jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.
Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.
Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.
#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??
Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!