hayatakiwi hapa....
Unatuharibia stim vijana ujue...
si ndio hicho kikao mkuu kitaamua...pia kuna uwezekano wa kwenda na kipepeteo
Unataka kwenda kuangalia vitega uchui vyako kijanjajanja?
Hicho kikao msifanyie wanapo uza biya bei za kuruka
Huna lolote ubahiri tu umekujaa.
Hasara roho pesa makaratasi.
Domo kubwa.