mwenzangu........ ngoja nijitulize mie, hata ruksa siombi tena.....
mtoto wa kike kutulia na la azizi, lol!
wifi yangu marejesho yaani usijali mamito.
Tena nitakuja siku mbili kabla ili tutoke wote huko Arusha kwenda Tanga.
Luv u wifi yangu.
Hah hah hah hah hah! JF Arusha sio mchezo. Njooni kwa wingi sana na tutafurahi sana kujumuika pamoja nanyi. Hasa wadada maana Arushaone, LiverpoolFC, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Erickb52, IGWE bado hawajafanyiwa booking! Mcheki Madame B ila asije na Chimbuvu!
ana kìerehere sana..
Hongera ipo wapi mkuu, direction please...
Sema neno na roho yangu ipone....errr....naona ushasema.....sijambo sana......karibu Majani Mapana......
Tena unikome!
Naona watu wanachakachua hii thread ila Mimi napendekeza tukutane ijumaa pale hongera saa kumi na moja!