daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Na mwanafunzi na yeye aitathmini, kama mwalimu haeleweki vipi kuhusu vitabu anavyosoma navyo havieleweki?Kuna muda mwanafunzi anapofeli na mwalimu naye anapaswa ajitathimini kiukweli kwenye ufundishaji wake kama kweli anaeleweka
Hao walifaulu Law SchoolNingependekeza walimu wao kutahiniwa na mitihani wao wenyewe na wakasahihishwa kama wanafunzi anonymously. Usishangae wasingeshinda pia.
Hovyo kabisaa, siongei na mtu anayeongelea bodabodaa.Bodaboda ni wenzako. Taja majina ya wenzako tuone.
Nimekutajia ninao wanukuu wore maprofesa wa Sheria. Wa kwako hata wa dawa za kienyeji yuko wapi mbuzi wewe?
Hovyo kabisaa, siongei na mtu anayeongelea bodabodaa.
Waliaulu wakifundishwa na wao hawa hawa? Unajua course kufaulu au kufeli hutegemea na mwalimu?Hao walifaulu Law School
Na mwanafunzi na yeye aitathmini, kama mwalimu haeleweki vipi kuhusu vitabu anavyosoma navyo havieleweki?
Unafikilia ubodaboda halafu napoteza mda kujadili na mtu mwenye mawazo ya bodabodaaHuna unacho nukuu kutokea kokote. Unasikia profesa Shivji, Mahalu, Binamungu nk Unadhani ni boda boda wenzio hao?
Boda boda unaleta mawazo yako kuhusu elimu ya juu? Kwa hakika haya ni Tanzania tu!
Bakini na mawazo uchwara yenu vijiweni kwenu huko.
Hayahitajiki huku!
Unafikilia ubodaboda halafu napoteza mda kujadili na mtu mwenye mawazo ya bodabodaa
Wala si serikali bali ni hao roho mbaya waendekeza rushwa zikiwamo zile za yale mambo yao wayapendayo zaidi:Serikali haitaki ma jaji na mawakili wengi
Tulipiga kelele kuhusu Tume yenye Mwenyekiti Mwakyembe kuwa siyo mahali penye integrity ya kutukuka ya kutupatia majibu wakati kunao watu taifa hili linalowaheshimu kutokana na kazi zao. Ni muda muafaka tuwe na namna ya kufanya vetting kama taifa kwenye mambo muhimu kama haya. Wakina Professor Shivji, Chris Peter, majaji wastaafu wakina Robert Makaramba, Professor Ruangisa, akiwemo jaji Mkuu Mstaafu Sumata na wengine wengi other than how ma serial wenyeviti wa Tume zisizo na tija, wangeweza kutusaidia kupata ufumbuzi wa jambo hili maana kwa sisi tusio wana sheria lakini watu wenye akili timamu tunachokiona ni kuwa waliofeli ni wote, wanafunzi wa Law school, walimu wao, na mfumo mzima wa law school ni 'failure' ab initial. Hili ndio tatizo llingine na kukosekana kwa agenda za kitaifa hata kwa waathirika. Wakati wa mwaka jana walipokumbwa na madhili, hawa wa mwaka huu walikaa kimya. Yote ni yote, hii ni kashfa nyingine kubwa kwa taifa, na hasa tasnia muhimu kama hii. Nashingaa hata wanasheria wenyewe ikiwemo TLS wamefunga midomo.
Vipi wanaojisomea wenyeweWaliaulu wakifundishwa na wao hawa hawa? Unajua course kufaulu au kufeli hutegemea na mwalimu?
Sio ajabu hao wanafunzi kufeli law school, kuna wimbi kubwa la wanafunzi wanaomaliza vyuo siku za karibuni wakiwa vilaza sana hadi unashindwa kuelewa walimalizaje degree na kufaulu hata kwa pass.
Tena wanafunzi ni vihiyo kweli kweli! Najua ninachokisema. Haonewi mtu pale.ACHA KUPOTOSHA TATIZO LA LAW SCHOOL NI WANAFUNZI NA MITAALA YA VYUO WALIVYOTOKA VYUO VIPO KIBIASHARA ZAIDI KULIKO KITAALUMA VYUO VINACHUKUA WANAFUNZI WA UFAULU MDOGO ILI MRADI ALIPE ADA
TUME YA MWAKYEMBE ILIWEKA WAZI KILA KITU WANAFUNZI NI VIHIYO LUGHA INASUMBUA
WAMEZOEA KUFAULU KWA KUNUNUA MITIHANI NA HONGO KTK VYUO VITU HIVYO HAVIPO LAW SCHOOL
This is so true, wahitimu wa vyuo ni Tatizo na sio waalimu wa law school.
Tena wanafunzi ni vihiyo kweli kweli! Najua ninachokisema. Haonewi mtu pale.
Huyu mtoa mada hajui chochote Hali ni mbaya mavyuoni, watu wanatulipa hela tuwaandikie research unaexpect ataperform lawschool?
Ripoti ya Mwakyembe inasemaje? Tuanzie hapo. Tusifanye politics kwenye taaluma. Sasa mtu anaenda out of point maswali yote apewe tu maksi za Bure kisa kelele... smartphone zimeshaharibu elimu ya juu. Mwanafumzi wa Sheria hajui hata jina la AG huyo ni mwanafunzi au? ila mwulize Irene uwoya atakupa details zote. Acha waendelee kupigwa kwenye mshono!Walimu wao wanasema tofauti isipokuwa wewe machimboni nyarugusu huko?
Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Kwamba wewe uko vizuri.
Kwa hakika ni Tanzania tu.
Unaonekena kila mahali.
Ila hapo juu ndio umeonekana kama kilele (top), crystal clear.
Wewe una kitu gani cha kujivunia?Hali ya vyuoni utaijua wewe kuliko walimu wao?
Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Kulikoni kujihesabia haki hivyo kapuku wewe?