Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi
Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora kuchelewa kurudi nyumbani ili akose tuu muda wa kuongea na mwenzie
Kuna watu wapo ndani ya ndoa wameshafika hatua hadi kupelekana mahakamani
Wengine wapo ndani ya ndoa kila siku ligi hakuna anayekubali kushidwa kila mmoja anajiona sahihi kuliko mwenzie
Wengine wapo ndani ya ndoa hata kushare kitu chake na mwenzake hataki kama ni gali hataki kabisa mwenza wake akitumia gali lake
Wengine wapo ndani ya ndoa hata tendo la ndoa hawashiriki tena usishangae wanalala vyumba tofauti tofauti ili mradi amnyime mwenzie
Je katika haya yote shida ni nini lakini
Kuna familia mija naifahamu wamehamia dodoma kikazi lakini huko Hawakaii pamoja kila Mmoja anakaa Kwake, ila wakirudi Dar wanaishipamoja katika nyumba yako waliyokuwa wakiishi. Majirani wote hawajui kuwa Dodoma wamegoma kukaa pamoja.Wengine nasikia wanalala vyumba tofauti tofauti.
Sijui Kwanini wana pretend kuwa pamoja wakati moyoni walishaachana.
Kuta za nyumba zinaficha mengi sana.
Watu wanaoana kisa nyegezi..wanaume wanaangalia misambwanda..na wanawake wanaangalia pochi...tamaa hua waziishi..mwisho wasiku ile true chemistry ndani ya ndoa haipo..ndio magomvi yasiyoisha huanza.Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi
Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora kuchelewa kurudi nyumbani ili akose tuu muda wa kuongea na mwenzie
Kuna watu wapo ndani ya ndoa wameshafika hatua hadi kupelekana mahakamani
Wengine wapo ndani ya ndoa kila siku ligi hakuna anayekubali kushidwa kila mmoja anajiona sahihi kuliko mwenzie
Wengine wapo ndani ya ndoa hata kushare kitu chake na mwenzake hataki kama ni gali hataki kabisa mwenza wake akitumia gali lake
Wengine wapo ndani ya ndoa hata tendo la ndoa hawashiriki tena usishangae wanalala vyumba tofauti tofauti ili mradi amnyime mwenzie
Je katika haya yote shida ni nini lakini
Maisha ya ndoa ni unaafiki wa hali ya juu mnooo!Wengine ndio huishia kuuana sababu ya kulazimisha kuishi kwenye paa moja wakati penzi lilishakufa.
Tumeshuhudia matukio ya kutisha ya wanandoa kudhuriana na kuuana sababu ya kulazimisha kuishi Pamoja.
Tatizo siku hizi wanawake wanaweza hivo huwaambii kituJapo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi
Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora kuchelewa kurudi nyumbani ili akose tuu muda wa kuongea na mwenzie
Kuna watu wapo ndani ya ndoa wameshafika hatua hadi kupelekana mahakamani
Wengine wapo ndani ya ndoa kila siku ligi hakuna anayekubali kushidwa kila mmoja anajiona sahihi kuliko mwenzie
Wengine wapo ndani ya ndoa hata kushare kitu chake na mwenzake hataki kama ni gali hataki kabisa mwenza wake akitumia gali lake
Wengine wapo ndani ya ndoa hata tendo la ndoa hawashiriki tena usishangae wanalala vyumba tofauti tofauti ili mradi amnyime mwenzie
Je katika haya yote shida ni nini lakini
Hasa Ke wachaga wa Marangu , Machame!!....mweee haya makabila hatare sana ...ukichukua funguo za gari lake anakuangalia hiviiii..........mara oooh!! Baba anataka kulitumia!! mara ooh! uko wapi??Wengine wapo ndani ya ndoa hata kushare kitu chake na mwenzake hataki kama ni gali hataki kabisa mwenza wake akitumia gali lake.
