Wasaidie wewe au wao wenyewe waende TAMISEMI waombe watabadilishiwa post.Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Kutaja vyeo vya wazazi hao watoto.Una maana gani
What if wakafeli Diploma?What if wakifeli form 6
Unadhani masomo yote ya kukariri?Hawa watoto ndio ma great thnker wenyewe
Yani wameona wamepoteza miaka kibao kukaririshwa kinjekitile sasa wameona enough is enough hawataki tena kuendelea kupoteza muda wao
sema kaka sio dadaAah okay dada
Tena ya sayansi moto wa kuota mbali yale masomo ni pre university classShule ya A level ni shule iliyochangamka kwelikweli, sijui kwa nini watu wanaichukulia poa. Kiukweli nikiona CV ya mtu ambaye hana A level, huwa naona huyu mtu anakosa kitu flan hivi.
Pole mwanzisha mada au hao watu hawapo ila unataka kujua fursa kwa wanaosoma lower diploma/technician certificate na wale wenye bachelor degree.Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Watoto zangu wote nawapeleka International Universities so lazima wawe na degree tena ndio minimum education. Siwezi kuwapotezea muda na vidiploma uchwaraWakitoka hapo waanze degree ya nini sasa?
Wapige kazi degree zenyewe ni waste of time
Commitment ya walimu A level nyingi nzuri iko vizuri ufundishaji na ufauluKupenya sayansi advance ni rahisi?
Advanced mtoto anasoma na wenzie level moja kiumriWatoto zangu wote nawapeleka International Universities so lazima wawe na degree tena ndio minimum education. Siwezi kuwapotezea muda na vidiploma uchwara
Kweli kabisaAdvanced mtoto anasoma na wenzie level moja kiumri
Vyuo.vya Diploma anaenda kutana pamoja na vibibi na vibabu na mama ba mababa wenye watoto majumbani kwao
Sidhani kama wana uamuzi kinyume na kinachoendelea sasa hivi, hasa ikizingatiwa kuwa wazazi wanakubaliana na maamuzi ya wizara. Wanaonekana wako vizuri kichwani, waendelee na masomo, na wasomee shahada za matamanio yao katika elimu ya juu.Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,

Hao wadada waache upuuzi, yaan wanawaza bata na uhuru wa chuo, hawana lolote, wabaki hapo shule wapige kitabu. Huo wanaofanya ni ulimbukeni unawasumbua
Nwei kupanga ni kuchagua. Kazi kwao.