Kweli fasihi andishi haifi kizembeView attachment 1729018
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'
Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.
Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Anafanya nini huko? Yani Jiwe alishamsahau. Tenda wema nenda zako.Yuko Kilongawima Kunduchi Dar es salaam.
Unapita hizo barabara uchwara ukiwa na njaa?Ukichaa wake umenufaisha wengi hasa barabara ambazo hata few out of rafiki na ukoo wako watapita...
Magu atadumu forever kwenye nafsi za watanzania...
Ila kwa washirikina it's ok kushangilia
Acheni unafiki mkuu..... Fedheha mlizotoa kwa Lowassa mnadhani tumesahau? Nashukuru mmeumbuka kumbe mlikuwa na ligonjwa zaidi yake!!Sasa wewe si udai kinachokupendeza kuliko kuforce your narration to other peoples, ama demokrasia hamuielewi.
Unapita hizo barabara uchwara ukiwa na njaa?
Uchumi gani huo? Wakati asilimia 85 wanakunya porini na vichakani zinapopita hizo barabara uchwara.Tumbo kwanza?
You win bro...
Ila barabara zinafungua njia za uchumi
.
Naanza kumfananiaha Magufuli na mwigizaji WA Black Panther, Chard.Hakutaka ugonjwa umzuie yale aliyokusudia Kwa Hilo unastahili heshima.Pamoja na tatizo lake hilo kubwa bado Rais Magufuli aliji sacrifice kubeba jukumu zito la kuwahudumia watanzania
Apumzike kwa amani Rais John Pombe Magufuli🙏
Twinstar wangu💥💥
Nani alietoa fedheha, mbona una generalize, why do u want people to think like you. Aya ligonjwa limekufa, kasherehekee basi, as if anything will change, minyumbu bhanaAcheni unafiki mkuu..... Fedheha mlizotoa kwa Lowassa mnadhani tumesahau? Nashukuru mmeumbuka kumbe mlikuwa na ligonjwa zaidi yake!!
Watu kama hawa huwa wanakua wamekubali siku yoyote watakufa na wanaamua kutimiza wanachoamini kabla ya kuondoka dunianiNaanza kumfananiaha Magufuli na mwigizaji WA Black Panther, Chard.Hakutaka ugonjwa umzuie yale aliyokusudia Kwa Hilo unastahili heshima.
Uchumi gani huo? Wakati asilimia 85 wanakunya porini na vichakani zinapopita hizo barabara uchwara.
[emoji34][emoji34][emoji34]
Yes he was but a careless fighter.He was a fighter for sure, against all odds.
Tumuombee Kwa Mungu amponye maradhiIla mama magu mgonjwa
Sawa kabisa alijitoa sadaka sana sana mpaka mh. Fulani akasema kanisani " Mungu ndie anatakiwa amshukuru Rais JPM......"Unaelewa maana ya kujitoa sadaka?
Amefanya kilichompasa apumzike kwa amani
Ndio ilibidi afanye hivyo siyo kushindilia maugali ya bure ikulu. R. I p Bensaa8Magu akulishe...
Magu akuchimbie choo..
Rest in paradise The JPM
Tuache na mabichwa yetu ya kijamaa
Roho mbaya..mtu aliyesaidiwa matibabu namna hii akaelekeza bunge limnyime Tundu Lissu stahiki zake za matibabu.
Ndio ilibidi afanye hivyo siyo kushindilia maugali ya bure ikulu. R. I p Bensaa8
Enzi za uhai wake marehemu alijifukiza sanaKama namwona alivyokuwa anakunywa Bupiji.Maana kila akiongelea Corona ilikuwa lazima aongelee dawa ya Bupiji.