Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

Haituhusu
 
Unajuaje kaumaliza salama wakati moyo umekata moto hata hakuwa kajiandaa
 
Sijakuelewa.... umeandika mini boss??
 
Inamaanisha nini walitunza siku zote hizo leo ndio watoe?

Viongozi wanapokua wanaongoza watu wajitafakari sana ....!
 
Kweli wewe zumbukuku, kabla yake barabara hazikuwepo au ametoa hela zake mfukoni?
Zilikuwepo,Ila naye kwanafasi yake amefanya kulingana na ilani inavosema,hivo na Rais mwingine baada ya Magufuli naye naye atafanya kwanafasi yake katika miundombinu kwa kutumia Kodi za wananchi kwa manufaa ya wananchi wake .
 
Daah mzee wetu kumbe alikuwa ana shida ya moyo halafu hakujari kujikinga na corona kabisa..... rip
Tatizo kubwa ni watu kumsifia ujinga mpaka mtu anafikia kujiona ni mtume.. eti maombi yameondoa corona.
 
Akigombea CCM mnadai ali sacrifice licha ya afya yake kutetea waTZ ila akigombea Lowassa/Lissu mnadai ni wagonjwa wanaotaka kufia Ikulu na kuingiza nchi kwenye gharama.

Huu unafiki ni kwa faida ya nani?
Sasa wewe si udai kinachokupendeza kuliko kuforce your narration to other peoples, ama demokrasia hamuielewi.
 
Mkuu alikuwa mbishi sana na tatizo lote hilo bado alikua anaichukulia Poa corona, aisee

Mungu amrehem
 
Tuna watu wengi ambao wana afya njema na wana qualify kuwa na iyo nafasi iyo sadaka vipi? Yeye hakua mzalendo anajua wazi hajakidhi matakwa ya kikatiba ya kuwa na afya njema na akakitaka kiti. Amekufa sasa kwani hakuna mtu ambae anakuja kuwa raisi?
Hakuna ajuaye kesho yetu,ata angeshika ambaye unamini ni mzima wa afya angeweza kufa hata ndani ya mwaka mmoja,
Kilakitu ni mipango ya Mungu,tujifunze kushukuru kwa kilajambo
 
Pamoja na kuchangiwa pesa na Watanzania kuokoa uhai wake lakini jamaa bado likawa katili likiua na kutesa raia wa nchi walio muhifadhi akitokea huko Burundi kwao.
Toka juzi raia wema tunakunywa n'a kula tukukimshukuru Mungu kwa wema wake kwetu
 
Hakuna evidence ya ayo yote unayo mu accuse marehemu, basi tu sababu alikuwa kiongozi, basi lawama zote lazima aangushiwe.
Rais kazi yake ni kulinda raia wake akiwa kama amiri jeshi mkuu. Kama alishindwa simamia justice kwa raia wale basi ni kazi bure na lawana zitaenda kwake mana yote yametokea yeye amechukua hatua gani?
 
Hakuna ajuaye kesho yetu,ata angeshika ambaye unamini ni mzima wa afya angeweza kufa hata ndani ya mwaka mmoja,
Kilakitu ni mipango ya Mungu,tujifunze kushukuru kwa kilajambo
Sawa, lakini at least ingia ukiwa na afya njema
 
Unajua wote tunaongea kitu kimoja?
Soma tena nilichoandika....

Tuko team moja na tunaongea kimoja ndugu....

RiP mwamba Magu
 
Sawa, lakini at least ingia ukiwa na afya njema
MTAZAMO Mana sijui katiba inasemaje juu ya afya ya anayetaka kugombea Urais.
Niugonjwa ulomsumbua kwa mda mrefu Kama wasemavo,na tukumbuke alipitia jeshi na kuweza kuhimili mikiki yote,

Ivo nazan pia aliamini ataweza kuongoza vipindi vyake vyote vya uongozi nakusahau wakati unapanga Mungu alishapanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…