Wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui. Tatizo ni nini?

Elimu kwa wanawake especially sisi waafrica, utandawazi, shule za mitaani za akina mama vikundi, TV, umasikini, mapokeo ya tabia mbaya toka kwa wazazi, etc
 
Aisee hii umeichamubuwa kisomi with research, data and evidence.

Kama ni mtihani wa form four hapa umepiga division one point 7.👏👏
 
Kijana nakubaliana na hoja zako zote, ila waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani.

Hayo mabifu yao waachie wenyewe ila inapofika nafasi ya Baba au mama ni unreplaceable.
Nawaheshimu mkuu ila kama nilivyosema kuwa migogoro yao Mimi sina time nayo na naepuka sana kuyawaza au kuyaongelea hata sometimes unakuta ndugu wananiita kuniuliza kuhusu wazazi wangu(Karibia ndugu zetu wote wanajua wazazi wangu wana migogoro ya muda mrefu)

Mimi wakiniulizaga kuhusu migogoro ya wazazi wangu na naichukulia vipi hii Migogoro

Mimi nawaambiaga tu mshasema ni migogoro ya wazazi wangu na si migogoro kati yangu na wazazi wangu kwahyo basi itapendeza kama hayo maswali yenu mkawaulize wenyewe kwasababu mimi hayanihusu hapo nafunga mjadala
 
Sikuwahi kufikiria kama nimeathirika kisaikolojia kutokana na hii migogoro yao ila baada ya kusoma ulichoandika naona ni kweli kabisa nimeathirika kwa namna moja au nyingine
 
Katika ndoa lazima mmoja kati yao awe kiongozi wa hiyo ndoa. Huyu lazima aweze kumudu hali zote nzuri na mbaya, hasira na furaha, kebehi n.k

Na upande mwingine, lazima umtambue kuwa huyu ni kiongozi na wakati wote yeye ana busara ya kuongoza ndoa hiyo.

Sasa shida hutokea, wakati ambao wote wawili mnakuwa katika levels mnazojiona na kujisihi mko juu ya mwingine bila kukubali kujishusha. Hapo huwa kuna moto usiozimika.
 
Afadhali umeona mbali kwa dubini kali!
 
Mmh!! Mbona nyuzi nyingi za siku hizi hazikosi kutaja neno gari?
Kwaiyo wanajukwaa nyote mna magari?? [emoji848]

Anyway, pole sana kwa changamoto unazopitia!!
 
Mazoea ni tatizo kubwa sana katika ndoa, linapoteza hisia za mapenzi kwa wanandoa.

Mazoea hayo yanapelekea kudharauliana na kuondoa upendo, na wakati mwingine kua na uadui baina ya wanandoa hao.
 
Hebu nijaribu kukudokeza kama ifuatavyo:
1. Unafahamu ka-methali ka ki-pare kanakosema "Familiarity breeds Contempt"?
= Kadri mnavyozidi kuzoeana kwa kuishi pamoja ndipo madhaifu ambayo hayakuwa wazi mwanzoni baina yenu yanavyozidi kujifunua. Kwa hiyo hakuna tena jipya - Mnaanza kudharauliana, kubezana na kila mmoja anampuuzia mwenzake.
2. Zipo kero za kwenye ndoa e.g. Kuchepuka esp. Wanaume. Lakini pia Wanawake ni wenye gubu sana hata kwa jambo ambalo hana uhakika wa ukweli wake.
3. Ndoa nyingi (labda ni zote ) huwa zinaandamwa sana na Maadui wa kila aina Nje na Ndani na maadui hao wapo kwa kificho- sio Dhahiri.
4. Kutoridhika au kutosheka na Ulichojaliwa (Fedha na Mali) kila mmoja ana Ndoto yake. Kwa mfano mmoja anapenda starehe aina fulani mwingine hapendi aina hiyo ya starehe, mtindo wa maisha uliopo n.k.
Mmoja hatambui na kuthamini mchango wa maendeleo kutoka kwa mwenzake; yaani Mmoja anapuuza kilichofanyika na mwenzake n.k. n.k
5.
6.
 
Aisee hii umeichamubuwa kisomi with research, data and evidence.

Kama ni mtihani wa form four hapa umepiga division one point 7.[emoji122][emoji122]
Thank you mkuu.
 
Sikuwahi kufikiria kama nimeathirika kisaikolojia kutokana na hii migogoro yao ila baada ya kusoma ulichoandika naona ni kweli kabisa nimeathirika kwa namna moja au nyingine
Nafahamu hizi vitu mtu wangu. Wazazi wakiwa hawapo stable watoto huwa hawatoki salama hata kidogo.
 
Mazoea ni tatizo kubwa sana katika ndoa, linapoteza hisia za mapenzi kwa wanandoa.

Mazoea hayo yanapelekea kudharauliana na kuondoa upendo, na wakati mwingine kua na uadui baina ya wanandoa hao.
Usisahau na ulozi pia umo kwa saaaana!! hasa wanaum walozi sana
 
Ewaaaa!! umekuja sasa cha kufanya hapa ni ku revive ndoa ianze upyaaaa!!.....kwa kutumia mbinu za bibi zetuuuuu!! ukizingatia na uvumilivu! bila kushau ugali wa uwele, mtama, ulezi na muhogo ulio twangwa kwa kinu tena kinu chenyewe mti maalum!

Usisahau jiwe la kusagia nafaka nalo liwe jiwe maalumu linalo tokea machweo! ndoa itadumu na hakuna kidudu mtu kitakuja kuroga hapo!! furaha amani km zote! kila atakae jaribu anakufa tena waziiiii
 
Therefore!!!! wana jukwaa wooote!!! mnisikie Mtaalamu wenu hapa nawapa neno!!! Usasa umewaharibu sana hamtadumu kunako mahusianoooo!! ..mshirikiane kulimbwatana Live! kwa kutumia kondoo mweusi... ule siyo uchawi km wengi mnavo dhania!.....

hasa wanadini wanao muabudu yesu mzungu!! ambae nae haji ng'ooo!...mtasubiri saana mtakapo jua kuwa mume pigwa changa la macho!! Malaika wanashuka kusafish mji ...il wateule wakae raha mustarehee sasa nambie hujawa sehemu ya takataka??
 

TATIZO NI SEMINA MBALI MBALI ZA YOU CAN BE ANYTHING YOU WANT, YOU ARE A WOMAN YOU ARE A CONQUERER(MSHINDI), AFU BAADA YA MANENO HAYA ANAJIPOZA NA MOTIVATION SPEAKER WA INSTSGRAM AU WHATSAP...... AKIRUDI NYUMBANI HUO MOTO WAKE..... EEEEEEEHHHH UTAJUTA
 
Huyu kondoo mweusi unaongelea kufanya kafara au una maana gani? Fafanuwa.
 
Mimi kwangu mwanamke amekua kama askari jela.Kelele na kufoka ndio Kawaida ukweli ni kua zinaniathiri sana watoto kosa dogo ni sheeda.Msichana wa kaxi akikosea ni taabu tupu.Natamani muda wa kazi uwe Hadi usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…