Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
- Thread starter
-
- #341
Kama umeona kujadiliana na mimi hauwezi basi ni bora tu ukatulia mimi nijadili na wengine na ujadili na wengine sijawahi kukutukana
Basi sawaKukuita goi goi sio tusi. Ndio ulivyo.
Kama wamepotea mnahangaika nao wa nini? Na unajuaje kama wamepotea?Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu wao
Wakristo na Waislamu hawaabudu Mungu mmoja japokuwa wote Mungu wao ni mmoja ambaye ni Allah
Kwani sababu ya kupotea kwao si nimeitaja hapo?Kama wamepotea mnahangaika nao wa nini? Na unajuaje kama wamepotea?
Umeishiwa hoja. Budha ni ni nabii wenu usimkane.Umekuwa Ahmadiya
Yaan mtamponda sana Muddy kwa kumkejeri ila kiukweli mimi namkubali sana kwenye ishu ya Totozi tu.Jamaa Alikuwa analamba kuanzia mishangazi( Waliomzidi umri) hadi watoto chini ya miaka 10.Mjibuni kwanza Profesa wa Islamic History Sir Salman Rushdie:
Aliye andika Qurani ni Satanic Verses:
Kila akiwaalika ili awaeleweshe mnaishia kuwatumia Magaidi wenu ili wamwue:
Mara ya mwisho aliwaalika mkaishia kumchoma visu:
Na badala ya kumjibu mmeishia kukipiga marufuko kitabu chake na kumtangazia Fatwa yaani mkimkamata mumuuwe:
Hivi inahitajia elimu ya dalasa la ngapi ilijue kuwa Qurani ni Satanic Verses ?
Ni kwanini mumetangaza kuwa hairuhusiwi mtu yoyote kuuza, kusambaza au kusoma Satanic Verses?
Nyie na Mwarabu PhD in Islamic History ni nani anaujua Uislamu ?
Hivi hata mnashindwa kujiuliza kweli...!
Yesu ni mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu bali nafsi ya Mungu ...tumia akili ...wewe hujui nafsi ni nini ? Unapo uliza swali uwe unatumia akiliHalafu nyinyi mnapenda kuuliza maswali tu kujibu maswali yetu hamtaki
Sasa mpaka leo haujajibu mwili aliokuwa anautumia Yesu ambao unasema ni wa binadamu ulikuwa wa binadamu gani na mwenyewe yuko wapi?
Nimekuuliza mwili wa binadamu gani?Yesu ni mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu bali nafsi ya Mungu ...tumia akili ...wewe hujui nafsi ni nini ? Unapo uliza swali uwe unatumia akili
Mbona umesema Muhammad ni wa kwanza kwenye kutekeleza wahy KIKAMILIFU kisha bi hadija ni wapili kwenye kufuata Wahy tu...kwanza kumbuka kuwa wahy kwa Muhammad haukuja siku moja wote kwa ukamilifu...sasa ni wahy gani ambao bi hadija aliufuata siku ile ambayo Muhammad alikurupuka pangoni...maana Muhammad mwenyewe alikuwa ajui ni kiumbe gani kilicho mtokea ..hivyo Muhammad alikuwa hana wahy wowote kwa bi hadija siku ile aliyo kurupuka pangoniPia Khadija ni wa pili kwenye kufuata wahy wa Mtume Muhammad na si wa pili kwenye kuutekeleza kiukamilifu
kwa Hiyo wewe umekubali kuwa Yesu ndio Isa, basi kubalina na hili kwamba Yesu sio mtoto wa Mungu wala sio Mungu.Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Wewe ndiyo umesema kuwa hakuwa na wahy wowote lakini wahy alikuwa naoMbona umesema Muhammad ni wa kwanza kwenye kutekeleza wahy KIKAMILIFU kisha bi hadija ni wapili kwenye kwenye kufuata Wahy tu...kwanza kumbuka kuwa wahy kwa Muhammad haukuja siku wote kwa ukamilifu...sasa ni wahy gani ambao bi hadija aliufuata siku ile ambayo Muhammad alikurupuka pangoni...maana Muhammad mwenyewe alikuwa ajui ni kiumbe gani kilicho mtokea ..hivyo Muhammad alikuwa hana wahy wowote kwa bi hadija siku ile aliyo kutupukq pangoni
Kakuambia Nabii wenu Tito?Umeishiwa hoja. Budha ni ni nabii wenu usimkane.
Nilini Muhammad aliambiwa na Allah kuwa awe wa kwanza kwenye uislamu? Je wakati Ana ambiwa kulikuwa na wahy gani na gani? Kwa sababu ulisema Muhammad ni wakwanza kwenye kufuata wahy kikamilifu uliokuja baada ya yeye kupewa utume ?Wewe ndiyo umesema kuwa hakuwa na wahy wowote lakini wahy alikuwa nao
Halafu nani amesema wahy ulikuja kikamilifu tangu siku ya kwanza nani mbona unatunga wewe🤣🤣🤣
Aliyekuambia uliokuja baadae naniNilini Muhammad aliambiwa na Allah kuwa awe wa kwanza kwenye uislamu? Je wakati Ana ambiwa kulikuwa na wahy gani na gani? Kwa sababu ulisema Muhammad ni wakwanza kwenye kufuata wahy kikamilifu uliokuja baada ya yeye kulewa utume ?
Petro alikuwa Muislam?Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Jibu swali?Aliyekuambia uliokuja baadae nani
Chizi Maarifa njoo huku muislamu mwenzio anadai Issa na nabii Adam wote walikuwa waislamu ... sasa kati ya Muhammad na nabii Adam ni yupi alikuwa muislamu wa kwanza ? Waislamu mnaruka na kukanyagana.😁Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Siwezi kujibu sababu umenilazimisha kukubali kitu ambacho sijasemaJibu swali?
Petro sina historia naePetro alikuwa Muislam?