cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Huyu RC wa Dar au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cocastic nimegundua baada ya kufanya uchunguzi miezi 3. Wewe ni Amos Makala!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu RC wa Dar au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cocastic nimegundua baada ya kufanya uchunguzi miezi 3. Wewe ni Amos Makala!
Acha kumchimba mkwara madam wa watu,tuchimbe mkwara watu kama sisi,we fear nothing rather than fear itself.Every one is a GREATTHINKER Miss.
The matter of fact is uache kujibu wenzio shombo au unataka tukutumie team la ufundi likutie adabu eheee.?? Maana hatushindwi kitu sisi binadamu.
Take care limadam lisilo jielewa. Umenijibu vibaya sana na sijapenda. Tutaonana
Kitu huelewi, pita kimya. Nakupa mfano, mtoto kapata C ya Physics na kama kawaida Biology na Chemistry ana C au zaidi. Huyu kwenda PCB anapoteza muda maana ni ndoto za ndalia kuibuka na A ya Physics form Six ili aweze kuchukua MD. Sana sana akijitahidi atapata C au D au S. Hapo kama amekamia MD lazima arudi kuchukua CMT ambapo aliokuwa nao wakaenda Chuoni, watakuwa mwaka wa tatu wakati yeye akianza mwaka wa kwanza. Ili achukue MD atatumia miaka 5 na kama akikatisha form four atatumia miaka 3 tu. Amina68 nimekupa nondoHao wadada waache upuuzi, yaan wanawaza bata na uhuru wa chuo, hawana lolote, wabaki hapo shule wapige kitabu. Huo wanaofanya ni ulimbukeni unawasumbua
Nwei kupanga ni kuchagua. Kazi kwao.
Acha kupotosha umma, yaani sisi serikali hatuajiri wenye degree? Hizi sasa ndio dalili za ugonjwa wa diploma.Serikali haiajili wenye degree sa hv , private ndo kabisaa hawataki hata kuwaona hao degree taker .... Hao wazazi wajitafakar .... Bora waseme kama hawana hela ya chuo ijulikane , Ila kama Wana uwezo bas wawasikilize hao ma manzi...Kwa binti pia is too risk kuwa na mda mrefu darasani , chance ya kuzalishwa ni kubwa kama akiwa mrembo kama mtoa mada alaf , wanasoma H kunani au sayansi ... Mana hili nalo la mhimu
Huyu Binti kanishangaza sana ujasiri wake.Acha kumchimba mkwara madam wa watu,tuchimbe mkwara watu kama sisi,we fear nothing rather than fear itself.
Eeh ndiyo wewe hapo Makalla.Huyu RC wa Dar au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aendelee na ualimu wake wa zamu...aachane na yasiyo muhusu.Mpaka hapa mada ilipofikia, Amina umeshika fungu lipi kati ya hayo machaguo mawili?
Madam unaishi wapi nnashida na wewe sio hao wapuuzi .Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzi cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
"Wajisomeshe wenyewe" kwani kitu gani huelewi?kukumdogo nitakutafuta,naomba tusolve kwanza hili
Naona Madam kama una kiwango kikubwa cha HEKIMAPau Montanna
Kuwa pale Part-time sio kwamba Sina cha kufanya, na ndio maana nimeomba GREAT THINKER wakoment
Sayansi sio theory uongoMkuu ngoja nikutoe tongotongo, hata hayo yanayoitwaa ya sayansi kiuhalisia ni historia ya sayansi sio sayansi kama unavyodhani
Watoto hawafundishwi kua ma archmedes bali wanafundishwa historia ya archmedes alivyofanya miaka hiyo
Sisemei huko sekondari tu, ninarafiki yangu alisoma mechanical engineering pale COet ila wakati anafanya field kwenye taasisi moja hapa jijini jamaa alikiri chuoni wanafundishwa makaratasi kwani jamaa wasioenda shule au walioishia madarasa ya chini walikua wanaelewa machines na mechanism zake walizofundishwa kwa uhalisia kitaani na veta na wao waliotoka vyuo vya uinjinia ndio walikua wanajifunza kutoka kwa hawa mabwana
Are you serious? Haya mbona ni mambo ya kifamilia na binafsi? Mimi nilipomaliza form four nilikuwa nalilia sana eti nikasomee ufundi wa magari japo nilifaulu na kuchaguliwa kwenda kidato cha tano. Baba yangu akanijia juu sana na sasa namshukuru kwani aliniongoza vizuri. Hao bado ni watoto na wazazi wao wameona wakienda high school ndiyo njia sahihi. Wao bado akili za kitoto zinawasumbua.Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzi cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Hakuna bosi mwenye diploma SerikaliniAcha kupotosha umma, yaani sisi serikali hatuajiri wenye degree? Hizi sasa ndio dalili za ugonjwa wa diploma.
Haya ni mawazo ya kijima na yanawakilisha mawazo ya vijana wengi wa kibongo wasiojua maana ya elimu. Kusoma theory kunafanya mtu ajue mambo kwa deep zaidi na kuweza kuendeleza pale sayansi ilipoishia. Hebu fikiria kitu kama electronics. Bila kuchimba theory yake na kuelewa mambo kwa undani pasingekuwepo maendeleo kwenye utengengengezaji wa vifaa advanced vinavyoendana na tecknology kama ilivyo sasa. Sasa ndugu zangu ninyi mliozoea elimu ya kukariri na kufanya kwa kukariri ndiyo mnakuja na mawazo fyongo ya kutaka kila mtu afanye kitu kwa kuangalia na kukariri badala ya kuwa na knowledge pana ya kufanya na kuendeleza pale sayansi ilipofikia.Mkuu ngoja nikutoe tongotongo, hata hayo yanayoitwaa ya sayansi kiuhalisia ni historia ya sayansi sio sayansi kama unavyodhani
Watoto hawafundishwi kua ma archmedes bali wanafundishwa historia ya archmedes alivyofanya miaka hiyo
Sisemei huko sekondari tu, ninarafiki yangu alisoma mechanical engineering pale COet ila wakati anafanya field kwenye taasisi moja hapa jijini jamaa alikiri chuoni wanafundishwa makaratasi kwani jamaa wasioenda shule au walioishia madarasa ya chini walikua wanaelewa machines na mechanism zake walizofundishwa kwa uhalisia kitaani na veta na wao waliotoka vyuo vya uinjinia ndio walikua wanajifunza kutoka kwa hawa mabwana
Matusi yanini degree nini unaweza ukawa bossy na huna nyumba unapanga unaweza ukawa na madegree na huna maendeleo yeyote unasimamia makampuni ya ya watu mpaka mwisho wa pumzi yako.Hakuna bosi mwenye diploma Serikalini
Degree huajiriwa kuwa level ya management
Vi diploma ni vya kutumwa na mabosi wenye digrii. Sema mleta mada anapihia debe Vyuo vya diploma kutafuta wateja ni makerting strategy!!
Lakini kwa wazazi wanaojitambua mtoto huwezi mpeleka diploma uwe akili huna
Wazo lako hili ni zuri, hata hivyo jukwaa uliloleta sio ulilokusudia (great thinkers). Umemhukumu jamaa hapo juu kuwa unachelea kuamini kama yeye ni great thinker, lakini yuko kwenye viwanja vyake vya kujidai.Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,