Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Pamoja na kuwa mlikuwa mnahitaji wafanyakazi, hiyo njia mliyotumia kuwapata hao wafanyakazi ni kama utafiti. Sasa lengo mojawapo la utafiti ni kutafuta majibu juu ya mapungufu (gap) yaliyojitokeza na kutoa mapendekezo (recommendation) ya namna ya kurekebisha hali hiyo. Je, unakuja na mapendekezo gani ili kuinusuru elimu yetu ili watoto wetu wapate elimu iliyo bora, na kuwawezesha kumudu soko la ajira ndani na nje ya nchi? Hata mtoto wako au ndugu atanufaika na hili.
 
Uliona mbali sana mkuu. Kichwa cha mwanafunzi kinajazwa mambo meeengi balaa alafu mwisho wa siku unakuja kufanyia application mambo machache sana.
 
Nyinyi waajiri mnapojadili ubora wa wahitimu miaka hii, jadilini na mazingira yanayotumika kuandaa hao wahitimu idadi na ubora wa facilities ina uwiano sahihi na idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa katika mwaka husika?
 
Kwa hiyo mkuu unataka sema mwanauchumi wa 3rd year hawezi kuelezea habari ya kiuchumi iliyopo kwenye gazeti?
 
Kubari kataa ndio ipo hivyo hutaki anza kuandamana kuelekea Tume ya Vyuo Vikuu ukiwa umebeba bango la kupinga kufundishwa Account kwenye kozi za Computer, utachekwa na ulimwengu mzima maana ili usome Computer kigezo cha Kwanza ujue Hesabu cha pili ujue Kingereza, Hesabu na Account ni mtu na mtuwe, sasa unapingaje kufundishwa Account? Una akili wewe au kwa kua BAM inakuyumbisha unaona Account itakuyumbisha zaidi?
 
Okay Mr. Genius sina lingine la kusema. Goodbye.
 
Kwa uandishi huu, wewe ulikuwa msaili? Je tatizo lilikuwa ni kwa wasailiwa kweli?!
 
Uliona mbali sana mkuu. Kichwa cha mwanafunzi kinajazwa mambo meeengi balaa alafu mwisho wa siku unakuja kufanyia application mambo machache sana.
Kumjaza mambo mengi kichwani lengo ni kuwa ili akija kwenye application iwe rahisi, maana atachagua baadhi ya vile alivyosoma na kuvitumia na vitakavyobaki ni akiba kwa wakati mwingine. Hakuna kitu ambacho mtu anasoma kikakosa matumizi!
 
Mimi ninaaamini Uwezo wa mtu hasa ni ule umetoka nao msingi na secondary.
You are very correct.
Chuoni hakuna muda wa mtu kufundishwa kiingereza,chuoni hakuna muda wa mtu kufundishwa how to reason,chuoni hakuna muda wa kumfundisha mtu how to behave.
So mwisho wa siku bango la chuo linabaki getini unaondoka na kichwa chako.
So ishu sio chuo ishu ni mwanafunzi mwenyewe kujitambua
 
Kumjaza mambo mengi kichwani lengo ni kuwa ili akija kwenye application iwe rahisi, maana atachagua baadhi ya vile alivyosoma na kuvitumia na vitakavyobaki ni akiba kwa wakati mwingine. Hakuna kitu ambacho mtu anasoma kikakosa matumizi!
Mkuu, mbona kwenye interviews za accountancy hawaulizi maswali ya DS au Entrepreneurship ilhali tulisoma chuoni?
 
First impression says everything.

Hao CIA wakiwa impressed siku ya kwanza ndo wanazidi kukufuatilia.

Ila wewe siku ya kwanza ukionekana chenga hata upewe mwaka mzima hautabadilika.
 
vitakavyobaki ni akiba kwa wakati mwingine.
Mkuu, wakati mwingine upi ilhali mtu anafanya kazi repetitive miaka nenda rudi? Mimi nilikuwa mhasibu kampuni moja ipo Kyela, nilikuwa ninakusanya pesa, nazipeleka bank, ninaandaa receipts, natoa pesa za matumizi ofisini mwaka mzima kazi ni hizo hizo kitu ambacho graduate wa form six ukimuelekeza anaweza kufanya pia mpaka nikawa ninajiuliza kwanini tulifundishwa mambo magumu kule chuo ilhali huko kazini vitu ni simple sana.
 
Kwa uandishi huu, wewe ulikuwa msaili? Je tatizo lilikuwa ni kwa wasailiwa kweli?!
Nadhani shida ilikua kwa wasailiwa kwa maana kabla ya kwenda kuomba wanafunzi tulipitia mtahala waliokua wanafudishwa hapa chuo. Statistics, Investment, Financial Management, Advance Econometrics, Intermediate Macreconomic yani ki ujumla chuo kime play part yake kwenye kuwapika hawa watu
 
First impression says everything.

Hao CIA wakiwa impressed siku ya kwanza ndo wanazidi kukufuatilia.

Ila wewe siku ya kwanza ukionekana chenga hata upewe mwaka mzima hautabadilika.
Mkuu, first impression kwenye kujibu few random questions? Mkuu, unataka kuniaminisha kwamba aliyefaulu interview ilhali alisoma PCM A level anaweza kuwa na contents nyingi kichwani kumzidi yule aliyefeli interview hiyo hiyo na alisoma ECA?
 
Mkuu, hao walipikwa theoretically na sio practically. Je, hilo zoezi la kusoma magazeti na kuchambua uchumi ulioandikwa humo waliwahi kufanya huko chuoni?
 
Mkuu, hao walipikwa theoretically na sio practically. Je, hilo zoezi la kusoma magazeti na kuchambua uchumi ulioandikwa humo waliwahi kufanya huko chuoni?

Nahisi hapan. Lkn kama mtu una angalia taarifa ya habari, unaskiliza BBC an DW hauwezi kushidwa ha hiyo kazi. Mfano unangalia BBC dira ya dunia unaskia mradi wa reli alafu alafu unakuta mchumi anaulizwa maswali kwa akili ya kawaida unweza kujua hii habari unahusiana na mambo ya uchumi. Sio kila kitu kinafundishwa chuo
 
Sawa mkuu. Kwa hiyo to make a long story short ni kwamba watahiniwa walishindwa "kujiongeza"?
 
Sawa mkuu. Kwa hiyo to make a long story short ni kwamba watahiniwa walishindwa "kujiongeza"?

Hahaha, Naomba ni si conclude ivyo. Hapa yeyenye kuna dogo mmoja yupo SAUT anasoma sheria mwaka wa nne nilimuuliza ukitaka kuwa jaji (judge) inakuaje akasema hajui. Moyoni nikasema huyu akipita law school aniite ng'ombe.

Cha msingi ni kwamba kuwa update kwenye fild uliyopo fatilia habari, jaribu ku relate mambo uliyosoma na mazingira ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…