Hapo tayari umesha athirika ila haujui tu. Madhara yake ni kama hayo.Unachosema ni kweli mm nimekua kwenye familia yenye migogoro nipo chuo ila naishi home niseme tu wazazi wangu upendo kati yao ulishakufaaaaa kitambooo sanaaaaa tangu niko primary mpaka sasa nipo chuo yani ugomvi daily ingekua ni amri yangu basi ningevunja ndoa ya wazazi wangu maana ni wanaishi tu siku ziende kuna kipindi walizinguana mama akaondoka nyumbani kama mwezi mzee akalazimisha arudi nikamwambia si kila mtu aendelee na maisha yake maana unachofanya ni Kuangalia movie ya titanic mara ya pili na kutegemea meli isizame itazamaa tu
Mama akarudi nyumbani amani ilirudi kwa wiki mbili tu afu vita ikaendelea kama kawa dah jau sana na Leo tu asubuhi wamezinguana tena,mzee wangu anataka kufurahisha jamii ione yupo Kwenye ndoa kumbe ndani hamna amani.nashukuru hii migogoro yao haijani affect kisaikolojia na wala siwazi mambo yao Niko busy na mambo yangu ila nawachora tu wanavohangaika na ndoa yao naombea tu wadogo zangu wasiathirike Maana ni wadogo wako primary.
Wazazi wangu wasije wakakaa wategemee eti siku nitaleta mchumba nyumbani kumtambulisha eti nikae kabisa baba,mama huyu hapa mchumba nimemleta mumtambie maviii ya kuku na wakiona kimya wasije wakaniuliza eti mafian cartel unaoa lini haha Nitakachojibu watanyamaza wasiulize tena.
Ndugu zangu mliopo Kwenye ndoa maji yakizidi unga achaneni tu mtakufa bure
Hapa naskilizia ugomvi wa wazazi wangu baadae utaendaje maana asubuhi wamezinguana na ugomvi haujausha bado
NDOA NDOANO!!
Umeongea point nzuri sana. Naomba kuongezea ili iweze kueleweka zaidi.Baba zetu walikuwa hawaheshimu mwanamke ila walikuwa wanapata wanawake wakueleweka sana
Sisi tunaheshimu sana wanawake ila tunapata vimeo.
Wanaume wa zamani walipaswa kudate wanawake wa kileo na sisi wanaume wa sasa tulipaswa tu date wanawake wa kale.
Baba zetu waliamini mwanamke ni chombo cha starehe tu sisi tumekataa imani ya baba zetu kwamba mwanamke sio chombo cha starehe bali kiumbe mwenye thamani sana lakini dunia inatufundisha na kutukumbusha busara za baba zetu kwamba wao hawakuwa wajinga kumchukulia mwanamke km chombo cha starehe in fact tunarudi kule kule kwenye ukweli ambao baba zetu waliuishi Mwanamke ni chombo cha starehe.
Tumeruka ruka weee ila wenyewe tunakubali kwamba imefika mahali ili tuwe na dunia ya amani basi lazima tukubali mwanamke nichombo cha starehe na hatupaswi kumzingatia zaidi hapo.
Babu zetu walikuwa mchukulia hivyo ila walau walimpa heshima ya kumuoa na kumtumia km starehe ila sisi hata hiyo heshima ndogo tunakoelekea tunaweza mpora kabisa.
Nani alikuwa hasa na busara??wazee wetu au sisi
Miaka ijayo wanawake wa kichagga watakuwa the best wives to have kwasababu kwa miaka yote wamekuwa portrayed kama wanawake mfano mbaya hata na wanawake wenzao.Hasa Ke wachaga wa Marangu , Machame!!....mweee haya makabila hatare sana ...ukichukua funguo za gari lake anakuangalia hiviiii..........mara oooh!! Baba anataka kulitumia!! mara ooh! uko wapi??
Kijana nakubaliana na hoja zako zote, ila waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani.Unachosema ni kweli mm nimekua kwenye familia yenye migogoro nipo chuo ila naishi home niseme tu wazazi wangu upendo kati yao ulishakufaaaaa kitambooo sanaaaaa tangu niko primary mpaka sasa nipo chuo yani ugomvi daily ingekua ni amri yangu basi ningevunja ndoa ya wazazi wangu maana ni wanaishi tu siku ziende kuna kipindi walizinguana mama akaondoka nyumbani kama mwezi mzee akalazimisha arudi nikamwambia si kila mtu aendelee na maisha yake maana unachofanya ni Kuangalia movie ya titanic mara ya pili na kutegemea meli isizame itazamaa tu